chinekeeee
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,787
- 2,886
Mango for 2020
.Jamaa karudi.
Huko green house kwa sasa najua hapakaliki.
Ajuza na siasa.Kaja na ungo?
Punguani wahed.
He he he he
Alikuja na bata wake mkuu.Kikachelo!?
Katua na baloon au kaja na bodaboda?
Kwa aliondokaje? Haya shabaikiiii
Tuliza kende wewe ni nani adi uwaamlie watu, 2015 lowasa alisumbua sana,sahv ndo kabisaaa Jiwe ni Shetani Mkubwa, me nilimpa kura ila 2020 simpi nashukuru mnajua kuwa Jiwe hapendwiWhatever, ila Membe hawezi kuwa raisi,iwe kwa ubabe iwe vyovyote hata ikibidi kutumia njia nisizoweza kuzielezea hapa.Ndo maana nakuhakikishia 100% mnapoteza muda wenu bure kujadili Jambo lisilowezeka.Learn to accept the truth.Jifunze kuendana na mazingira yaliyopo, kumshabikia Membe hakutamfanya awe raisi wa nchi hii.Sio 2020 tu bali hata 2025. Watanzania hampendi kuambiwa ukweli ila ukweli ndo huo.
Lowassa ni kama MO alivyo pale Simba anaimiliki Chadema kwa 49%Gazeti la Tanzania daima la Mbowe kama naona vile Lowassa akichinjiwa baharini na CDM hahah,hii ndio siasa za siasa.
2020,Lissu all the way.
Husipaniki kijana, 2020 ni Membeilikuaje 2015 alishindwa kugombea urais kupitia CCM?
Kwa hio Membe atagombea kupitia CCM sio?Lowassa ni kama MO alivyo pale Simba anaimiliki Chadema kwa 49%
Hahahaa...... Jf bhana hiyo picha ya ISIS akipiga Kazi na Bata mmeitoa wapi?
Kweli mleta mada ni punguani wahed, yeye anakurupuka eti karudi kikachero wakati hajui alikuwa wapi na aliondoka lini. Na siyo mara ya kwanza Membe kusafiri nje ya nchi na kurudi bila mleta mada kujua.Kaja na ungo?
Punguani wahed.
Amekuambia anataka kugombea au ni kiherehere cha Ufipa tu!Kwa hio Membe atagombea kupitia CCM sio?
.He he he he
Naona kijana anawakilisha chama lake la kijani hapo...
Hata wewe kuna watu hawakupendi mtaani kwenu au kazini kwako.Hatuongelei kupendwa hapa.Mimi nakwambia hivi acha NDOTO Membe hawezi kuwa raisi wa nchi hii.Ndio point yangu kubwa.Kumuondoa raisi aliyepo madarakani kabla ya mihura miwili kwa nchi yetu Tanzania haziwezekani.Nasisitiza haiwezekani,punguzeni NDOTO za mchana.Halafu watu sio wanaoamua, mfumo ndo unaamua ndo maana nikakwambia labda ahamie CHADEMA akagombee huko ila kwa CCM haiwezekani (NEVER).Tuliza kende wewe ni nani adi uwaamlie watu, 2015 lowasa alisumbua sana,sahv ndo kabisaaa Jiwe ni Shetani Mkubwa, me nilimpa kura ila 2020 simpi nashukuru mnajua kuwa Jiwe hapendwi
Msiba na Bashiru nao ni ufipa?Amekuambia anataka kugombea au ni kiherehere cha Ufipa tu!
2020 CCM pasu kwa pasu tupa huko!Hatimaye kada maarufu wa Chama cha Mapinduzi CCM, Bernard Membe, ambaye kwa takribani wiki mbili sasa limetikisa anga la ndani na nje ya nchi ametua nchini kikachero, Tanzania Daima limebaini.
Membe ambaye ameingia kwenye malumbano na Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally, kurejea kwake kumekuwa kukivuta hisia za wengi wanaosubiri kujua hatma ya mwana diplomasia huyo kutokana na tuhuma dhidi yake kwamba anataka kumvurugia rais John Magufuli kuwania urais mwaka 2020.
Membe ambaye amepata kuwa Waziri wa mambo ya nje na Ushirikiano wa kimataifa chini ya rais mstaafu, Jakaya Kikwete, amewasili jana saa mbili usiku kwa ndege ya Sheila la ndege la Kenya (KQ), akitokea nje kwa shughuli binafsi.
Mmoja kati ya watu wa karibu waliofika kumpokea Membe, aliliambia Tanzania Daima kuwa alifanya hivyo ili kukwepa baadhi ya makada wa CCM waliopanga kumpokea.
"Unajua Membe ana kesi kwa katibu mkuu, lakini pia CCM ilishaonya watakaokwenda kumpokea wasivae sare za chama, kwa hiyo kama wangejua anarudi leo wangekuja wengi na hiyo ingekuwa mbaya kwake", alisema kada huyo.
Kuhusu kugombea aliongeza kuwa, "Hakuna sehemu katika Katiba ya chama inayosema kuwa ni lazima rais aliyepo aendelee kwa miaka mingine mitano bila kupingwa, bali ni utaratibu tu waliouona waasisi wa chama hicho, kuwa pengine ni wa kiungwana kiongozi apewe kipindi kingine amalizie aliyoyaanza".
Alisema tangu utaratibu huo uanze, alipata kujitokeza kada mmoja tu wa CCM, Magare Shibuda ambaye aliomba kuwania urais mwaka 2010 wakati ambao rais Kikwete alikuwa akiwania muhula wa pili.
"Kwa maana hiyo, so jinai kwa mwanaccm kujitokeza kugombea urais katika kipindi ambacho rais aliyeko madarakani naye anataka kuwania apate miaka mingine mitano ya kuongeza". Alisema kada huyo.
Chanzo, Gazeti la Tanzania Daima.