Membe na vijana wake kuhamia CHADEMA 2019

2020 upinzani utakuja kivingine ni mwendo kama wa Ghana na Gambia ni zamu ya upinzani kukaa ikulu kisha wabadili katiba Rais ashitakiwe kwa yote aliyoyafanya akiwa ikulu ili iwe fundisho kwa CCM wana konki master.
 
Siasa bwana,Sumaye na Lowassa walikuwa maadui lkn badaye wakaungana.Membe na Lowassa ni mahasimu ,unaweza shangaa kweli wakaungana
 
Neno
Aende tu
Na kama kipindi cha lowasa na pesa yake changanya na ya rostam na bado tukampiga chini, sembuse membe fukara na madeal yake yote yako uwani yameanikwa kama kauzu uwiii
Babu kaisha walahi
Mashindano ya Dunia yaani likija kombe la Dunia la uchakachuaji nina imani CCM watakuwa mabingwa wa Dunia kwani hakuna chama kinaiba kura kama CCM Duniani hao CCM hawana mpinzani kwenye wizi wa kura uchakachuaji wa kila aina yaani CCM ni kiboko Duniani
 
Mimi CCM ila magufuri hapendwi kama unavyodhani ushauri hapa ni kujipanga kwa matumizi ya dola hamna ujanja mwingine. CCM tuna virusi/maadui wengi kuliko watiifu hutaki sumbua akili utaelewa tu.
MUWONGO MKUBWA WEWE
 
Chadema kama watapokea tena mwanachama toka Ccm na kumpa post ya kugombea urais watakuwa ni chama kisichokuwa na mipango ya muda mrefu kwakuandaa wanachama wao wenye kujua vema misingi ya chama chao na viongozi wao nitawaona Mazuzu....kama hawajajifunza kilichowakuta rudieni tena japo Siasa ni upepo but mtairahishia Ccm kampeni na mtaonekana ni chama kisichokuwa na maandalizi
Hili li chadrama mcharuko mizee ya matukio kwishney
Bavicha Magoti mifukara ya milele
Walahi
 
Habari hizi nilizikia tangu 2016 nikiwa pale Makao Makuu ya CHADEMA. Ilisemekana kuwa Nape, Membe na wengineo wanapanga kuhamia CHADEMA.

Mwaka huo huo nikakutana na ndugu mmoja aliyekuwa makao makuu ya CCM lakini alikosa uteuzi wa wakuu wa wilaya na alikuwa kwenye mtandao wa Membe nikamjulisha habari za Membe kuhamia CHADEMA alishtuka kwa furaha. Akaniambia Membe ana dola nyingi ameficha ambazo alizipata kwa Gadafi.

Mwaka 2017 rafiki yangu mmoja mbunge kijana wa CHADEMA aliniambia kabla ya 2020 kutakuwa na uhamaji wa Wabunge kutoka pande zote. Aliniambia siasa za 2020 zitakuwa kama za Kenya. Siasa za muungano wa watu maarufu sio Umaarufu wa Vyama tena.Mwezi uliopita kuna rafiki yangu mwingine wa CHADEMA aliniambia umehama ila 2020 hamuwezi kushinda maana mtakimbiwa na wana CCM wengi.

Aidha Miaka mitatu sasa baadae nikifuatilia yanayoendelea ndani ya CCM na hatua mbali mbali za serikali kudhibiti fedha haramu kwenye maduka ya kubadilishia fedha na benki zetu naamini pasi na shaka kuwa huenda kweli zipo dola zimefichwa mahali zinataka kuingia kwenye mzunguko.

Taarifa za uhakika kutoka vyanzo vya ndani vya CHADEMA ni kuwa Membe anahamia CHADEMA. UKAWA unakufa kunakuja kitu ambacho Zitto amekuwa akikitangaza kinachoitwa ADF (Alliance for Democratic Front).

Vyovyote itakavyokuwa Magufuli ameshamaliza harakati hizi kwa mambo aliyoyafanya mpaka sasa. Kumshinda ni ndoto za mchana. Atabeba kura **** anakusanya senene au kumbikumbi.

Hivi we bwana... tangu uhamie CCM sijawahi kuona bandiko lako lenye neno CCM... ni CHADEMA tuuuu...... sasa kama umeshatoka kwanini haya maushauri(maujinga kwa kweli) usiyaelekeze kwenye CCM ili kuunga mkono juhudi????
 
Mimi CCM ila magufuri hapendwi kama unavyodhani ushauri hapa ni kujipanga kwa matumizi ya dola hamna ujanja mwingine. CCM tuna virusi/maadui wengi kuliko watiifu hutaki sumbua akili utaelewa tu.
Wewe Maembe siyo ccm.
Nataka nikuambie wasiyompenda Magufuli ni wale ambao mirija yao imekatwa
 
Habari hizi nilizikia tangu 2016 nikiwa pale Makao Makuu ya CHADEMA. Ilisemekana kuwa Nape, Membe na wengineo wanapanga kuhamia CHADEMA.

Mwaka huo huo nikakutana na ndugu mmoja aliyekuwa makao makuu ya CCM lakini alikosa uteuzi wa wakuu wa wilaya na alikuwa kwenye mtandao wa Membe nikamjulisha habari za Membe kuhamia CHADEMA alishtuka kwa furaha. Akaniambia Membe ana dola nyingi ameficha ambazo alizipata kwa Gadafi.

Mwaka 2017 rafiki yangu mmoja mbunge kijana wa CHADEMA aliniambia kabla ya 2020 kutakuwa na uhamaji wa Wabunge kutoka pande zote. Aliniambia siasa za 2020 zitakuwa kama za Kenya. Siasa za muungano wa watu maarufu sio Umaarufu wa Vyama tena.Mwezi uliopita kuna rafiki yangu mwingine wa CHADEMA aliniambia umehama ila 2020 hamuwezi kushinda maana mtakimbiwa na wana CCM wengi.

Aidha Miaka mitatu sasa baadae nikifuatilia yanayoendelea ndani ya CCM na hatua mbali mbali za serikali kudhibiti fedha haramu kwenye maduka ya kubadilishia fedha na benki zetu naamini pasi na shaka kuwa huenda kweli zipo dola zimefichwa mahali zinataka kuingia kwenye mzunguko.

Taarifa za uhakika kutoka vyanzo vya ndani vya CHADEMA ni kuwa Membe anahamia CHADEMA. UKAWA unakufa kunakuja kitu ambacho Zitto amekuwa akikitangaza kinachoitwa ADF (Alliance for Democratic Front).

Vyovyote itakavyokuwa Magufuli ameshamaliza harakati hizi kwa mambo aliyoyafanya mpaka sasa. Kumshinda ni ndoto za mchana. Atabeba kura **** anakusanya senene au kumbikumbi.
kwanza ccm hawategemei kura wao turufu yao ni tume ya uchaguzi na polisi na jeshi pili kwa taarifa yako muswaada utakawo pelekwa bungeni mwakani ni kipengele kinachosema mtu akihama kwenye chama chake hawezi kugombea chama chengine mpaka mwaka mmoja upite pia kuna kipengele kinachosema vyama haviwezi kushirikiana mpaka maziri mkuu akubali sasa hapo jawabu analo mwenyewe
 
Membe Ccm 2020 President

Nakuhakikishia sahau kabisa, Dr Magufuli ni mpaka 2027 atoke madarani yaani astaafu. Nyingine zote hizo ni ngonjera tu. Mumesahau Mwl Nyerere alifanyia nini Watanzania! Viwanda, mashirika makubwa na mengi ya umma lakini awamu za tatu na nne zilifilisi kila kitu, sasa Magu anarudisha taratibu ila jamaa wanampiga vita kali ndani na nje ya chama. However they will never be successful!
 
Habari hizi nilizikia tangu 2016 nikiwa pale Makao Makuu ya CHADEMA. Ilisemekana kuwa Nape, Membe na wengineo wanapanga kuhamia CHADEMA.

Mwaka huo huo nikakutana na ndugu mmoja aliyekuwa makao makuu ya CCM lakini alikosa uteuzi wa wakuu wa wilaya na alikuwa kwenye mtandao wa Membe nikamjulisha habari za Membe kuhamia CHADEMA alishtuka kwa furaha. Akaniambia Membe ana dola nyingi ameficha ambazo alizipata kwa Gadafi.

Mwaka 2017 rafiki yangu mmoja mbunge kijana wa CHADEMA aliniambia kabla ya 2020 kutakuwa na uhamaji wa Wabunge kutoka pande zote. Aliniambia siasa za 2020 zitakuwa kama za Kenya. Siasa za muungano wa watu maarufu sio Umaarufu wa Vyama tena.Mwezi uliopita kuna rafiki yangu mwingine wa CHADEMA aliniambia umehama ila 2020 hamuwezi kushinda maana mtakimbiwa na wana CCM wengi.

Aidha Miaka mitatu sasa baadae nikifuatilia yanayoendelea ndani ya CCM na hatua mbali mbali za serikali kudhibiti fedha haramu kwenye maduka ya kubadilishia fedha na benki zetu naamini pasi na shaka kuwa huenda kweli zipo dola zimefichwa mahali zinataka kuingia kwenye mzunguko.

Taarifa za uhakika kutoka vyanzo vya ndani vya CHADEMA ni kuwa Membe anahamia CHADEMA. UKAWA unakufa kunakuja kitu ambacho Zitto amekuwa akikitangaza kinachoitwa ADF (Alliance for Democratic Front).

Vyovyote itakavyokuwa Magufuli ameshamaliza harakati hizi kwa mambo aliyoyafanya mpaka sasa. Kumshinda ni ndoto za mchana. Atabeba kura **** anakusanya senene au kumbikumbi.
Vipi mbona siku hizi habari za kujipendekeza CCM umeacha? Wame kutosa nini? Mwanaume kuwa mnafiki hasa huko unakotokea ni "balaa" la kiukoo hadi watambike kuliondoa!
 
Habari hizi nilizikia tangu 2016 nikiwa pale Makao Makuu ya CHADEMA. Ilisemekana kuwa Nape, Membe na wengineo wanapanga kuhamia CHADEMA.

Mwaka huo huo nikakutana na ndugu mmoja aliyekuwa makao makuu ya CCM lakini alikosa uteuzi wa wakuu wa wilaya na alikuwa kwenye mtandao wa Membe nikamjulisha habari za Membe kuhamia CHADEMA alishtuka kwa furaha. Akaniambia Membe ana dola nyingi ameficha ambazo alizipata kwa Gadafi.

Mwaka 2017 rafiki yangu mmoja mbunge kijana wa CHADEMA aliniambia kabla ya 2020 kutakuwa na uhamaji wa Wabunge kutoka pande zote. Aliniambia siasa za 2020 zitakuwa kama za Kenya. Siasa za muungano wa watu maarufu sio Umaarufu wa Vyama tena.Mwezi uliopita kuna rafiki yangu mwingine wa CHADEMA aliniambia umehama ila 2020 hamuwezi kushinda maana mtakimbiwa na wana CCM wengi.

Aidha Miaka mitatu sasa baadae nikifuatilia yanayoendelea ndani ya CCM na hatua mbali mbali za serikali kudhibiti fedha haramu kwenye maduka ya kubadilishia fedha na benki zetu naamini pasi na shaka kuwa huenda kweli zipo dola zimefichwa mahali zinataka kuingia kwenye mzunguko.

Taarifa za uhakika kutoka vyanzo vya ndani vya CHADEMA ni kuwa Membe anahamia CHADEMA. UKAWA unakufa kunakuja kitu ambacho Zitto amekuwa akikitangaza kinachoitwa ADF (Alliance for Democratic Front).

Vyovyote itakavyokuwa Magufuli ameshamaliza harakati hizi kwa mambo aliyoyafanya mpaka sasa. Kumshinda ni ndoto za mchana. Atabeba kura **** anakusanya senene au kumbikumbi.
Its 2020 unabii wako vipi tena?
 
Back
Top Bottom