Mélissa Theuriau: The Most beautifu Tv Presenter!

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
Kwa wale wafuatiliaji wa Ma- Celebrity, tusaidieni yafuatayo:

1. Huyu Mtangazaji anaitwa nani?
2. Yuko Nchi gani?
3. Anatangazia TV gani?

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • image002.jpg
    image002.jpg
    21.4 KB · Views: 827
  • image004.jpg
    image004.jpg
    22.8 KB · Views: 760
  • image005.jpg
    image005.jpg
    44.5 KB · Views: 763
  • image006.jpg
    image006.jpg
    24.7 KB · Views: 758
  • image009.jpg
    image009.jpg
    23.8 KB · Views: 828
Mkuu Superman hivi mamaa huwaga ana kuwepo ukitumia JF? Hahaha. Msema ukweli mpenzi wa Mungu this lady is beautiful I think to any man's standards.
 
Kuna mtangazaji wa hali ya hewa wa CNN anaitwa somebody Delgado.God knows that gal is devilishly beautiful
 
Mkuu; Ndo hivyo tena mambo ya JF ni Ku-Risk wakati mwingine. Mwenyewe sasa hivi amekomalia TV Series za SBC na mimi nimekomaa na Lap Top yangu.

Hata hivyo Mkuu; Mke wangu ni bomba sana na moto wa kuotea mbali Mkuu. Ukweli ni kuwa hata huyu dada anayedhaniwa ni mzuri si lolote si chochote kwa mamsap wangu . . . . haaa haaaa (Mambo ya mwamba ngoma hayo . . .)
 
Kevo Mkuu . . .

Angalia usije ukajitafutia matatizo kwa mywife wako . . . Ina maana Mkuu kipindi cha hali ya hewa cha CNN hukosekani.

Ngoja nikomae na CNN leo mpaka nimwone . . . mambo ya fahari ya macho hayo . . .
 
Ndiyo maana nadhani hana wasi wasi maana hata yeye anajijua ni mzuri sana na hao wengine utaishia kuwaona kwenye screen tu hahaha.
 
Kevo Mkuu . . .

Angalia usije ukajitafutia matatizo kwa mywife wako . . . Ina maana Mkuu kipindi cha hali ya hewa cha CNN hukosekani.

Ngoja nikomae na CNN leo mpaka nimwone . . . mambo ya fahari ya macho hayo . . .

Kila nikimuona huwa ananibariki sana!Mai waifu wangu anajuaga me naangaliaga tuu uabiri wa hali ya hewa ila hajui kama kuna kitu kinanivutia
 
Mhhhh mkuu wanawake wana akili ya kugundua mambo. usije ukadhani kakaa kimya & she is completely clueless. Ina wezekana ana kuchunguza siku ya siku ikitokea kitu kidogo tu ana pachika na hiyo.
 
Ndiyo wakuu,

Kama mdau alivyosema hapo juu, huyu dada anaitwa Mélissa Theuriau 31yrs ni mtangazaji wa vipindi vya asubuhi katika TV ya LCi ya hapa Ufaransa. Ila nafikiri ameolewa mwaka jana na bishoo mmoja hivi.

Cool
 
Kevo unamzungumzia Jennifer Delgado? Huyo Melissa(jina lake la pili mgogoro kuliandika na kutamka) kuliandika ana miguu mizuri? maana picha zake za miguu adimu kuonekana.
 
Mimi yangu macho tuuuu . . . .

attachment.php
 
Attachments

  • Melisa.jpg
    Melisa.jpg
    296.5 KB · Views: 356
Ndiyo wakuu,

Kama mdau alivyosema hapo juu, huyu dada anaitwa Mélissa Theuriau 31yrs ni mtangazaji wa vipindi vya asubuhi katika TV ya LCi ya hapa Ufaransa. Ila nafikiri ameolewa mwaka jana na bishoo mmoja hivi.

Cool

Ni kweli Mkuu: Picha za Harusi hizi hapa:

attachment.php
 
Attachments

  • jamel-debbouze-et-melissa-theuriau.jpg
    jamel-debbouze-et-melissa-theuriau.jpg
    52.9 KB · Views: 367
Kevo unamzungumzia Jennifer Delgado? Huyo Melissa(jina lake la pili mgogoro kuliandika na kutamka) kuliandika ana miguu mizuri? maana picha zake za miguu adimu kuonekana.

Mkuu Miguu hii hapa chini. wataalamu wa Miguu, ongeeni:

attachment.php
 
Attachments

  • Melissa-Theuriau-6.jpg
    Melissa-Theuriau-6.jpg
    48.4 KB · Views: 472
Kuna mtangazaji wa hali ya hewa wa CNN anaitwa somebody Delgado.God knows that gal is devilishly beautiful

Mkuu; Ile mtu roho yako inapenda hii hapa:

attachment.php
 
Attachments

  • Jennifer 1.jpg
    Jennifer 1.jpg
    51 KB · Views: 372
mara nyingi Mungu hakupi vyote: utakuta demu mzuri sana kwa sura- ila miguu ya njiwa!!

wanaume tumetofautiana sana. kuna watu wanazimika tu kwa sura, kama huyu bwana superman. wengine kifua, wengine kiuno, au kibox na hivyo wengine miguu. duu kazi sana.
 
Kwani Wakuu; hapa bongo kwenye TV zetu, hakuna akina dada wazuri wenye mvuto?
 
wanaume tumetofautiana sana. kuna watu wanazimika tu kwa sura, kama huyu bwana superman. wengine kifua, wengine kiuno, au kibox na hivyo wengine miguu. duu kazi sana.

Mkuu; wewe huwa unazimika sana kwa nini?

Check ustaarabu kwanza kama wife yuko karibu, isije kuwa jibu unalobandika akaliona na kuleta matatizo . . . haaa haaa
 
Back
Top Bottom