Membe jiandae kisaikolojia

Hili Sumaye alikwisha litolea ufafanuzi kitambo sana ,na lilikosa mashiko,hata chadomo wanajua na hii swaga waliipotezea kitambo
 
Mkuu siyaamini maccm, hata awe nani
 
Mkwara mavi huo,
 
Moja ya upumbavu wa wengi wetu ni kuamini kuwa kuna kitu kinaitwa "system mpya". Kwa wabobezi wa taaluma za usalama na ujasusi,hakuna kitu kinaitwa "system mpya". As long as ni sytem,basi kuna matundu,mashimo na viziba matundu/mashimo.full stop.
Kama CCM mpya iliwashinda ndio wataweza hilo la system mpya?
 
Asubirie tu dhahama Kubwa inaenda Kumtokea ndipo atajua ni kwanini Nyimbo zote zina Video ila Wimbo wa Taifaf pekee ndiyo hauna Video. Kuna Watu huwa wanatafuta wenyewe Tiketi za haraka za kwenda Kulala mahala pema peponi.
Upuzi
 
kwani hii demokrasia inayohubiriwa na katiba zote ya chama na ya nchi ni maigizo ama ipo in practical?
maaana nakuona umetumwa kutisha watu sio. hivi kwa ubongo wako mdogo unadhani membe atatishwa na hui
kweli uko na haja ya kutoa vitisho vyote hivi kama vile labd membe hiyo nia yake ya kugombea labda ni jambo haramu. nawe unakuwa kama muusiba vile. hivi vitishovyote ni kwa mslahi ya nani ndugu yangu au umetumwa?
 
l'm not threatening Mr Membe but i'm talking the reality
 
Wewe Banker hujui kitu wewe hangaika kutafuta wateja wa Benki yako!
 
l'm not threatening Mr Membe but i'm talking the reality
kwa hiyyo unataka kuumnia uuma kua rais magufuli anamuacha membe kwa sababu hajagusa maslhi yake na kwakuwa sasa ameonesha nia ya kuutaka urais na kwa maneno mengine unataka kutuambia kuwaa taratibu zilizowekwa na chama za kuruhusu hicho membe anataka nzikiukwe kwa maslahi ya magufuli na nyie aliyowatuma kuja kutisha watu kwenye mitandao humu. kwani umesahau hata bwana Shibuda alijitokeza kumpinga Jk 2010 na kwa hiyari yake akaamua kutoa jina mwenyewe sasa kuna nini sasa mpk uje na vitisho vyote hivi si muache wanachama wataamua wanmtaka nani kulingana na taratibu za chama awe mgombea. waliotunga katiba waliliona hilo wangeweza pia tu kusema rais aliyopo haruhusiwi kupingwa mpk amalize muda wake
 
Tatizo sio kugombea urais ,serikali iko kazini kupambana na mafisadi stage by stage ,na mafisadi wengi wamo ndani ya ccm na mmoja wao ni Membe ,kuhusu yeye kugombea sio big deal atagombea tu baada ya kupitia mchakato wa chama
 
mpuuzi mkubwa ! poor analysis
 
Kwamwono Wangu Naona Ben akiandaliwa kuwa mgombea wa upinzani 2020.
Naona pia wapinzani wanaanza kuandaliwa kisaikolojia Mapema tusubiri 2020.
Mgombea Wa CCM atakua ni Magufuli na Kama atafanikiwa Ben walau kuwa mgombea system Itampa upinzani agombee na wapinzani watampokea.
 
Hayo yoote ulioorodhesha kama yapo, yanamhusu Membe au JK?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…