Alikuwa msaidizi wa VASCO DAGAMAKwan Membe ndio nani?
Alikuwa msaidizi wa VASCO DAGAMAKwan Membe ndio nani?
Ulitaka membe awe rais wako duhh.......point gan kwa mfano me cjaona chochote zaidi ya chuki na wivuMajipu unayajua wewe au unayaskia...Membe ana point hapo afu jamaa ni genius sana anajua anachokisimamia anaona jamaa anaenda mrama lazima aseme.Ni heri huyu bwana angekua rais kuliko huyu tulie nae sasa.
Sasa akiropoka aachwe tuu...Sipendi tabia ya kumsemasema vibaya MEMBE.
You have nailed it! Na leo nakuunga mkono kwani unaonekana hatimae unajua Kikwete alikuwa na viongozi wa aina gani! Hapa jamaa anaanza kuisoma namba ndio maana yamemtoka haya maneno. Atetea uvivu na uzembe wa awamu ya Kikwete. Magufuli inabidi tumuunge mkono kwa sana ili asiyumbishwe na hawa wavivu waliozoea kusafiri kila siku.Katumwaaaaaa na mzee wa Msoga... aseme na kumchamba Magufuli.... hili ni jinga kweli... halina akili hata kidogo... kazi majungu tu kama Mzee wa Msoga... Magufuli piga kazi... achana na hili bw.ege kweli... limetumwa, chizi kweli hili...
Magufuli piga kazi, hata wapinzani wanakukubali... achana na hili zimwi la Lindi.. juzi alikusifia ulivyofuta SAFARI ZA NJE.... LEO ANAKUKANDIA... unajua sbb ni nn...? Sbb hujamchagua ktk NAFASI YOYOTE ILE KTK SERIKALI YAKO... hili chizi kweli...!!
Damn..
FyatuuuKama Ni Kweli Kayasema Hayo Basi Akae Tayari Kupokea Na Sisi TUTAKAVYOFUNGUKA Kama Siyo KUTIRIRIKA Dhidi Yake Kuanzia Alipokuwa Afisa Oysterbay, Afisa Ubalozini ULAYA Na Kubwa Zaidi Alipokuwa Waziri Wa Nchi Za Nje. ANAJULIKANA KINDAKINDAKI Ila Ngoja Kwanza Nijiridhishe Kutoka Kwa Watu Wangu Walio Karibu Nae Kama Ni Kweli KAYASEMA Hayo Kisha TUMJIBU KUNAKOTUKUKA. Awaguse Watu Wote Lakini Siyo Rais Wetu TULIYEHANGAIKA, KUJINYIMA, KUKUBALI KUTUKANWA Na HADI KUNYANYASIKA Kwa Ajili Yake Na Wale MAFISADI WAKUU Waliokuwa HAWATAKI Na HAWAMTAKI APITE Ili AWE KIONGOZI WETU ALIYETUKUKA Dr. John Pombe Joseph MAGUFULI. Siku Nitakayoacha KUMPIGANIA Na KUMTETEA Rais Wangu Dr. MAGUFULI Labda Ni Pale Tu Ambapo Mwenyezi Mungu Atanichukua Kwenda Mbinguni Ila Kwa Sasa WALE WOTE MTAKAOJITOKEZA KUMSEMA VIBAYA NA KINAFIKI Rais Wangu KIPENZI SITAWAVUMILIENI Kwani Nina UHAKIKA 100% Kuwa Rais Dr. MAGUFULI AMETEULIWA Na MWENYEZI MUNGU Na Ni MALAIKA Tunayeishi Nae!
Vuteni subira Rais JPM hataacha jiwe juu ya jiwe kuhusu ufisadi.
Naona wengi Humu hawaijui taaluma ya Membe,huyu kila anachofanya na kuongea inabidi utulie na kutafakari sana,kuna picha kwenye Sanaa zinaitwa obstacles au wengine wanaita illusions.
hayo majipu ya JK mbona hamuyataji na sisi tukayajua? mbona mmebaki na majungu tu? akili za mbwa hizi ni shida.Haka kajamaa hakajitambui, ni fisadi Jnr. Yeye atasema chochote atakacho ili tu kumyumbisha Magufuli asitumbue majipu ya JK na mawaziri wake majambazi. Naona ni wivu tu ndiyo unaomsumbua Membe kwani alitaka sana kuwa rais ili aendelee kuiba na kutetea maslahi ya JK. Rais Magufuli inabidi atumbue majipu ya Membe haraka sana.
Majipu unayajua wewe au unayaskia...Membe ana point hapo afu jamaa ni genius sana anajua anachokisimamia anaona jamaa anaenda mrama lazima aseme.Ni heri huyu bwana angekua rais kuliko huyu tulie nae sasa.
We ulitakaje tukimbilie kwakwoMkiangalia vichwa vya habari vya magazeti then mnakimbilia JF.
maneno ya mkosaji. alizoea uzururaji na uzembe yeye na yule ndugu yake.walifikiri hii nchi ni baba yao.shenxy typeSasa nimeamini kuwa watakaomkwamisha Magufuli ni virusi ndani ya CCM...... Kwa hili nafikiri Membe katumwa na yule jamaa ili amchane Magufuli.
=====================