mtoto mzee
Member
- Nov 10, 2011
- 38
- 4
Hata EL JAZEERA wametangaza muda huu kuhusu hili suala, dunia siku hizi ni kijiji. Ukifumbia macho kama Spika wetu alivotaka kufanya, wengine wataona na kuonea huruma wahanga!!!
AJE - Al Jazeera English
hata mimi niko Kenya, CitizenTv na KBC wamekua wakiupdate tangu ajali itokee. Kumbe Makinda hakuwa na taarifa
Jamani chanzo ni nini?
Ni conspiracy theory inayoendelea. Ilipozama MV Spice JWTZ hawakushiriki ktkt uokozi. Leo meli ilkuwa karibu zaidi na Bara kuliko Zanzibar na hakuna meli hata moja kutoka bara iliyoshiriki uokoziinasemekana MV seagul ikitokea Dar kuelekea zanzibar imezama. kila tupato habari tutazidi kuhabarishana
Update:
Ilikua na abiria 200 na juhudi za uokoaji zinaendelea na tayari baadhi ya watu wameokolewa wakiwa hai na wengine bado wanaelea wakiwa na maboya. Taarifa za vifo bado hazijathibitishwa japo ukweli ni kwamba vifo vipo. Meli hiyo imewahi kuripotiwa kuwa mbovu mara kadhaa.
View attachment 59156
Hayo si ndio maadili yenu, mnajulikana.
Hivi mbona Kenya wana kiherehere na mambo ya Tanzania?
Sasa hapa inabidi tuulizane maana naambiwa pale kivukoni kuna kituo cha kuelekeza meli na hali ya hewa. Je, kituo hiki kilitoa kibali kwa meli hiyo isafiri hata kama hali ya hewa ilikuwa mbaya kiasi hicho?..
Hadi kikwete anaondoka cjui wangapi watasalimika!
Hivi mbona Kenya wana kiherehere na mambo ya Tanzania?
Well - "Liwalo na Liwe" - (Kayanza Mizengo Peter Pinda)
hata mimi niko Kenya, CitizenTv na KBC wamekua wakiupdate tangu ajali itokee. Kumbe Makinda hakuwa na taarifa