kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,342
- 12,065
Ama wewe umezidi uwongo tena kweupeeeee!
Au kila mwenye jina la Mrisho ndiyo amekuwa ndugu wa Kikwete? Unawafahamu Amina Mrisho na Fatma Mrisho? Au tena ndiyo umewaongezea na hiyo surname ya Kikwete ili ujenge hoja?
Jamani kila aliye na surname ya Mushi, au Mwakibete au whatever ndiyo wanakuwa ndugu?
Wacheni uongo na kujenga hoja zisizokuwa na msingi.
Mbona imekuuma sana!!!