Mei Mosi 2021: Makosa niliyoyaona kwenye Hotuba ya rais Samia na wasaidizi wake

Akumbukwe kwa lipi ndugu?
Utekaji?
Kupoteza watu?
Kuleta wasiojulikana?
Kuongeza mishahara Mara dufu?
Au kwa lipi ndugu?
Kwa kujenga mabarabara?madaraja?
Raisi yupi aliepita hakujenga?
Au wewe nitajie rais yupi hakuongeza mishahara?maana marais wote waliopita walishaongeza.Kasoro Samia tu.
Magu alishaongeza tena pesa ndefu.

Mwaka jana Magu aliongeza take home ya 56,100 kwa kila mfanyakazi.

Hii haiwezi tokea kwa mkupuo.

Magu ndie alifanya kodi kuwa single digit.
 
Mimi nadhani Waziri Mhagama ndio hakuelewa kuwa kupunguzwa kwa kodi ni njia mojawapo ya kuongeza mshahara. Alitakiwa alifafanue hilo kwa Viongozi wa wafanya kazi mapema kwani wao wamezoea kuambiwa mshahara umeongezeka kwa kiwango fulani!! Jenista ndio kalikoroga hapo, upeo wa mawaziri wetu na watendaji wengi ni mndogo hivyo kuelewa concept ya coordination itachukua muda!! Wamezoea kila mtu na MUHOGO wake!
Kupunguza kodi sio kuongeza mshahara

Umeongeza nini kama figure ni zilezile na ni ongezeko gani lisiloathiri pension?
 
Vyama vya wafanyakazi ni kutetea maslahi ya wafanyakazi sio kuwa sehemu ya mipango ya serikali..
Walitakiwa kusema maslahi juu sio kuwa specific kwamba mishahara juu

Kusema hivyo ni kuwa na hakika ya hitaji lenu na hakika inawapa hakika ambayo haipo watu wao

Halafu ni aibu
 
Hiyo ni biashara kichaa! Yaani watu wapige tena mabilioni ya Bunge la Katiba kisha wasusie vikao vyake?
Bunge la Katiba lilikwisha maliza kazi yake, iliyobaki ni sehemu ndogo katika ile rasimu ya Warioba ambayo inaweza kumalizwa na wataalam wachache!! Tutakuwa nchi ya wehu kama tutakubali kutumia mabilioni ya fedha kurudia zoezi lililokwisha fanywa kupata maoni ya wananchi!!
 
Bunge la Katiba lilikwisha maliza kazi yake, iliyobaki ni sehemu ndogo katika ile rasimu ya Warioba ambayo inaweza kumalizwa na wataalam wachache!! Tutakuwa nchi ya wehu kama tutakubali kutumia mabilioni ya fedha kurudia zoezi lililokwisha fanywa kupata maoni ya wananchi!!

Bunge la Katiba lilipitisha Rasimu ya Katiba Pendekezwa ambayo inatofautiana fundamentally na Rasimu ya Warioba. Njia pekee ya kulikwepa Bunge la Katiba ni kuanzia pale lilipoishia (yaani Rasimu ya Katiba Pendekezwa), kitu ambacho naamini hakuna mpinzani atakubaliana nacho!
 
Back
Top Bottom