Membe, Watanzania walioko Ukraine wanakulilia!

"Serikali haijatenga Fedha"

Hii na kauli ya binti ya binti wa kitanzania(yuko masomoni jimbo la Donesk nchini ukraine) alipokua akiongea na Salim Kikeke leo(bbc dira ya dunia).

Anaeleza hali ya mbaya ya usalama mjini Lugarinsk kutokana na mapigano ya serikali na waasi wanaotaka kujitenga...Anasema yeye peke yake alifanikiwa kukimbilia mjini Kiev na kuwaacha WATANZANIA(ambao ni wanafunzi pia) wengi wakiwa hawajui hatma ya usalama wao mpaka sasa.

Ubalozi wa tanzania haujafanya jitihada za dhati kuwanusuru na umesema HAKUNA bajeti mahsusi iliyotengwa ili kuwanusuru wanafunzi hao!

MY NOTE:
Naamini serikali ina uwezo wa kuwanusuru japo kwa kuwahamishia kiev kwa muda mpk usalama utakaporejea..ila ni aibu sana kwa serikali kutowajali wananchi wake kwa kisingizio cha bajeti..mbona pesa za misafara ya nje kwa viongizo zipo tena nyingi kushinda hata zinazohitajika kuwanuru hawa ndugu ze2?!!!anyway ngoja niishie hapa
 
Mimi Ipo Siku Nitaukana Uraia Wa Inchi Hii, Kila Kona Ni Aibu Tuu, Inchi Gani Haiwajali Watu Wake, Arafu Unatangaza Aman Aman, Jinga Kweli
kwani wewe si nyaruanda. au unamaanisha kuukana unyaruanda wako? maana hii mada inazungumzia waTz.
 
"Serikali haijatenga Fedha"

Hii na kauli ya binti ya binti wa kitanzania(yuko masomoni jimbo la Donesk nchini ukraine) alipokua akiongea na Salim Kikeke leo(bbc dira ya dunia).

Anaeleza hali ya mbaya ya usalama mjini Lugarinsk kutokana na mapigano ya serikali na waasi wanaotaka kujitenga...Anasema yeye peke yake alifanikiwa kukimbilia mjini Kiev na kuwaacha WATANZANIA(ambao ni wanafunzi pia) wengi wakiwa hawajui hatma ya usalama wao mpaka sasa.

Ubalozi wa tanzania haujafanya jitihada za dhati kuwanusuru na umesema HAKUNA bajeti mahsusi iliyotengwa ili kuwanusuru wanafunzi hao!

MY NOTE:
Naamini serikali ina uwezo wa kuwanusuru japo kwa kuwahamishia kiev kwa muda mpk usalama utakaporejea..ila ni aibu sana kwa serikali kutowajali wananchi wake kwa kisingizio cha bajeti..mbona pesa za misafara ya nje kwa viongizo zipo tena nyingi kushinda hata zinazohitajika kuwanuru hawa ndugu ze2?!!!anyway ngoja niishie hapa

mkuu upo ww mana tuligombana sana wakati ule kule jukwaa la elimu
 
Kutokana na vita inayoendelea huko Ukraine nchi zote za Afrika Mashariki (Kenya na Uganda) isipokuwa Tanzania zimehamisha wananchi na hasa wanafunzi wao kutoka maeneo yenye vita!

Wanafunzi wa Kitanzania walioko Ukraine wameandika barua na emails nyingi serikalini kuomba msaada wa kuhamishwa lakini hazijibiwi!

Je Tanzania ina mpango gani wa kunusuru maisha ya wananchi wake walioko Ukraine?

Source: BBC
hawezi kuwatetea membe na ndomana urais 2015 tutampatia prof. anna tibaijuka ndie chaguo la wengi tanzani9a. juzi ti kasukumwa gari lake na wananchi mikoa ya kusini!
 
Mh! Kama Halima Mdee alimchachafya katika bunge la bajeti mpaka akakosa mwelekeo anaweza kweli mikiki mikiki ya urais!! Tusubiri tuone cha msingi tunataka kiongozi anayeweza kuwatetea na kuwalinda Watanzania ndani na nje ya nchi!!!
 
"Serikali haijatenga Fedha"

Hii na kauli ya binti ya binti wa kitanzania(yuko masomoni jimbo la Donesk nchini ukraine) alipokua akiongea na Salim Kikeke leo(bbc dira ya dunia).

Anaeleza hali ya mbaya ya usalama mjini Lugarinsk kutokana na mapigano ya serikali na waasi wanaotaka kujitenga...Anasema yeye peke yake alifanikiwa kukimbilia mjini Kiev na kuwaacha WATANZANIA(ambao ni wanafunzi pia) wengi wakiwa hawajui hatma ya usalama wao mpaka sasa.

Ubalozi wa tanzania haujafanya jitihada za dhati kuwanusuru na umesema HAKUNA bajeti mahsusi iliyotengwa ili kuwanusuru wanafunzi hao!

MY NOTE:
Naamini serikali ina uwezo wa kuwanusuru japo kwa kuwahamishia kiev kwa muda mpk usalama utakaporejea..ila ni aibu sana kwa serikali kutowajali wananchi wake kwa kisingizio cha bajeti..mbona pesa za misafara ya nje kwa viongizo zipo tena nyingi kushinda hata zinazohitajika kuwanuru hawa ndugu ze2?!!!anyway ngoja niishie hapa
Bahati mbaya kuwahamishia Kiev hakutaweka solution kwa swala hili. Kiev pamekuwa pabaya sana kutokana na skin heads na watu wa right sector. Almost huwezi hata kutoka ndani kwani hata yule mnyonge wa mwisho atajaribu kukuonea na kukunyanganya ulicho nacho. Na HAKUNA VYOMBO VYA DOLA vifanyavyo kazi vizuri. Na hali ni worse huko western Ukraine ingawa hakuna vita. Solution niionayo mimi ni kuwapeleka hao wanafunzi kusoma urusi. Kwanza lugha ni moja (Kirusi). Pili mikataba ya masomo almost inalingana. Tatu inawezekana mwalikaji ni RACUS hivyo hakutakuwa na haja ya ku resign contracts just to amend. Nne, mazingara ni karibu sawa. Tano Ubalozi ni mmoja (Kama sikosei balozi anawasilisha Russia na Ukraine, please correct me if mistaken) Ila inabidi Ubalozi na Foreign Office walifuatilie hili swala kwa karibu na kwa haraka.
 
Back
Top Bottom