Membe atua usiku kikachero, ahoji Shibuda alimpinga Kikwete, mbona hakukuwa na nongwa?

Naona amewashika kende kweli sisi tunajadili 2020....nimesema kama Magu anapendwa kwanini tubishane, 2020 waweke JPM vs Membe afu pawe na usawa nadhani ata wewe jibu unalo
Ukitaka iwe hivyo kwa urahisi, tumia ushawishi wako ulionao na ukamshawishi huyo Membe ahamie hata UKAWA agombee nafasi ya urais akiwa huko ili 2020 wakutane kwenye majukwaa na Magufuli halafu baada ya tarehe 25 October 2020 uje uniambie kati yao hao wawili nani amepita! Mnaumiza akili tu kwa jambo jepesi sana.
 
Kinyanganyiro cha kuanza kuomba ridhaa ya kuwania nafasi hiyo kwa mjibu wa kanuni za chama bado. Sasa yeye akianza harakati hizi mapema sana, yatamkuta yale yaliyomkuta ndugu LOWASA. Someni kanuni za chama nadhani ndiyo mtayajua haya. Lakini mkiwa mashabiki tu, hamtayajua.
Tulia wewe Lowasa alitupa shida sana CCM mpaka kuna baadhi ya Majimbo tuliiba kura, sasa sahv ndo noma ndugu watu wamepigika JPM ameua uchumi, apa nilipo watu wanasema akitokea wa kumpiga JPM atapata kura zote so sio kuwa Membe ananguvu sana ila watu wamechoshwa na Magu, ndo maana kila mtu anasema bora Membe, na Membe sahv kawa na nguvu kubwa binafsi nilmpa Magu kura ila 2020 namchinja
 
Hivi unatuaje Airport kikachero, nikajua labda kaingia na Parachute, maana kama katumia Airport kuingia hapa nchini hilo ni jambo la kawaida na hakuna ujasusi hapo. Acheni kukuza mambo.
 
Naona amewashika kende kweli sisi tunajadili 2020....nimesema kama Magu anapendwa kwanini tubishane, 2020 waweke JPM vs Membe afu pawe na usawa nadhani ata wewe jibu unalo
Tumeshapanga hakutakuwa na USAWA ni ubabe tu kwenda mbele na tutamfatilia kwa karibu akizingua atavuliwa uanachama labda ahamie CDM.Tumeshaona hayo yote ndo maana tunawaambia humu kila siku kuwa MNAOTA mchana kweupe.Hawezi kuwa raisi huyo,sio 2020 wala 2025.
 
Ndugu yangu! Huyo Membe hana jipya. Kama angekuwa na ushawishi aliyokuwa nao Lowassa mwaka 2015, tungesema sawa. Lakini kwa sasa usitegemee lolote jipya kutoka kwa Membe. Hii ni kutafuta tu front page na kiki kwenye vyombo vya habari. Kamati ya maadili ya chama iliyomkata bwana Lowasa 2015, naamini bado ipo palepale hata huyo akiruhusiwa kuchukua fomu ya kuteuliwa ndani ya chama kugombea urais itafanya kazi yake tu. Hivyo, suala la Membe mimi naona kuwa watu wanapoteza muda wao tu kulijadili.

Kitu ambacho hujakiwaza ni kwamba ingetokea uchaguzi huru na haki 2020 na Magu akasimama peke yake, kura za hapana zingeshinda.

Maana nyingine ni kwamba kwa tulipofika na huyu mtu, tunatamani chochote kile, potelea mbali.
 
Ukitaka iwe hivyo kwa urahisi, tumia ushawishi wako ulionao na ukamshawishi huyo Membe ahamie hata UKAWA agombee nafasi ya urais akiwa huko ili 2020 wakutane kwenye majukwaa na Magufuli halafu baada ya tarehe 25 October 2020 uje uniambie kati yao hao wawili nani amepita! Mnaumiza akili tu kwa jambo jepesi sana.
Utawasikia oh tumeibiwa kura.
 
Kwani ulishamsikia Membe akisema kitu au ni woga wenu.
Na sipati picha akisema Aisee CCM walifanya mistake kumtuma Musiba ili kumchafua Membe, yaani wamempa nguvu kinyama, apa kuna dada wa kazn sio watu wa siasa lakini sahv ni wafuasi wa Membe
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Mkuu huyo Membe hata 2025 hawezi kuwa raisi wa nchi hii, kashaharibu.Lowassa alitaka Kum challenge JK 2010 akaanza kujitengenezea njia tena akiwa PM, muulize kilichomkuta.Amebaki kuwa raisi wa mitandaoni.Na huyu Membe nae hivyo hivyo atabaki kuwa raisi wa mitandaoni tu.
Naona kawashika Kende wekeni fair ground ndo ujue nguvu ya Membe, jamani wengine sio Chadema ila Magufuli ameharibu vibaya sana, Kila mtu anajua
 
Ukitaka iwe hivyo kwa urahisi, tumia ushawishi wako ulionao na ukamshawishi huyo Membe ahamie hata UKAWA agombee nafasi ya urais akiwa huko ili 2020 wakutane kwenye majukwaa na Magufuli halafu baada ya tarehe 25 October 2020 uje uniambie kati yao hao wawili nani amepita! Mnaumiza akili tu kwa jambo jepesi sana.
Sio Ukawa ata Membe akiwa TLP, atamshinda Magu, lijamaa katili bora ata shetani, me ni CCM ila apa wilayani kwetu hakuna anayempenda, wakija uongozi tunawachekea tu ila ukweli JPM ameharibu mno
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Hivi unatuaje Airport kikachero, nikajua labda kaingia na Parachute, maana kama katumia Airport kuingia hapa nchini hilo ni jambo la kawaida na hakuna ujasusi hapo. Acheni kukuza mambo.
Naona kawashika Kende adi zinatikisika 2020 ni Membe
 
Tumeshapanga hakutakuwa na USAWA ni ubabe tu kwenda mbele na tutamfatilia kwa karibu akizingua atavuliwa uanachama labda ahamie CDM.Tumeshaona hayo yote ndo maana tunawaambia humu kila siku kuwa MNAOTA mchana kweupe.Hawezi kuwa raisi huyo,sio 2020 wala 2025.
Goood nadhani nanyie mnajua kuwa Magu apendwi so nikutumia nguvu, apo sawa mkuu ,kumbe mnajua
 
Ndugu yangu! Huyo Membe hana jipya. Kama angekuwa na ushawishi aliyokuwa nao Lowassa mwaka 2015, tungesema sawa. Lakini kwa sasa usitegemee lolote jipya kutoka kwa Membe. Hii ni kutafuta tu front page na kiki kwenye vyombo vya habari. Kamati ya maadili ya chama iliyomkata bwana Lowasa 2015, naamini bado ipo palepale hata huyo akiruhusiwa kuchukua fomu ya kuteuliwa ndani ya chama kugombea urais itafanya kazi yake tu. Hivyo, suala la Membe mimi naona kuwa watu wanapoteza muda wao tu kulijadili.
Yote ni sawa lakini yeye kwa sasa hajazungumza kwamba atagombea uongozi 2020 hizi ni projects za watu tu na shutuma juu yake ambazo watu huzisambaza mitandaoni.

Tumsubiri mwenyewe asikike kwamba atagombea Urais 2020 lkn kwasasa tusimpembiye maneno.
 
Back
Top Bottom