Membe amkosoa Magufuli

Membe amkosoa Magufuli

Ngoja NIJIRIDHISHE Kwanza Kama Hayo Maneno Kayatoa YEYE KAMA YEYE au Mwananchi WAMEANDIKA Tu KUCHOCHEA VUGUVUGU LA UHASAMA Ndani Ya CCM. Ila Kama Ni Kweli KAYASEMA Hakyanani NITAFUNGUKA HADI YASIYOJULIKANA ( Kama Noma Na Iwe Noma ). Narudia Tena WASEMENI Wote Lakini Siyo MALAIKA Wetu Na Chaguo La Mungu Rais Dr. MAGUFULI. Na Ndiyo MAANA Tunataka Kwa UDI NA UVUMBA AKABIDHIWE CHAMA UPESI ILI ATURUDISHIE CCM YETU YA HAYATI BABA WA TAIFA Mwalimu Julius Kambarage Burito Nyerere ILI ATUONDELEE AKINA " CCMUKAWA ", " CCM CHUKI, FITINI NA HARIBU " Na " CCM TETEA UFISADI KWA GHARAMA YOYOTE ILE " Ambao WAPO WENGI SANA CHAMANI.

Nami napata shida Kama wewe GENTAMYCINE. Ni kweli haya ni maneno ya Mhe. Membe au wameongoza??? Mzee wetu Membe si ndio alisema watu wanapishana angani utafikiri nchi inawaka moto??? Mod wekeni ule ambatanisheni ule uzi tafadhali. Ndio maana nahisi hii ni propaganda ya Mwananchi ktk ubora wake.

Mzee Tupa Tupa wa Lumumba aliwahi kusema VIGOGO wengi wana akaunti za DOLA nje ya nchi. Kuzuia safari za nje kutafumua mambo mengi sana. Au ndio ile vita ya uenyekiti imeanza?

Ngoja tusubiri tuone.

Queen Esther
 
Sasa nimeamini kuwa watakaomkwamisha Magufuli ni virusi ndani ya CCM...... Kwa hili nafikiri Membe katumwa na yule jamaa ili amchane Magufuli.

=====================
Ni tatizo la uelewa tu, Raisi hajesema kuwa hawaezi kwenda nje ya nchi, tena nashangaa sana, safari za nje zipo ila zipo kwa mijibu wa taratibu zilizopo, hata yeye Raisi atatoka, ila kwa safari za muhimu kama kiongozi, na huu itaratibu si mpya kama watu wengi walivoelewa, kwani ulikuwepo tokea enzi za Mwl. utaratibu wa kwenda ovyo ovyo bila sababu ndo haupo. zinatakiwa safari zenye tija kwa taifa na si blabla nyingi.
 
Hatuwezi kuwa na taifa imara kama tutashindwa kukosoa. Penye mapungufu lazima pasemwe bila kujari nani anasema. Sitaki kuamini kuwa magufuli ni malaika eti hakosei. Huo kwa upande wangu naita utumwa wa kufikiria. Namkubali sana magu. Ila kuna vitu anakosea kibinadamu
 
Unaweza kuwa na Bifu na RAIS wa nchi? Tena nchi unayoishi. Tuwe makini msijisahau kwamba huyo jamaa huwa hajiulizi mara mbili. Membe angetulia tu huko alipo kwa sasa. Sidhani Kama ametumia busara kutoa hayo maneno dhidi ya RAIS.
Ni aibu tu ya membe kuumbuliwa na safari zao zisizo kuwa na tija kwa taifa wewe hata vikao vya bodi nilikua vinafanyika nje ya nchi na raisi hajaziwia safari mbona waziri mkuu katoka makamu alienda nae nje ya membe ni ukosefu wa mamabo ya kusema
 
Unaweza kuwa na Bifu na RAIS wa nchi!? Tena nchi unayoishi!? Tuwe makini msijisahau kwamba huyo jamaa huwa hajiulizi mara mbili. Membe angetulia tu huko alipo kwa sasa. Sidhani Kama ametumia busara kutoa hayo maneno dhidi ya RAIS.

ACHENI UOGA NDANI YA NCI HURU, KWANI JPM NI MUNGU HAKOSEI?????Watu mashuhuri kama kina Obama na wengineo kibaao wanakosolewa tu wanapokosea sembuse huyu wa hapahapa????? tena asiyefuata utawala wa sheria, anayejiamulia mambo yake mwenyewe!!!! Ona sasa style anayotuletea hapa Chuga ya kuvaa nguo za kisoja wakati huu ni utawala wa kisheria utadhani amekua mtawala wa kijeshi, si angetawala Somalia ama kwengineko kwenye utawala huo???????
 
I

Anasema "If you isolate yourself you will be isolated (ukijitenga, utatengwa).”
Pure NOSENSE. Ni kama kwenda kushiriki kwenye vikao vya harusi kutoa pledge za michango usiyo kuwa na uwezo nayo. Masikini anajitambua kwa nafasi yake.

Kabisaaa!!! na hayo aliyoyasema ni maneno ya wapenda vya dezo, wasiojua kutumia nguvu zao na rasilimali zao kujikwamua toka walipo kwenda hatua kadhaa mbele, fikra zao zaidi wanazielekeza kwenye uzururaji na kukaa vibarazani kupaka hina na kusugua kucha

Mtu ukiwa mbunifu na committed kwenye mambo ya msingi hao anaosema watatutenga ndiyo watakuwa wakwanza kututafuta wao
 
Asubiri tu mpaka Nape ampige ban ya kuongea neno lolote kutoka kwenye mdomo wake
 
Tatizo linakuja hapo kwenye kuacha kila mtu aongee anachotaka ndio tutakapokuwa nchi ya wajinga Kama ulivyoiweka.

Kuna tofauti ya KUSEMA na KUSEMA UKWELI. Watu wengi huwa wanasema tuu bila hata kufanya utafiti kidogo na kujua ukweli wa Jambo husika. Mimi nafikiri kistaarabu kabisa na unyenyekevu wa hali ya juu naomba nipingane na wewe katika hoja yako. Ahsante.
"UKWELI" ni dhana tata na mtambuka. Wewe unachoona ni kweli, mtu mwingine anaweza kuona si kweli kutegemeana mnaangalia hilo jambo kutoka pembe gani. Na kinyume cha UKWELI si UONGO bali ni SI KWELI. Kinachoongoza UKWELI vs USO KWELI ni mitazamo. Kutoa maoni tofauti juu ya jambo fulani haina maana hiyo ni kutosema ukweli, bali ni mtazamo tofauti lakini upande unaotetea jambo hilo utatoka na hukumu ya kuwa ni uongo!!
 
With Due respect, Mr. Membe, mfano wako wa Uturuki ni irrelevant. Na kwa taarifa waturiki hawana utamaduni wa kutalii. Ndege zao zinajaza wafanya biashara. Siyo watalii.Fuatlia data husika na utaelewa kwamba ni kweli.
Sasa nimeamini kuwa watakaomkwamisha Magufuli ni virusi ndani ya CCM...... Kwa hili nafikiri Membe katumwa na yule jamaa ili amchane Magufuli.

=====================
 
angepewa fupa la uwaziri angeubana mdomo wake na maskio kama vile haskii wala haoni., hii nikukosa ulaji tu na mwenzak six naye alijifanya kujua pia akakosoa ingawa ni sawa walivyokosoa lakin wangekuwa kwenye systeam wangekuwa kimya
 
Hiv ni huyu aliyesema tulikuwa tunapishana angani utafikiri nyumban kuna moto au ni mwingine!!!! akae kimya tuko nyuma ya mda ulitegemea ulaji sasa umekatwa!!! subiri uisome kwanza!
 
Majipu unayajua wewe au unayaskia...Membe ana point hapo afu jamaa ni genius sana anajua anachokisimamia anaona jamaa anaenda mrama lazima aseme.Ni heri huyu bwana angekua rais kuliko huyu tulie nae sasa.

Kila mtu ana haki ya kubweka kuikosoa serikali ya Magufuli. Lakini ukosoaji una tofauti, kuna ukosoaji uliobeba uzalendo wa taifa na ukosoaji uliobeba chuki. Membe mpaka sasa ameshajionesha ana chuki ndani ya kifua chake... wewe binti unasomeka kumsifia Membe kwa kumwita Genius, hatukatai, lakini tuambie point ya Membe hapo ni nini?

At Lumumba street Kigoma.
 
Katumwaaaaaa na mzee wa Msoga... aseme na kumchamba Magufuli.... hili ni jinga kweli... halina akili hata kidogo... kazi majungu tu kama Mzee wa Msoga... Magufuli piga kazi... achana na hili bw.ege kweli... limetumwa, chizi kweli hili...
Magufuli piga kazi, hata wapinzani wanakukubali... achana na hili zimwi la Lindi.. juzi alikusifia ulivyofuta SAFARI ZA NJE.... LEO ANAKUKANDIA... unajua sbb ni nn...? Sbb hujamchagua ktk NAFASI YOYOTE ILE KTK SERIKALI YAKO... hili chizi kweli...!!


Damn..
 
Back
Top Bottom