Meja Jenerali Projest Rwegasira akionja chakula cha Wafungwa Gereza Kingolwira

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira akionja chakula cha Wafungwa katika Jiko la Gereza Kuu la Wanawake Kingolwira, Mkoani Morogoro alipofanya ziara ya kikazi ili kujionea Uendeshaji wa Magereza hapa nchini(kulia) ni Mkuu wa Gereza Kuu la Wanawake Kingolwira, ACP.

Loyce Ruhembe(kushoto) ni Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, CGP. John Casmir Minja.
 
Ni vema rais akaangalia jinsi gani anaweza kuwatumia wafungwa katika magereza katika harakati za viwanda, wafungwa watumike katika uzalishaji katika kilimo, ujenzi wa miundombinu.
 
Ni mwanasheria mwandamizi just for yo information..pengine anataka kujiridhisha ili akitumbua atumbue kweli kweli..pia ametembelea mradi wa Ng'ombe wa maziwa mchana huu!
Kakuchukua ureport mambo yake? Anaelement za wanasiasa
 
Mbona hao askari wamejawa na masikitiko? Wanawasikitikia wafungwa au ni kwamba mshahara umechelewa kutoka?
 
kat6.jpg

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira akionja chakula cha Wafungwa katika Jiko la Gereza Kuu la Wanawake Kingolwira, Mkoani Morogoro alipofanya ziara ya kikazi ili kujionea Uendeshaji wa Magereza hapa nchini(kulia) ni Mkuu wa Gereza Kuu la Wanawake Kingolwira, ACP. Loyce Ruhembe(kushoto) ni Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, CGP. John Casmir Minja.
Angalia hilo bati juu limetoboka sijui wakati wa mvua moto unawakaje na chakula kinapikwaje na kuiva katika hali hiyo.
 
anaonja ndio anakula kabisa, yaani hapo ni sawa na mtu anayecheza sinema za X halafu anaitwa amegiza wakati ka do ki ukweli ukweli
 
kat6.jpg

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira akionja chakula cha Wafungwa katika Jiko la Gereza Kuu la Wanawake Kingolwira, Mkoani Morogoro alipofanya ziara ya kikazi ili kujionea Uendeshaji wa Magereza hapa nchini(kulia) ni Mkuu wa Gereza Kuu la Wanawake Kingolwira, ACP. Loyce Ruhembe(kushoto) ni Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, CGP. John Casmir Minja.
Mbona ni jambi la kawaida sana kwani hicho si chakula kama chakula kingine tu sasa tatizo ni nn au kwa sababu yy ni katibu wa wizara
 
Ni vema rais akaangalia jinsi gani anaweza kuwatumia wafungwa katika magereza katika harakati za viwanda, wafungwa watumike katika uzalishaji katika kilimo, ujenzi wa miundombinu.

haki za binadamu, haki za binadamu, haki za binadamu, haki za binadamu.......
 
Back
Top Bottom