GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,021
- 126,443
kwa hiyo uchafu wa Membe utawekwa wazi tu endapo atamshambulia kipenzi chakoPombe,
yani Membe asipomshambulia Pombe anabaki kuwa msafi.
Ngoja NIJIRIDHISHE Kwanza Kama Hayo Maneno Kayatoa YEYE KAMA YEYE au Mwananchi WAMEANDIKA Tu KUCHOCHEA VUGUVUGU LA UHASAMA Ndani Ya CCM. Ila Kama Ni Kweli KAYASEMA Hakyanani NITAFUNGUKA HADI YASIYOJULIKANA ( Kama Noma Na Iwe Noma ). Narudia Tena WASEMENI Wote Lakini Siyo MALAIKA Wetu Na Chaguo La Mungu Rais Dr. MAGUFULI. Na Ndiyo MAANA Tunataka Kwa UDI NA UVUMBA AKABIDHIWE CHAMA UPESI ILI ATURUDISHIE CCM YETU YA HAYATI BABA WA TAIFA Mwalimu Julius Kambarage Burito Nyerere ILI ATUONDELEE AKINA " CCMUKAWA ", " CCM CHUKI, FITINI NA HARIBU " Na " CCM TETEA UFISADI KWA GHARAMA YOYOTE ILE " Ambao WAPO WENGI SANA CHAMANI.