Membe na vijana wake kuhamia CHADEMA 2019

Membe na vijana wake kuhamia CHADEMA 2019

Kama wewe unayewaza kusoma ili uajiliwe like ni kuwaibie wananchi, tena masikini hahaha. Pole bro fanya kazi utoke kimaisha.
Si ajiriki maana I'm very expensive..
 
Mkakati mbovu kweli!! Hata jina lilipaswa basi kuwa Front For Democratic Alliance
 
Habari hizi nilizikia tangu 2016 nikiwa pale Makao Makuu ya CHADEMA. Ilisemekana kuwa Nape, Membe na wengineo wanapanga kuhamia CHADEMA.

Mwaka huo huo nikakutana na ndugu mmoja aliyekuwa makao makuu ya CCM lakini alikosa uteuzi wa wakuu wa wilaya na alikuwa kwenye mtandao wa Membe nikamjulisha habari za Membe kuhamia CHADEMA alishtuka kwa furaha. Akaniambia Membe ana dola nyingi ameficha ambazo alizipata kwa Gadafi.

Mwaka 2017 rafiki yangu mmoja mbunge kijana wa CHADEMA aliniambia kabla ya 2020 kutakuwa na uhamaji wa Wabunge kutoka pande zote. Aliniambia siasa za 2020 zitakuwa kama za Kenya. Siasa za muungano wa watu maarufu sio Umaarufu wa Vyama tena.Mwezi uliopita kuna rafiki yangu mwingine wa CHADEMA aliniambia umehama ila 2020 hamuwezi kushinda maana mtakimbiwa na wana CCM wengi.

Aidha Miaka mitatu sasa baadae nikifuatilia yanayoendelea ndani ya CCM na hatua mbali mbali za serikali kudhibiti fedha haramu kwenye maduka ya kubadilishia fedha na benki zetu naamini pasi na shaka kuwa huenda kweli zipo dola zimefichwa mahali zinataka kuingia kwenye mzunguko.

Taarifa za uhakika kutoka vyanzo vya ndani vya CHADEMA ni kuwa Membe anahamia CHADEMA. UKAWA unakufa kunakuja kitu ambacho Zitto amekuwa akikitangaza kinachoitwa ADF (Alliance for Democratic Front).

Vyovyote itakavyokuwa Magufuli ameshamaliza harakati hizi kwa mambo aliyoyafanya mpaka sasa. Kumshinda ni ndoto za mchana. Atabeba kura **** anakusanya senene au kumbikumbi.
Kwanza ujui unachokiandika unababiababia tu maneno. Tunachotaka watanzania ni UONGOZI WA KUFUATA HAKI. WATANZANIA WANATAKA KATIBA MPYA ISIYOMPA RAIS MADARAKA MAKUBWA. WANANCHI WANATAKA UONGOZI UTAKAOSIMAMIA HAKI SIYO UONGOZI UNAOLINDA BAADHI YA WATU. SIYO UONGOZI WA KUONEA, SIYO UONGOZI WA KUTUGAWA KUWA HUYU NI MSUKUMA HUYU NI MHAYA. UONGOZI WA KULINDA HAKI NA AMANI YA WATANZANIA. SIYO UONGOZI WA KUCHAGUA SEHEMU PA KUPELEKA MAENDELEO, SIYO KIONGOZI WA KUSEMA USIPELEKE MAWNDELEO KILIMANJARO KWASABABU HAWAKUNICHAGUA, SIYO KIONGOZI ANAYESEMA USIPELEKE MAENDELEO KWENYE MAJIMBO YA OPPOSITION. WALIOKO OPPOSITION WOTE NI WATANZANIA NA WANALIPA KODI ZAO KWA NCHI YAO, HIVYO NAO WANASTAHILI KUPATA MAENDELEO. TUNAMTAKA KIONGOZI ANAEPENDA MAENDELEO KWA WATANZANIA WOTE BILA KUJALI ITIKADI ZAO ZA KIVYAMA. HIVYO HAIJALISHI ANATOKA OPPOSITION AU CHAMA TAWALA. TUNATAKA TANZANIA YENYE KURUHUSU UHURU WA KILA MTU, TUNATAKA TANZANIA YENYE VYAMA VIWILI VIKUU VINAVYOSHINDANA KWA HOJA SIYO KWA RISASI.
 
Ur expensive? 4which thing! Umeishiwa manenoeh! Pole sana.
Subconscious mind kama nyie ndiyo unaweza kutembea nyuma medula mkishangilia upuuzi..! Mimi CCM ila siongozwi na medula kufanya decision.
 
Chadema wako bize kumpotosha Membe kama walivyompotosha Lowasa.

Mahaba ya Chadema kwa Membe yanasitajaabisha , badala ya kumlilia Mbowe yupo gerezani wako bize kumlilia mwana ccm Membe!!!!
Aliyewaroga wafuasi wa chadema huenda akawa binadamu mwenye dhambi nyingi kuliko mtu yyt duniani. Haiwezekan hawa viumbe wasijue nini wanasimamia, leo hii akiibuka mwingine huko ccm utasikia tunaenda naye.
 
Hamtaki kuamini kuwa mziki ndani ya ccm ni "ondoa mshamba"?
Mtaelewa somo siku mtu anapigwa chini na NEC ya ccm kama Zuma au Mbeki walivyo pigwa chini na NEC ya ANC
Kamanda mimi bado naamini Lowasa ndio rais wetu wa mioyoni.
 
Membe hahami chama wewe, CCM wenyewe hali mbaya wanatafuta mtu atayeungwa mkono CCM na CDM ili washinde uchaguzi 2020 kirahisi bila kumwaga damu.. CCM wanajua 2020 wasipokuwa makini wanaweza kumwaga damu nyingi itakayoacha historia na visasi..
 
Tunakwenda kushuhudia Victim mwingine wa Chadema, Chadema ni chama kinachotumia watu na kuwatupa kwenye dustbin.
 
Na maana yake sio kupingapinga tu kila kitu, usiwe Chadema kwa ajili ya maendeeleo ya Kilimanjaro na Arusha tu! Usiwe mpinzani wa kugeuza geuza maneno tu! Hata juhudi kubwa kubwa zinazofanywa na Raisi wetu hamzioni.

ndani ya miaka 3 misingi imara ya nchi imewekwa ambayo ilipotezwa kwa makusudi! Heshima na utu wa mtanzania umerudi, ila haya yote hamyaoni ila kazi yenu nyie kuponda tuu.. ila nyie ndiyo mliokuwa mnakula hadi mnakomba mboga, hamtaacha kumsema mabaya Rais kwasababu amewagusa pabaya.

Jamani mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Kwanza ujui unachokiandika unababiababia tu maneno. Tunachotaka watanzania ni UONGOZI WA KUFUATA HAKI. WATANZANIA WANATAKA KATIBA MPYA ISIYOMPA RAIS MADARAKA MAKUBWA. WANANCHI WANATAKA UONGOZI UTAKAOSIMAMIA HAKI SIYO UONGOZI UNAOLINDA BAADHI YA WATU. SIYO UONGOZI WA KUONEA, SIYO UONGOZI WA KUTUGAWA KUWA HUYU NI MSUKUMA HUYU NI MHAYA. UONGOZI WA KULINDA HAKI NA AMANI YA WATANZANIA. SIYO UONGOZI WA KUCHAGUA SEHEMU PA KUPELEKA MAENDELEO, SIYO KIONGOZI WA KUSEMA USIPELEKE MAWNDELEO KILIMANJARO KWASABABU HAWAKUNICHAGUA, SIYO KIONGOZI ANAYESEMA USIPELEKE MAENDELEO KWENYE MAJIMBO YA OPPOSITION. WALIOKO OPPOSITION WOTE NI WATANZANIA NA WANALIPA KODI ZAO KWA NCHI YAO, HIVYO NAO WANASTAHILI KUPATA MAENDELEO. TUNAMTAKA KIONGOZI ANAEPENDA MAENDELEO KWA WATANZANIA WOTE BILA KUJALI ITIKADI ZAO ZA KIVYAMA. HIVYO HAIJALISHI ANATOKA OPPOSITION AU CHAMA TAWALA. TUNATAKA TANZANIA YENYE KURUHUSU UHURU WA KILA MTU, TUNATAKA TANZANIA YENYE VYAMA VIWILI VIKUU VINAVYOSHINDANA KWA HOJA SIYO KWA RISASI.
 
Utabaki hvyo hvyo ooh rafik angu mbunge oo mkuu wa wilaya nilichogundua wwe n Malaya wa kisiasa wataalam wanaita opportunist ulianza na vita ya mbowe Leo umehamia kwa membe kumsafisha POMBE ili aonekane malaika inahitaj kaz hii nchi itakuwa kama Ethiopia INA kila kitu cha mfano wa kuigwa kama reli ndege lakn RAIA wake kila cku wanaikimbia nchi yao kwa maisha magumu mifano tunayo wahabesh wengi wapo kwenye magereza yetu nenda kawaulize sgr ndege zmewasaidiaa nn mbona wanakmbia nchi yao WATANZANIA TUPIGANIE TAIFA LETU TUKIZUBAA YA ETHIOPIA SOON YATATOKEA TANZANIA
 
Unajiona upo sahihi sana ndg yangu, ila ni kweli unaweza ukasoma na elimu yako isikusaidie, usipingane na ukweli siku utapata aibu ya nafsi pale utakapopata majibu sahihi ya hiki ninachoambia.

Punguza hasira na jazba, unaweza ukawa mwelewa nzuri.
Subconscious mind kama nyie ndiyo unaweza kutembea nyuma medula mkishangilia upuuzi..! Mimi CCM ila siongozwi na medula kufanya decision.
 
Kwa kura huru hawaambulii kitu. Pona ya ccm ni kwa hisani ya Nec, wakurugenzi na policcm, baas!
 
Subconscious mind kama nyie ndiyo unaweza kutembea nyuma medula mkishangilia upuuzi..! Mimi CCM ila siongozwi na medula kufanya decision.
Huna uccm wowote wewe, we nyum***b toka Serengeti. Kwani ukijiita bavicha unakufa?
 
Back
Top Bottom