Membe na vijana wake kuhamia CHADEMA 2019

Membe na vijana wake kuhamia CHADEMA 2019

Humpendi wewe na wapiga dili uchwara wenzio, ila mamburula mtasubiri sana na harakati zenu uchwara za kumdoofisha JPM. Ila si mnajua Magufuli ni chuma cha reli? Msije geuza maneno tu 2020 mtapogalagazwa.
Mimi CCM ila magufuri hapendwi kama unavyodhani ushauri hapa ni kujipanga kwa matumizi ya dola hamna ujanja mwingine. CCM tuna virusi/maadui wengi kuliko watiifu hutaki sumbua akili utaelewa tu.
 
Hahahaha
 
Mimi CCM ila magufuri hapendwi kama unavyodhani ushauri hapa ni kujipanga kwa matumizi ya dola hamna ujanja mwingine. CCM tuna virusi/maadui wengi kuliko watiifu hutaki sumbua akili utaelewa tu.
Kwendraaaaa na uwongo wako wewe chadrama mcharuko
 
Kwahiyo ccm imeamua kumpeleka membe chadema katika uchaguzi ujao?
 
Hizo tabia mnazo nyinyi chadrama mcharuko mizee ya matukio, hamna kazi kutwa kucha kubeba bendera yetu mitaani
NO DIGNITY
JIZEE ZIMA OVYOOOOO
crazy psychopath
SHAME ON YOU POOR MIMDED PERSON,I CAN SEE LACK OF OBJECTIVITY AND PARTICULARTITY,THAT IS TYPICAL HEARSAY UNPROVED STORY
 
Habari hizi nilizikia tangu 2016 nikiwa pale Makao Makuu ya CHADEMA. Ilisemekana kuwa Nape, Membe na wengineo wanapanga kuhamia CHADEMA.

Mwaka huo huo nikakutana na ndugu mmoja aliyekuwa makao makuu ya CCM lakini alikosa uteuzi wa wakuu wa wilaya na alikuwa kwenye mtandao wa Membe nikamjulisha habari za Membe kuhamia CHADEMA alishtuka kwa furaha. Akaniambia Membe ana dola nyingi ameficha ambazo alizipata kwa Gadafi.

Mwaka 2017 rafiki yangu mmoja mbunge kijana wa CHADEMA aliniambia kabla ya 2020 kutakuwa na uhamaji wa Wabunge kutoka pande zote. Aliniambia siasa za 2020 zitakuwa kama za Kenya. Siasa za muungano wa watu maarufu sio Umaarufu wa Vyama tena.Mwezi uliopita kuna rafiki yangu mwingine wa CHADEMA aliniambia umehama ila 2020 hamuwezi kushinda maana mtakimbiwa na wana CCM wengi.

Aidha Miaka mitatu sasa baadae nikifuatilia yanayoendelea ndani ya CCM na hatua mbali mbali za serikali kudhibiti fedha haramu kwenye maduka ya kubadilishia fedha na benki zetu naamini pasi na shaka kuwa huenda kweli zipo dola zimefichwa mahali zinataka kuingia kwenye mzunguko.

Taarifa za uhakika kutoka vyanzo vya ndani vya CHADEMA ni kuwa Membe anahamia CHADEMA. UKAWA unakufa kunakuja kitu ambacho Zitto amekuwa akikitangaza kinachoitwa ADF (Alliance for Democratic Front).

Vyovyote itakavyokuwa Magufuli ameshamaliza harakati hizi kwa mambo aliyoyafanya mpaka sasa. Kumshinda ni ndoto za mchana. Atabeba kura **** anakusanya senene au kumbikumbi.
We jamaa ni Hallmark ya unafiki JF.

Magu mhurumie huyu jamaa umpe uteuzi hata wa udiwani viti maalum
 
Humpendi wewe na wapiga dili uchwara wenzio, ila mamburula mtasubiri sana na harakati zenu uchwara za kumdoofisha JPM. Ila si mnajua Magufuli ni chuma cha reli? Msije geuza maneno tu 2020 mtapogalagazwa.
Jidanganye sasa, walio ajiriwa na Magufuri ndiyo watiifu kwake tu, mtu anaye kula kwa akili na nguvu zake huwezi mkuta anamshabikia Magufuri.
 
Chadema wako bize kumpotosha Membe kama walivyompotosha Lowasa.

Mahaba ya Chadema kwa Membe yanasitajaabisha , badala ya kumlilia Mbowe yupo gerezani wako bize kumlilia mwana ccm Membe!!!!

Cdm wameona wasimlilie Mbowe, acha akae ndani kwa amri ya mzee baba ili afurahie madaraka yake.
 
Matatizo yenu mnapenda kuililia chadema.mna mtindio wa ubongo nyie.
Chadema wako bize kumpotosha Membe kama walivyompotosha Lowasa.

Mahaba ya Chadema kwa Membe yanasitajaabisha , badala ya kumlilia Mbowe yupo gerezani wako bize kumlilia mwana ccm Membe!!!!
 
Ningekua mimi ndo unanichafua hapa ningekutafuta unieleze kwa kina endapo nisiporidhishwa na hoja zako nakuzabua.
 
Membe hana pesa fukara tu huyo
MEMBE FOR PRESDENTIAL 2020 VIA CCM.MUNGU IBARIKI🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Back
Top Bottom