Membe na Kikwete ni ndugu

Membe na Kikwete ni ndugu

Status
Not open for further replies.
Bila mashaka, hawa ni ndugu,
kwa faida nikutajie wachache wengine waliopewa nafasi na jkccm kwa sababu za undugu
jaji mkuu chande othman ni binamu yake pamoja na mdogo wake rashid othman ambaye ni mkuu wa idara ya usalama wa taifa.
Waziri wa elimu dk shukuru kawambwa naye ni mjomba na jkccm
mkuu wa polisi igp said mwema ni shemeji na jkccm kwani mwema amemwoa dada wa jkccm hajati amina mrisho ambaye alikuwa mkuu wa mkoa wa iringa na baadae pwani na sasa amestaafu, lakini pia dk fatuma mrisho kikwete ambaaye alikuwa mkurugenzi wa tume ya ukimwi tacaids na baadaye akapewa kuwa mkurugenzi wa sensa 2012 ni dada wa jkccm gamba. Na wengine kibao
 
Duuuu!!!!! Kuna baadhi watanzania tunajua kuunga!!!! Japo hayana ukweli
 
Kuna yule Khalfani aliyekuwa TANTRADE akajengaga gesti yake bubu ndani ya uwanja wa sabasaba huku akiwa anawala wafanyakazi wake humo. Nayeye ni mjomba wa JKccm pia. Hivi huyu mzee yuko wapi maana ameondoka akaacha msala ambao wengine wakasimamishwa kazi mpaka leo kimya
 
ni ndugu yake kabisa hilo liko wazi kwanza wanafanana sana
 
Undugu wa Membe na Jk wamechangia mama? Mi najua Membe Mmwera na Jk ------.
 
haka kathread ni kazuri mno...ngoja tuone mwisho wake...kwa ufupi tu hata mimi jk ni ndugu yangu nimemwoa dada yake anayezaliwa na dnamu yake yule ambaye wanachangia bibi upande wa ujombani kwa yule bibi aliye wahi kuolewa na kaka yake mama yake jk wa kufikiwa ambaye aliachika....
 
Kwani Kikwete ni mtoto wa kweli wa Baba yake? inasemakana Mama yake alikuwa nyumba ndogo ya Mzee wa Kimasai wa Bagamoyo aitwae Ole mtumia, watu inasema ndio metia mimba ya kikwete. je ni ledio mbau?
 
Kalagabao...., Si mbaya kuwanyanyua ndugu zake kama kweli wanafanya kazi vizuri. Siku akitoka nao watatoka.
 
haka kathread ni kazuri mno...ngoja tuone mwisho wake...kwa ufupi tu hata mimi jk ni ndugu yangu nimemwoa dada yake anayezaliwa na dnamu yake yule ambaye wanachangia bibi upande wa ujombani kwa yule bibi aliye wahi kuolewa na kaka yake mama yake jk wa kufikiwa ambaye aliachika....

Ndo maana hujapewa nafasi kwenye nchi hii, wenzio wanaundugu wakaribu yaani huruki mtu hapo
 
Kalagabao...., Si mbaya kuwanyanyua ndugu zake kama kweli wanafanya kazi vizuri. Siku akitoka nao watatoka.

Nasikia hata enzi za Mkapa alifanya hivyo Mama Anna kwa ndugu zake na alipoondoka wote jiiiii
 
Niongeze hapo mkuu wa wilaya ya muheza tanga pia mbunge wa kuteuliwa vyeo viwili kwa mpigo mi mdada flan hv huyu,nduguze mkuu wa kaya.
 
Niongeze hapo mkuu wa wilaya ya muheza tanga pia mbunge wa kuteuliwa vyeo viwili kwa mpigo mi mdada flan hv huyu,nduguze mkuu wa kaya.

Yote tisa.Kumi ni kwenye urais ambapo kaka mtu atampigania mdogo wake awe rais wetu.??????!!!!
 
Ni taarifa za kweli, lakini they share baba, sio mama.

Baba wa JK alikuwa ni mtumishi wa serikali ya mkoloni, hakuwa mlala hoi mfuga mbuzi kijijini, so was baba mzazi wa Anna Makinda, Profesa Mwandosya n.k.

Baba wa JK alikutana na mama wa Membe katika mizunguko yake ya kikazi, na huyu mama alikuwa ni sista miaka ya kabla.

Ndio maana ni kawaida kwa JK mara moja moja kuelezea jinsi gani amelelewa pia katika mazingira ya kikristo.
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha naambiwa ni mkwe wake.

Sio kweli, Meghji ana watoto watatu wa kiume na wawili wa kike, mkubwa jina lake ni Jamila, huyu ameolewa na mk.were mmoja anaitwa said muuza spea za magari na biashara nyingine na wanaishi maeneo ya mbezi beach, binti mwingine anaitwa Salma ameolewa na mtoto wa jenerali waitara ambae ni afisa ubalozi wetu huko ulaya. Msichana ambae anazungumzwa kama mtoto wa megji ni mzanzibari ambae familia yake ina ukaribu na familia ya meghji huko unguja na hilo ndio limechanganya watu. Kwa sasa, binti huyu inasemekana anaishi nje ya nchi - DUBAI.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom