chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,013
Mkuu Kwani Na Udom Wanagoma? Chuo Cha Kata Cha Ccm? Acha Kutudanganya
Mkuu sitaki kusema ww ni mwongo lakini ninachoweza kusema ni kuwa unachokisema sio cha kweli. Ni chuo gani kilienda kufunga bunge mpaka wakaletwa wanajeshi wa makutupola, chuo gani walimteka pinda akakimbizwa vichakani na wanausalama na mkuu wa wilaya atekwa masaa 8 akiimbishwa kama sio juhudi zako nyerere, ni hao hao unaowaita wana kata wa ccm wa Udom. Basi kama ndio hizo sifa za mwana ccm basi kwanzia leo nakuwa mwanaccm