Malaika Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 902
- 909
Duhuu
una kitu kinaitwa "First Amendment Rights" nafikiri umeshaisikia hiyo kitu!!
A useless diplomat who never did any good for Tanzania while in Canada. Zaidi ya hapa kuna nini cha maana ambacho ameki-impact kwenye diplomasia hapa Tanzania? He's talker who never accomplishes anything zaidi ya porojo, unafikiri kwa nini alikatwa? Think again!
Punguwani mkubwa weee. Eti team Membe. Soma thread uielewe Nyumbu wewe. Radar ya mumeo!!??? Niitolee upuuzi wako punda weee.Nyie team Membe naona mmeanza kuregroup lakini mjue you are on the RADAR watch!! Sasa hiyo unayosema "FIRST AMENDMENT RIGHTS" si inahusu haki za wamerekani kama ilivyoainishwa kwenye katiba yao? Tafadhali usituchanganye na ujuaji wako wa juu juu wa American constitution haituhusu!
Punguwani mkubwa weee. Eti team Membe. Soma thread uielewe Nyumbu wewe. Radar ya mumeo!!??? Niitolee upuuzi wako punda weee.
Ok.Uzuri wake wasenge kama wewe na wenzio hawanisumbui; mlikosa URAIS iliyobaki muende mkale fedha mlizoiba enzi za bwana wenu!!
Naomba ukisome nilichoandika halafu ndio ujibu,ndio obstacles zenyewe hizi ninazozisema.IA useless diplomat who never did any good for Tanzania while in Canada. Zaidi ya hapa kuna nini cha maana ambacho ameki-impact kwenye diplomasia hapa Tanzania? He's talker who never accomplishes anything zaidi ya porojo, unafikiri kwa nini alikatwa? Think again!
Mkuu, nini maana ya heading?
Unategemea kilichoandikwa ndani kitofautiane na content?
Ila mnajuana na vyama vyenu,
Sisi tunataka tuone mambo yanafanyika.
Hata mkibwabwaja na vyama vyenu usiku na mchana ni ruksa, but wananchi tutimiziwe. Vinginevyo hakuna mwenye hati miliki ya hii nchi, 2020 chochote kinaweza tokea!
UDAhayo majipu ya JK mbona hamuyataji na sisi tukayajua? mbona mmebaki na majungu tu? akili za mbwa hizi ni shida.
Kumbe naye jipu!tena liloiva kabsaa!Alikuwa waziri wa mambo ya nje serikali iliyopita mwenye tuhuma za kulala mbele na fedha za gadafi.
mbona mwenye kampuni Robert Kisena kasema familia ya JK haihusiki? au nyie mnaijua zaidi UDA kuliko anavyoijua mmiliki wa kampuni iliyoinunua UDA?
Katibu Mkuu Ikulu, Ombeni Sefue, tunaomba umjibu Membe kwa facts and figures. Kukaa kimya itaonyesha ni kweli na hii itashusha heshima ya Rais kuwa anafanya mambo bila kujua matokeo ya hatua anazochukua. Ombeni Sefue uwanja ni wako.