Naiona CHADEMA ikisambaratika, nani alaumiwe?

Dr Adam Francis

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
790
Reaction score
1,316
Dola haziangushwi na maadui kutoka nje, historia inatufundisha kuwa Dola huuawa na vita zake za ndani kwanza hatimaye maadaui wanje humalizia kazi. Ndio maana waswahili husema mjenga nchi ni mwananchi, kadhalika mbomoa nchi ni mwananchi.

Chama kikubwa kama CHADEMA kilichopitia misukosuko mingi na kikastahimili, ni wazi kuwa hakiwezi kufa kwa propaganda, viongozi wake kuhamia CCM, viongozi wake kukamatwa, wala mikutano yao kuzuiwa. Haya yote yamefanyika sana lakini hayakufua dafu.

Lakini hii vita ya ndani, ya Lema na wanaharakati, Mange na Maria Sarungi, haitakiacha CHADEMA salama. Kinachoendelea sasa ni ile hadithi ya joka kukiviringa na kujikaza juu ya kisu kilichomkata akidhani atakinyonga na kulipiza kisasi hatimaye makali ya kisu yakamkata zaidi.

Tizama CHADEMA ilipofika sasa, Lema keshavishwa lebo ni msaliti, Mange na Maria Sarungi wameitwa waongo na wachonganishi, Heche kaambiwa hakutakiwa na Lissu awe makamu mwenyekiti, Mnyika kaambiwa ndiye anayeendelea kumfuga Mbowe kwenye magroup ya CHADEMA ya kamati kuu. Swali linabaki nini mwisho wa hii Kasheshe?

CCM wamejifunza ku-survive political plight za namna hii, ni wakati sasa CHADEMA waweke silaha chini wakajifunze CCM namna ya kushughulikia migogoro ya sampuli hii.
 
Una miaka mingapi?
Ulikuwepo kipindi Cha Dr Slaa, Zito, Mbowe kuachia uenyekiti n.k?
 
Hata kipindi cha Zitto mlisema hivyo, hata Dr Slaa, hata Mbowe na wale madali wa chaumma mlisema hivyo. Sembuse dalali Lema?
 
Dola haziangushwi na maadui kutoka nje, historia inatufundisha kuwa Dola huuawa na vita zake za ndani kwanza hatimaye maadaui wanje humalizia kazi. Ndio maana waswahili husema mjenga nchi ni mwananchi, kadhalika mbomoa nchi ni mwananchi.

Chama kikubwa kama CHADEMA kilichopitia misukosuko mingi na kikastahimili, ni wazi kuwa hakiwezi kufa kwa propaganda, viongozi wake kuhamia CCM, viongozi wake kukamatwa, wala mikutano yao kuzuiwa. Haya yote yamefanyika sana lakini hayakufua dafu.

Lakini hii vita ya ndani, ya Lema na wanaharakati, Mange na Maria Sarungi, haitakiacha CHADEMA salama. Kinachoendelea sasa ni ile hadithi ya joka kukiviringa na kujikaza juu ya kisu kilichomkata akidhani atakinyonga na kulipiza kisasi hatimaye makali ya kisu yakamkata zaidi.

Tizama CHADEMA ilipofika sasa, Lema keshavishwa lebo ni msaliti, Mange na Maria Sarungi wameitwa waongo na wachonganishi, Heche kaambiwa hakutakiwa na Lissu awe makamu mwenyekiti, Mnyika kaambiwa ndiye anayeendelea kumfuga Mbowe kwenye magroup ya CHADEMA ya kamati kuu. Swali linabaki nini mwisho wa hii Kasheshe?

CCM wamejifunza ku-survive political plight za namna hii, ni wakati sasa CHADEMA waweke silaha chini wakajifunze CCM namna ya kushughulikia migogoro ya sampuli hii.
Wewe hujui kitu
1. C CM inatumia Dola ku survive
2. Lema ni kama Msigwa ataondoka na chadema itabaki salàma
3. Mange na Maria ni watu baki na si wana chama wa chadema ila wanaunga kinachofanywa na chadema. Wao nguvu yao wanaiweka kwenye Umma to defend democracy and defeat udikiteita
4. At sometime, malengo ya chadema na hawa Mange na Maria yanafanana, but hawana influence yoyte na yanayoendelea ndani ya Chadema
 
Back
Top Bottom