Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 13,410
- 20,869
Kutokana na vita inayoendelea huko Ukraine nchi zote za Afrika Mashariki (Kenya na Uganda) isipokuwa Tanzania zimehamisha wananchi na hasa wanafunzi wao kutoka maeneo yenye vita!
Wanafunzi wa Kitanzania walioko Ukraine wameandika barua na emails nyingi serikalini kuomba msaada wa kuhamishwa lakini hazijibiwi!
Je Tanzania ina mpango gani wa kunusuru maisha ya wananchi wake walioko Ukraine?
Source: BBC