Membe na vijana wake kuhamia CHADEMA 2019

Magufuli anapendwa na Watanzania. Wana CCM ni sehemu ndogo sana ya Watanzania
Mimi CCM ila magufuri hapendwi kama unavyodhani ushauri hapa ni kujipanga kwa matumizi ya dola hamna ujanja mwingine. CCM tuna virusi/maadui wengi kuliko watiifu hutaki sumbua akili utaelewa tu.
 
Chadema hawatoingia ikulu kwa gia hizi! Wanazidi kupoteza focus na kusimamia yale waliyoamini miaka mingi.

Again, muda utatoa somo kama kinachoendelea sasa.
 
Strategic plans CDM ni kuhakikisha kila anaekosa kugombea urais kwa tiketi ya CCM basi kazi very simple njoo CDM. Mwisho wa siku mtoto CDM hatajulikana badae atakua chotara.
 
Habari hizi nilizikia tangu 2016 nikiwa pale Makao Makuu ya CHADEMA. Ilisemekana kuwa Nape, Membe na wengineo wanapanga kuhamia CHADEMA.

Mwaka huo huo nikakutana na ndugu mmoja aliyekuwa makao makuu ya CCM lakini alikosa uteuzi wa wakuu wa wilaya na alikuwa kwenye mtandao wa Membe nikamjulisha habari za Membe kuhamia CHADEMA alishtuka kwa furaha. Akaniambia Membe ana dola nyingi ameficha ambazo alizipata kwa Gadafi.

Mwaka 2017 rafiki yangu mmoja mbunge kijana wa CHADEMA aliniambia kabla ya 2020 kutakuwa na uhamaji wa Wabunge kutoka pande zote. Aliniambia siasa za 2020 zitakuwa kama za Kenya. Siasa za muungano wa watu maarufu sio Umaarufu wa Vyama tena.Mwezi uliopita kuna rafiki yangu mwingine wa CHADEMA aliniambia umehama ila 2020 hamuwezi kushinda maana mtakimbiwa na wana CCM wengi.

Aidha Miaka mitatu sasa baadae nikifuatilia yanayoendelea ndani ya CCM na hatua mbali mbali za serikali kudhibiti fedha haramu kwenye maduka ya kubadilishia fedha na benki zetu naamini pasi na shaka kuwa huenda kweli zipo dola zimefichwa mahali zinataka kuingia kwenye mzunguko.

Taarifa za uhakika kutoka vyanzo vya ndani vya CHADEMA ni kuwa Membe anahamia CHADEMA. UKAWA unakufa kunakuja kitu ambacho Zitto amekuwa akikitangaza kinachoitwa ADF (Alliance for Democratic Front).

Vyovyote itakavyokuwa Magufuli ameshamaliza harakati hizi kwa mambo aliyoyafanya mpaka sasa. Kumshinda ni ndoto za mchana. Atabeba kura **** anakusanya senene au kumbikumbi.
Habar za kusadikika kama habar zingine tu
 
Kweli Membe anawajambisha CCM ile mbaya, mb uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Habari hizi nilizikia tangu 2016 nikiwa pale Makao Makuu ya CHADEMA. Ilisemekana kuwa Nape, Membe na wengineo wanapanga kuhamia CHADEMA.

Mwaka huo huo nikakutana na ndugu mmoja aliyekuwa makao makuu ya CCM lakini alikosa uteuzi wa wakuu wa wilaya na alikuwa kwenye mtandao wa Membe nikamjulisha habari za Membe kuhamia CHADEMA alishtuka kwa furaha. Akaniambia Membe ana dola nyingi ameficha ambazo alizipata kwa Gadafi.

Mwaka 2017 rafiki yangu mmoja mbunge kijana wa CHADEMA aliniambia kabla ya 2020 kutakuwa na uhamaji wa Wabunge kutoka pande zote. Aliniambia siasa za 2020 zitakuwa kama za Kenya. Siasa za muungano wa watu maarufu sio Umaarufu wa Vyama tena.Mwezi uliopita kuna rafiki yangu mwingine wa CHADEMA aliniambia umehama ila 2020 hamuwezi kushinda maana mtakimbiwa na wana CCM wengi.

Aidha Miaka mitatu sasa baadae nikifuatilia yanayoendelea ndani ya CCM na hatua mbali mbali za serikali kudhibiti fedha haramu kwenye maduka ya kubadilishia fedha na benki zetu naamini pasi na shaka kuwa huenda kweli zipo dola zimefichwa mahali zinataka kuingia kwenye mzunguko.

Taarifa za uhakika kutoka vyanzo vya ndani vya CHADEMA ni kuwa Membe anahamia CHADEMA. UKAWA unakufa kunakuja kitu ambacho Zitto amekuwa akikitangaza kinachoitwa ADF (Alliance for Democratic Front).

Vyovyote itakavyokuwa Magufuli ameshamaliza harakati hizi kwa mambo aliyoyafanya mpaka sasa. Kumshinda ni ndoto za mchana. Atabeba kura **** anakusanya senene au kumbikumbi.

Blah blah blah...

Acheni kupambana humo humo CCM kwenu kieleweke mnazidi isingizia CHadema....Membe atawatoa ngeu aisee!

Adui wa CCM ni CCM yenyewe na wala sio CDM..Siku mnaelewa hili mtajiheshimu sana!

Jiwe hakatizi 2020 humo ndani...tuone!
 
Chadema hawatoingia ikulu kwa gia hizi! Wanazidi kupoteza focus na kusimamia yale waliyoamini miaka mingi.

Again, muda utatoa somo kama kinachoendelea sasa.

Mbona kila mkiharibikiwa lazima muisingizie Chadema, huo ni ugomvi wenu wenyewe malizaneni tu,hata mkishindwa kuwapa unyumba wake zenu sababu ni Chadema nyie vipi?
 
Acheni kuweweseka hakuna cha Membe wala kijana wake atakayehamia CHADEMA, mtaendelea kutifuana humohumo CCM mpaka kieleweke.
 
Blah blah blah...

Acheni kupambana humo humo CCM kwenu kieleweke mnazidi isingizia CHadema....Membe atawatoa ngeu aisee!

Adui wa CCM ni CCM yenyewe na wala sio CDM..Siku mnaelewa hili mtajiheshimu sana!

Jiwe hakatizi 2020 humo ndani...tuone!

Waache waoane, atakaye mtia mwenzake mimba ndiye kidume tumechoka huu upuuzi wao.
 
Labda Mkuu wa CCM atatambua kwamba serikali inabebwa na Chama na ni serikali ya CCM na SI serikali ya Magufuli. Si sera za Magufuli ILA ni sera za CCM.

2020 ninauhakika watu watatupigia magoti na lugha inakuwa nyororo na ya ubole.
 
Habari hizi nilizikia tangu 2016 nikiwa pale Makao Makuu ya CHADEMA. Ilisemekana kuwa Nape, Membe na wengineo wanapanga kuhamia CHADEMA.

Mwaka huo huo nikakutana na ndugu mmoja aliyekuwa makao makuu ya CCM lakini alikosa uteuzi wa wakuu wa wilaya na alikuwa kwenye mtandao wa Membe nikamjulisha habari za Membe kuhamia CHADEMA alishtuka kwa furaha. Akaniambia Membe ana dola nyingi ameficha ambazo alizipata kwa Gadafi.

Mwaka 2017 rafiki yangu mmoja mbunge kijana wa CHADEMA aliniambia kabla ya 2020 kutakuwa na uhamaji wa Wabunge kutoka pande zote. Aliniambia siasa za 2020 zitakuwa kama za Kenya. Siasa za muungano wa watu maarufu sio Umaarufu wa Vyama tena.Mwezi uliopita kuna rafiki yangu mwingine wa CHADEMA aliniambia umehama ila 2020 hamuwezi kushinda maana mtakimbiwa na wana CCM wengi.

Aidha Miaka mitatu sasa baadae nikifuatilia yanayoendelea ndani ya CCM na hatua mbali mbali za serikali kudhibiti fedha haramu kwenye maduka ya kubadilishia fedha na benki zetu naamini pasi na shaka kuwa huenda kweli zipo dola zimefichwa mahali zinataka kuingia kwenye mzunguko.

Taarifa za uhakika kutoka vyanzo vya ndani vya CHADEMA ni kuwa Membe anahamia CHADEMA. UKAWA unakufa kunakuja kitu ambacho Zitto amekuwa akikitangaza kinachoitwa ADF (Alliance for Democratic Front).

Vyovyote itakavyokuwa Magufuli ameshamaliza harakati hizi kwa mambo aliyoyafanya mpaka sasa. Kumshinda ni ndoto za mchana. Atabeba kura **** anakusanya senene au kumbikumbi.

Umesahau kuandika namba ya Simu.
 
Atahamiaje CHADEMA wakati anataka Kugombea Uraisi akiwa CCM 2020. We niaje eroo?
 
Back
Top Bottom