Membe na vijana wake kuhamia CHADEMA 2019

Membe na vijana wake kuhamia CHADEMA 2019

Membe kashika vidume vya lumumba pumbur

Magufuli kaharibu uchumi + diplomasia ya kimataifa...
 
Mimi CCM ila magufuri hapendwi kama unavyodhani ushauri hapa ni kujipanga kwa matumizi ya dola hamna ujanja mwingine. CCM tuna virusi/maadui wengi kuliko watiifu hutaki sumbua akili utaelewa tu.
Yeeees umeongea ukweli mtupu ....wasiompenda magu ndani ya chama ni wengi mnoooo kuliko wanaompenda. Kama anataka aendelee kutumia dola kama afanyavyo, binafsi na kadi yangu ya kijani ila huyo dingi yenu hapana ukweli usemwe tu
 
Mimi CCM ila magufuri hapendwi kama unavyodhani ushauri hapa ni kujipanga kwa matumizi ya dola hamna ujanja mwingine. CCM tuna virusi/maadui wengi kuliko watiifu hutaki sumbua akili utaelewa tu.

= Magufuli

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Jidanganye sasa, walio ajiriwa na Magufuri ndiyo watiifu kwake tu, mtu anaye kula kwa akili na nguvu zake huwezi mkuta anamshabikia Magufuri.
Waache wajitie wazimu tulioko huku chini tunajua yanayoendelea
 
Chadema kama watapokea tena mwanachama toka Ccm na kumpa post ya kugombea urais watakuwa ni chama kisichokuwa na mipango ya muda mrefu kwakuandaa wanachama wao wenye kujua vema misingi ya chama chao na viongozi wao nitawaona Mazuzu....kama hawajajifunza kilichowakuta rudieni tena japo Siasa ni upepo but mtairahishia Ccm kampeni na mtaonekana ni chama kisichokuwa na maandalizi
HUJUWI LOLOTE HUWEZI CHIMBA MSINGI KAMA HUNA KIWANJA!
 
Humpendi wewe na wapiga dili uchwara wenzio, ila mamburula mtasubiri sana na harakati zenu uchwara za kumdoofisha JPM. Ila si mnajua Magufuli ni chuma cha reli? Msije geuza maneno tu 2020 mtapogalagazwa.
Kadhoofika mwenyewe yuko ICU anapumulia mpira (dola).Unaanzaje kumdhofisha aliyekwisha kudhoofika.
 
Makamanda wameshawasahau Mbowe, Lowasa na Lisu. Sasa singo ni Membe tu.
Hamtaki kuamini kuwa mziki ndani ya ccm ni "ondoa mshamba"?
Mtaelewa somo siku mtu anapigwa chini na NEC ya ccm kama Zuma au Mbeki walivyo pigwa chini na NEC ya ANC
 
Ahh wapi
Kijana mdogo chutama uwone kazi ya wanaume kweli
Sio nyinyi wavaa suruali na kupokea kila takataka na kulichezea singeli
Totally pathetic
Hivi mbona unajitukana au hujioni.

Hizo takataka mlizobeba huko upinzani a ti kuunga mkono juhudi kwa kuwapa kila aina ya vyeo huoni? Au nyani hauni mku",;ndu wake?
 
Kama wewe unayewaza kusoma ili uajiliwe like ni kuwaibie wananchi, tena masikini hahaha. Pole bro fanya kazi utoke kimaisha.
Jidanganye sasa, walio ajiriwa na Magufuri ndiyo watiifu kwake tu, mtu anaye kula kwa akili na nguvu zake huwezi mkuta anamshabikia Magufuri.
 
Hizo tabia mnazo nyinyi chadrama mcharuko mizee ya matukio, hamna kazi kutwa kucha kubeba bendera yetu mitaani
NO DIGNITY
JIZEE ZIMA OVYOOOOO
crazy psychopath
Wangapi WA upinzani walibebba bendera zenu?
 
Back
Top Bottom