Membe na vijana wake kuhamia CHADEMA 2019

Chadema kama watapokea tena mwanachama toka Ccm na kumpa post ya kugombea urais watakuwa ni chama kisichokuwa na mipango ya muda mrefu kwakuandaa wanachama wao wenye kujua vema misingi ya chama chao na viongozi wao nitawaona Mazuzu....kama hawajajifunza kilichowakuta rudieni tena japo Siasa ni upepo but mtairahishia Ccm kampeni na mtaonekana ni chama kisichokuwa na maandalizi
Na ndio litakua anguko la chama hicho completely !
 
Ahh wapi
Kijana mdogo chutama uwone kazi ya wanaume kweli
Sio nyinyi wavaa suruali na kupokea kila takataka na kulichezea singeli
Totally pathetic
Chukua like👊
 
Habari hizi nilizikia tangu 2016 nikiwa pale Makao Makuu ya CHADEMA. Ilisemekana kuwa Nape, Membe na wengineo wanapanga kuhamia CHADEMA.

Mwaka huo huo nikakutana na ndugu mmoja aliyekuwa makao makuu ya CCM lakini alikosa uteuzi wa wakuu wa wilaya na alikuwa kwenye mtandao wa Membe nikamjulisha habari za Membe kuhamia CHADEMA alishtuka kwa furaha. Akaniambia Membe ana dola nyingi ameficha ambazo alizipata kwa Gadafi.

Mwaka 2017 rafiki yangu mmoja mbunge kijana wa CHADEMA aliniambia kabla ya 2020 kutakuwa na uhamaji wa Wabunge kutoka pande zote. Aliniambia siasa za 2020 zitakuwa kama za Kenya. Siasa za muungano wa watu maarufu sio Umaarufu wa Vyama tena.Mwezi uliopita kuna rafiki yangu mwingine wa CHADEMA aliniambia umehama ila 2020 hamuwezi kushinda maana mtakimbiwa na wana CCM wengi.

Aidha Miaka mitatu sasa baadae nikifuatilia yanayoendelea ndani ya CCM na hatua mbali mbali za serikali kudhibiti fedha haramu kwenye maduka ya kubadilishia fedha na benki zetu naamini pasi na shaka kuwa huenda kweli zipo dola zimefichwa mahali zinataka kuingia kwenye mzunguko.

Taarifa za uhakika kutoka vyanzo vya ndani vya CHADEMA ni kuwa Membe anahamia CHADEMA. UKAWA unakufa kunakuja kitu ambacho Zitto amekuwa akikitangaza kinachoitwa ADF (Alliance for Democratic Front).

Vyovyote itakavyokuwa Magufuli ameshamaliza harakati hizi kwa mambo aliyoyafanya mpaka sasa. Kumshinda ni ndoto za mchana. Atabeba kura **** anakusanya senene au kumbikumbi.

HAPANA, WAKO BUSY KUANZISHA CHAMA CHAO KITAKACHOITWA "USAWA"
 
Aisee wakati huo huo magari ya shughuli zetu za kazi yameagizwa
 
Kweli Membe anawajambisha CCM ile mbaya, mb uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Anawajambisha au walimjambisha na zile 2bilion, kule dodoma?
 
Mimi CCM ila magufuri hapendwi kama unavyodhani ushauri hapa ni kujipanga kwa matumizi ya dola hamna ujanja mwingine. CCM tuna virusi/maadui wengi kuliko watiifu hutaki sumbua akili utaelewa tu.
Na matumizi ya nguvu wajiandae pia kupelekwa the Hague yakipitiliza.
 
Chadema kama watapokea tena mwanachama toka Ccm na kumpa post ya kugombea urais watakuwa ni chama kisichokuwa na mipango ya muda mrefu kwakuandaa wanachama wao wenye kujua vema misingi ya chama chao na viongozi wao nitawaona Mazuzu....kama hawajajifunza kilichowakuta rudieni tena japo Siasa ni upepo but mtairahishia Ccm kampeni na mtaonekana ni chama kisichokuwa na maandalizi
Njaa zinawasumbua chadrama mcharuko
Sasa wamepata lifukara na lizee la kuvikwa diapers
Chadrama mcharuko mizee ya matukio kwishney kabisa
 
Pole sana hadi umeanza kutumiwa na ccm hadi sasa hawajakupatia walicho kuahidi umetumika kama kandambili
Habari hizi nilizikia tangu 2016 nikiwa pale Makao Makuu ya CHADEMA. Ilisemekana kuwa Nape, Membe na wengineo wanapanga kuhamia CHADEMA.

Mwaka huo huo nikakutana na ndugu mmoja aliyekuwa makao makuu ya CCM lakini alikosa uteuzi wa wakuu wa wilaya na alikuwa kwenye mtandao wa Membe nikamjulisha habari za Membe kuhamia CHADEMA alishtuka kwa furaha. Akaniambia Membe ana dola nyingi ameficha ambazo alizipata kwa Gadafi.

Mwaka 2017 rafiki yangu mmoja mbunge kijana wa CHADEMA aliniambia kabla ya 2020 kutakuwa na uhamaji wa Wabunge kutoka pande zote. Aliniambia siasa za 2020 zitakuwa kama za Kenya. Siasa za muungano wa watu maarufu sio Umaarufu wa Vyama tena.Mwezi uliopita kuna rafiki yangu mwingine wa CHADEMA aliniambia umehama ila 2020 hamuwezi kushinda maana mtakimbiwa na wana CCM wengi.

Aidha Miaka mitatu sasa baadae nikifuatilia yanayoendelea ndani ya CCM na hatua mbali mbali za serikali kudhibiti fedha haramu kwenye maduka ya kubadilishia fedha na benki zetu naamini pasi na shaka kuwa huenda kweli zipo dola zimefichwa mahali zinataka kuingia kwenye mzunguko.

Taarifa za uhakika kutoka vyanzo vya ndani vya CHADEMA ni kuwa Membe anahamia CHADEMA. UKAWA unakufa kunakuja kitu ambacho Zitto amekuwa akikitangaza kinachoitwa ADF (Alliance for Democratic Front).

Vyovyote itakavyokuwa Magufuli ameshamaliza harakati hizi kwa mambo aliyoyafanya mpaka sasa. Kumshinda ni ndoto za mchana. Atabeba kura **** anakusanya senene au kumbikumbi.
 
Utabakia una wayawaya kama zuzu tu na kwa sasa ccm hakuna uteuzi wa wahamihaji haramu maana wenye chama wamestuka

TWENDE NA MEMBE 2020
Chadema wako bize kumpotosha Membe kama walivyompotosha Lowasa.

Mahaba ya Chadema kwa Membe yanasitajaabisha , badala ya kumlilia Mbowe yupo gerezani wako bize kumlilia mwana ccm Membe!!!!
 
Habari hizi nilizikia tangu 2016 nikiwa pale Makao Makuu ya CHADEMA. Ilisemekana kuwa Nape, Membe na wengineo wanapanga kuhamia CHADEMA.

Mwaka huo huo nikakutana na ndugu mmoja aliyekuwa makao makuu ya CCM lakini alikosa uteuzi wa wakuu wa wilaya na alikuwa kwenye mtandao wa Membe nikamjulisha habari za Membe kuhamia CHADEMA alishtuka kwa furaha. Akaniambia Membe ana dola nyingi ameficha ambazo alizipata kwa Gadafi.

Mwaka 2017 rafiki yangu mmoja mbunge kijana wa CHADEMA aliniambia kabla ya 2020 kutakuwa na uhamaji wa Wabunge kutoka pande zote. Aliniambia siasa za 2020 zitakuwa kama za Kenya. Siasa za muungano wa watu maarufu sio Umaarufu wa Vyama tena.Mwezi uliopita kuna rafiki yangu mwingine wa CHADEMA aliniambia umehama ila 2020 hamuwezi kushinda maana mtakimbiwa na wana CCM wengi.

Aidha Miaka mitatu sasa baadae nikifuatilia yanayoendelea ndani ya CCM na hatua mbali mbali za serikali kudhibiti fedha haramu kwenye maduka ya kubadilishia fedha na benki zetu naamini pasi na shaka kuwa huenda kweli zipo dola zimefichwa mahali zinataka kuingia kwenye mzunguko.

Taarifa za uhakika kutoka vyanzo vya ndani vya CHADEMA ni kuwa Membe anahamia CHADEMA. UKAWA unakufa kunakuja kitu ambacho Zitto amekuwa akikitangaza kinachoitwa ADF (Alliance for Democratic Front).

Vyovyote itakavyokuwa Magufuli ameshamaliza harakati hizi kwa mambo aliyoyafanya mpaka sasa. Kumshinda ni ndoto za mchana. Atabeba kura **** anakusanya senene au kumbikumbi.
Zero Brain.
 
Back
Top Bottom