Membe atua usiku kikachero, ahoji Shibuda alimpinga Kikwete, mbona hakukuwa na nongwa?

Kuwa mpole ukitaka kujua hana jipya mpange Membe Vs JPM pawe na usawa, iwe nje au ndani ya CCM, au kwa kura za Watanzania, Membe anashinda kirahisi,..... Kama hana mvuto muache afu wawapambanishe na MAGU jibu utalipata na nadhani unalijua
Kwani kwenye kinyanganyiro cha kumteuwa mgombeaji kwenye chama cha CCM 2015 Magufuli na Membe wote si waliomba kuteuliwa? Je, kati ya hao wawili, ni nani alipita na kuchaguliwa kuwa Rais? Hizi kelele mnazopiga wala hazina maana. Membe afikirie tu Urais 2025 na siyo 2020! Kama hautaki, ukweli ndiyo huo!
 
Ndugu yangu! Huyo Membe hana jipya. Kama angekuwa na ushawishi aliyokuwa nao Lowassa mwaka 2015, tungesema sawa. Lakini kwa sasa usitegemee lolote jipya kutoka kwa Membe. Hii ni kutafuta tu front page na kiki kwenye vyombo vya habari. Kamati ya maadili ya chama iliyomkata bwana Lowasa 2015, naamini bado ipo palepale hata huyo akiruhusiwa kuchukua fomu ya kuteuliwa ndani ya chama kugombea urais itafanya kazi yake tu. Hivyo, suala la Membe mimi naona kuwa watu wanapoteza muda wao tu kulijadili.
jipya alilonalo na tunalolichochea ni mgogoro unaokipasua chama.
 
Kuwa mpole ukitaka kujua hana jipya mpange Membe Vs JPM pawe na usawa, iwe nje au ndani ya CCM, au kwa kura za Watanzania, Membe anashinda kirahisi,..... Kama hana mvuto muache afu wawapambanishe na MAGU jibu utalipata na nadhani unalijua
Tatizo liko hapo kwenye fair play......
Yani hapo ingekuwa kote kote...Nje nadni.
 
Swali dume hili.
Kinyanganyiro cha kuanza kuomba ridhaa ya kuwania nafasi hiyo kwa mjibu wa kanuni za chama bado. Sasa yeye akianza harakati hizi mapema sana, yatamkuta yale yaliyomkuta ndugu LOWASA. Someni kanuni za chama nadhani ndiyo mtayajua haya. Lakini mkiwa mashabiki tu, hamtayajua.
 
Ana ishi maisha ya digidigi anaogopa hadi kivuli kajitengenezea maadui kila kona, japo ni marafiki wa karibu kazungukwa na wachumia tumbo shida ya wabongo awakuambii live wao ni vitendo tu atoamini watakapo mfyekelea mbali.
Mzee Meko ni mwoga sana, hajiamini, ni mtu mwenye hofu muda wote, na ndio inapelekea kufanya matendo yote mabaya kwa wale wote walio kinyume na mawazo yake.
 
Kwani kwenye kinyanganyiro cha kumteuwa mgombeaji kwenye chama cha CCM 2015 Magufuli na Membe wote si waliomba kuteuliwa? Je, kati ya hao wawili, ni nani alipita na kuchaguliwa kuwa Rais? Hizi kelele mnazopiga wala hazina maana. Membe afikirie tu Urais 2025 na siyo 2020! Kama hautaki, ukweli ndiyo huo!
Mambo hubadilika usitegemee yaliyotokea miaka mitano iliyopita yatokee leo.
 
Membe ndiyo mgombea urais wa chadema 2020

Bavichaa Jiandae kumpigia kampeni na kumsafisha.

Lisu ameumia mno kutoswa na Bavicha
 
Back
Top Bottom