Membe atua usiku kikachero, ahoji Shibuda alimpinga Kikwete, mbona hakukuwa na nongwa?

Tatizo liko hapo kwenye fair play......
Yani hapo ingekuwa kote kote...Nje nadni.
Hamjambo hapo kandawe?
Poleni na yanayowasibu, nimesoma mahali mwalimu maarufu hapo na kada wa chama amehukumiwa kifungo huko maswa....
 
Ndugu yangu! Huyo Membe hana jipya. Kama angekuwa na ushawishi aliyokuwa nao Lowassa mwaka 2015, tungesema sawa. Lakini kwa sasa usitegemee lolote jipya kutoka kwa Membe. Hii ni kutafuta tu front page na kiki kwenye vyombo vya habari. Kamati ya maadili ya chama iliyomkata bwana Lowasa 2015, naamini bado ipo palepale hata huyo akiruhusiwa kuchukua fomu ya kuteuliwa ndani ya chama kugombea urais itafanya kazi yake tu. Hivyo, suala la Membe mimi naona kuwa watu wanapoteza muda wao tu kulijadili.
Usilolijua kwa uhakika litakusumbua! Ukiongeza hizi kampeni za kuganja njaa huku moyo wako umejikunyata ndio shida ilipo! Kamati unayoiita ni ya maadili haina ussue siku hizi na ilidharauliwa mapema tu baada ya uchaguzi na haijawahi kukutana wala kuitwa! Isitoshe ndio inayobeba lawama zote hizi kwa kumkata Lowasa kishabiki.
 
Kuwa mpole ukitaka kujua hana jipya mpange Membe Vs JPM pawe na usawa, iwe nje au ndani ya CCM, au kwa kura za Watanzania, Membe anashinda kirahisi,..... Kama hana mvuto muache afu wawapambanishe na MAGU jibu utalipata na nadhani unalijua
unatumia hisia zako tu, hujui nguvu ya magufuli wewe!
 
Kinyanganyiro cha kuanza kuomba ridhaa ya kuwania nafasi hiyo kwa mjibu wa kanuni za chama bado. Sasa yeye akianza harakati hizi mapema sana, yatamkuta yale yaliyomkuta ndugu LOWASA. Someni kanuni za chama nadhani ndiyo mtayajua haya. Lakini mkiwa mashabiki tu, hamtayajua.
Kwani ulishamsikia Membe akisema kitu au ni woga wenu.
 
Kwani kwenye kinyanganyiro cha kumteuwa mgombeaji kwenye chama cha CCM 2015 Magufuli na Membe wote si waliomba kuteuliwa? Je, kati ya hao wawili, ni nani alipita na kuchaguliwa kuwa Rais? Hizi kelele mnazopiga wala hazina maana. Membe afikirie tu Urais 2025 na siyo 2020! Kama hautaki, ukweli ndiyo huo!
Mkuu huyo Membe hata 2025 hawezi kuwa raisi wa nchi hii, kashaharibu.Lowassa alitaka Kum challenge JK 2010 akaanza kujitengenezea njia tena akiwa PM, muulize kilichomkuta.Amebaki kuwa raisi wa mitandaoni.Na huyu Membe nae hivyo hivyo atabaki kuwa raisi wa mitandaoni tu.
 
Mzee Meko ni mwoga sana, hajiamini, ni mtu mwenye hofu muda wote, na ndio inapelekea kufanya matendo yote mabaya kwa wale wote walio kinyume na mawazo yake.
Mwenzake mr. Slim kawaachia wapinzani wake jana na aliiona nguvu ya umma ilivyoingia barabarani kuwalaki na kuwashangilia licha ya ule ulinzi! Kama kweli unatenda haki uoga unatoka wapi!?
 
Ndugu yangu! Huyo Membe hana jipya. Kama angekuwa na ushawishi aliyokuwa nao Lowassa mwaka 2015, tungesema sawa. Lakini kwa sasa usitegemee lolote jipya kutoka kwa Membe. Hii ni kutafuta tu front page na kiki kwenye vyombo vya habari. Kamati ya maadili ya chama iliyomkata bwana Lowasa 2015, naamini bado ipo palepale hata huyo akiruhusiwa kuchukua fomu ya kuteuliwa ndani ya chama kugombea urais itafanya kazi yake tu. Hivyo, suala la Membe mimi naona kuwa watu wanapoteza muda wao tu kulijadili.
Mkuu watu hawatafuti nani ana ushawishi kilichopo hapa inatafutwa replacement ya huyu jamaa aliyefanya maisha yawe magumu. Anayetusomesha tarakimu kila siku.
 
Kwani kwenye kinyanganyiro cha kumteuwa mgombeaji kwenye chama cha CCM 2015 Magufuli na Membe wote si waliomba kuteuliwa? Je, kati ya hao wawili, ni nani alipita na kuchaguliwa kuwa Rais? Hizi kelele mnazopiga wala hazina maana. Membe afikirie tu Urais 2025 na siyo 2020! Kama hautaki, ukweli ndiyo huo!
Naona amewashika kende kweli sisi tunajadili 2020....nimesema kama Magu anapendwa kwanini tubishane, 2020 waweke JPM vs Membe afu pawe na usawa nadhani ata wewe jibu unalo
 
Kweli mmeishiwa hoja kwahyo, ccm imewabadili kabisa mnaanza kucheza ngoma yake kukicha tayar washanyakua kiti,...
Hata waandishi wenu wanawapamba vigogo Wa ccm..
Hujui ngoma inavyochezwa wewe subiri kushangilia.
 
Back
Top Bottom