Lowassa nae alitaka hivyo hivyo na akaapa kabisa kuwa hahami. Kilichofuata unakijuaAtahamiaje CHADEMA wakati anataka Kugombea Uraisi akiwa CCM 2020. We niaje eroo?
Niliahidiwa nini? Ulikuwepo?Pole sana hadi umeanza kutumiwa na ccm hadi sasa hawajakupatia walicho kuahidi umetumika kama kandambili
Niliahidiwa nini? Ulikuwepo?
Niliahidiwa nini? Ulikuwepo?
Safari ya kuelekea kwenya ukombozi/mabadiliko ni ngumu mtapitia ktk hatua tata nyingi, kikubwa kiwango cha uvumilivu kina hitajika,kutoka kwa maccm kwenda upinzani kunachangamoto nyingi hawa jamaa wamewekeza na wana masilahi yao ndani ya ccm.ujio wa mhe Lowassa na kundi lake walikua na asilimia kubwa ya nchi kuchukuliwa na wapinzani,hivi sasa tunawaona sehemu ya kundi hili kujikomba kwa viongozi wa kuu wa ccm.
Huyu hapa2020 Tusifanye Makosa Twende na Membe
Nalog off
Abaki huko hukoo...Wazidi kuvurugana! Akija huku bao la mkono watatupigaa tuu
Zero Brain.
Credibility yako ndogo sana!Mimi nilileta uzi unaofanana na huu leo hii wameufuta.
Mbowe kuwa jela wala siyo habari, ni sawa na Dar kuwa na joto December!Chadema wako bize kumpotosha Membe kama walivyompotosha Lowasa.
Mahaba ya Chadema kwa Membe yanasitajaabisha , badala ya kumlilia Mbowe yupo gerezani wako bize kumlilia mwana ccm Membe!!!!
Najua ulivyo ahidiwa na walivyo kutosa sasa umebakia kuwayawaya na kama ukiwa mbishi nitatoa kila kitu hapa jamvini
MEMBE FOR PRESDENTIAL 2020 VIA CCM.MUNGU IBARIKI🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Ukiwa mbishi nitatoa kila kitu ulichofanyiwaRuksa. Acha kujishebedua. Mimi naongozwa na dhamira yangu
Membe si mtu wa aina hiyo, anaamini ni suala la muda tu atapata madaraka akiwa CCM