Ni kweli ni ndugu wa baba mmoja mama mbalimbali.
Niliwahi kuleta mada kama hii ikafutwa.
baba mmoja mama mbalimbali/sasa kama baba moja mbona majina ya ubini ni tofauti sana,how?labda iwe baba mbali*2,mama mmoja
Uns hatari siku hizi wanatress IP adresse utaitwa kwenda kuthibitisha ndo halo utanyea debemkuu kwa hili sijui,ila ninacho juwa nikwamba ni ndugu,ila kuna wengne wanasema jk kabla ya kuowa mama salma membe ndiye aliyekuwaga anakuna naz ya mama salma!