Membe amkosoa Magufuli

Membe amkosoa Magufuli

Mkuu wewe labda ndio point yangu imekupitia utosini hapa hatuongelei matokeo ya bifu ,tunaongelea uwezekano wa bifu kutokea ,na ndio nikakujibu hilo linawezekana vizuri na nikakutolea mifano ,sasa kama mtu kaleta bifu na raisi akaishia kuwekwa kizuizini au vinginevyo hilo ni swala jingine
Haya basi tutaona mwisho ya hiyo Bifu na Mtawala wa nchi.
 
Haka kajamaa hakajitambui, ni fisadi Jnr. Yeye atasema chochote atakacho ili tu kumyumbisha Magufuli asitumbue majipu ya JK na mawaziri wake majambazi. Naona ni wivu tu ndiyo unaomsumbua Membe kwani alitaka sana kuwa rais ili aendelee kuiba na kutetea maslahi ya JK. Rais Magufuli inabidi atumbue majipu ya Membe haraka sana.
Naona wengi Humu hawaijui taaluma ya Membe,huyu kila anachofanya na kuongea inabidi utulie na kutafakari sana,kuna picha kwenye Sanaa zinaitwa obstacles au wengine wanaita illusions.
 
Pole shemeji. Mwaka 2020 sio mbali.

Tatizo la chama chetu hakipendi mawazo tofauti! mtu akisimama na kutoa mawazo tofauti anakuwa adui. Ndio maana nchi haiendi. Membe aachwe aseme tu anachotaka kusema, na wana "Kidumu" wengine pia waseme. Wengine wakosoe, wengine waunge mkono na kusifia, na serikali iangalie mawazo yote na kuchukua yenye manufaa na kuacha yale inayoona hayana maana. Na Ukawa nao waaachwe waseme, wakosoe nk. Na mwanahalisi na Mawio nao waseme.... Hiyo ndiyo demokrasia. Katika mengi yanayosemwa (kuna yatakayotufurahisha na mengine yatachukiza). NI muhimu kuvumiliana. Hatuwezi kuwa na nchi yenye watu wanaokubaliana katiuka kila kitu. Hii itakuwa nchi ya wajinga.
 
Haka kajamaa hakajitambui, ni fisadi Jnr. Yeye atasema chochote atakacho ili tu kumyumbisha Magufuli asitumbue majipu ya JK na mawaziri wake majambazi. Naona ni wivu tu ndiyo unaomsumbua Membe kwani alitaka sana kuwa rais ili aendelee kuiba na kutetea maslahi ya JK. Rais Magufuli inabidi atumbue majipu ya Membe haraka sana.
Vuteni subira Rais JPM hataacha jiwe juu ya jiwe kuhusu ufisadi.
 
Majipu unayajua wewe au unayaskia...Membe ana point hapo afu jamaa ni genius sana anajua anachokisimamia anaona jamaa anaenda mrama lazima aseme.Ni heri huyu bwana angekua rais kuliko huyu tulie nae sasa.
Team membe bado mupo?
 
Tatizo la chama chetu hakipendi mawazo tofauti! mtu akisimama na kutoa mawazo tofauti anakuwa adui. Ndio maana nchi haiendi. Membe aachwe aseme tu anachotaka kusema, na wana "Kidumu" wengine pia waseme. Wengine wakosoe, wengine waunge mkono na kusifia, na serikali iangalie mawazo yote na kuchukua yenye manufaa na kuacha yale inayoona hayana maana. Na Ukawa nao waaachwe waseme, wakosoe nk. Na mwanahalisi na Mawio nao waseme.... Hiyo ndiyo demokrasia. Katika mengi yanayosemwa (kuna yatakayotufurahisha na mengine yatachukiza). NI muhimu kuvumiliana. Hatuwezi kuwa na nchi yenye watu wanaokubaliana katiuka kila kitu. Hii itakuwa nchi ya wajinga.
Tatizo linakuja hapo kwenye kuacha kila mtu aongee anachotaka ndio tutakapokuwa nchi ya wajinga Kama ulivyoiweka.
Nchi yoyote huwa Inaongozwa na SHERIA NA KANUNI. Otherwise itakuwa Chaos.
Kuna kitu kinaitwa "First Amendment Rights" nafikiri umeshaisikia hiyo kitu!!! Freedom of speech inaangukia humo, lakini bado kuna sheria ambazo zinaipa mipaka hiyo freedom of speech na ukiitumia vibaya inaweza kukuletea matatizo ya kisheria.

Kuna tofauti ya KUSEMA na KUSEMA UKWELI. Watu wengi huwa wanasema tuu bila hata kufanya utafiti kidogo na kujua ukweli wa Jambo husika. Mimi nafikiri kistaarabu kabisa na unyenyekevu wa hali ya juu naomba nipingane na wewe katika hoja yako. Ahsante.
 
Sasa nimeamini kuwa watakaomkwamisha Magufuli ni virusi ndani ya CCM...... Kwa hili nafkiri Membe katumwa na yule jamaa ili amchane Magufuli

Kama Ni Kweli Kayasema Hayo Basi Akae Tayari Kupokea Na Sisi TUTAKAVYOFUNGUKA Kama Siyo KUTIRIRIKA Dhidi Yake Kuanzia Alipokuwa Afisa Oysterbay, Afisa Ubalozini ULAYA Na Kubwa Zaidi Alipokuwa Waziri Wa Nchi Za Nje. ANAJULIKANA KINDAKINDAKI Ila Ngoja Kwanza Nijiridhishe Kutoka Kwa Watu Wangu Walio Karibu Nae Kama Ni Kweli KAYASEMA Hayo Kisha TUMJIBU KUNAKOTUKUKA. Awaguse Watu Wote Lakini Siyo Rais Wetu TULIYEHANGAIKA, KUJINYIMA, KUKUBALI KUTUKANWA Na HADI KUNYANYASIKA Kwa Ajili Yake Na Wale MAFISADI WAKUU Waliokuwa HAWATAKI Na HAWAMTAKI APITE Ili AWE KIONGOZI WETU ALIYETUKUKA Dr. John Pombe Joseph MAGUFULI. Siku Nitakayoacha KUMPIGANIA Na KUMTETEA Rais Wangu Dr. MAGUFULI Labda Ni Pale Tu Ambapo Mwenyezi Mungu Atanichukua Kwenda Mbinguni Ila Kwa Sasa WALE WOTE MTAKAOJITOKEZA KUMSEMA VIBAYA NA KINAFIKI Rais Wangu KIPENZI SITAWAVUMILIENI Kwani Nina UHAKIKA 100% Kuwa Rais Dr. MAGUFULI AMETEULIWA Na MWENYEZI MUNGU Na Ni MALAIKA Tunayeishi Nae!
 
Kwa hiyo uchafu wa Membe utawekwa wazi tu endapo atamshambulia kipenzi chako Pombe.

Yaani Membe asipomshambulia Pombe anabaki kuwa msafi.
 
Wewe si ulikuwa team Membe kwenye mchakato wa ndani CCM?
 
KUNA WATU WENGINE UKITAKA WAONGEE WAKOHOE MPAKA WAPATE VIDONDA KOO,WAWEKE NJE YA SYSTEM
 
Watu wengi tunatoa povu kwa vichwa vya habari kabla ya kusoma stori ndani. Isije ikawa uchonganishi tu.
Mkuu, nini maana ya heading?
Unategemea kilichoandikwa ndani kitofautiane na content?
Ila mnajuana na vyama vyenu,
Sisi tunataka tuone mambo yanafanyika.
Hata mkibwabwaja na vyama vyenu usiku na mchana ni ruksa, but wananchi tutimiziwe. Vinginevyo hakuna mwenye hati miliki ya hii nchi, 2020 chochote kinaweza tokea!
 
Back
Top Bottom