Meditation in your daily routine

Mchana unakuwa kwenye mode ya kuangalia na kuona vitu vingi kwa wakati mmoja kuwaza kupanga na kupangua nknk mind inakuwa extremely busy
Usiku baada ya kupumzika in any mode mind inaingia kwenye auto cleansing mode, auto review mode na hapo ndio unagundua errors kibao
 
You can solve any problem through meditation.

But you need to know how to do it. The reason why Tanzanians in the majority fail is they can not CONCENTRATE ( mind concentration)
 
Hah lengo limetimia. Hii post ya siku nyingi, nilitaka wadau wasome, angalau wewe umesoma
 
Hah lengo limetimia. Hii post ya siku nyingi, nilitaka wadau wasome, angalau wewe umesoma
 
Nice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu

Hunifanyii fair kabisa,MBNA hun tag
Kwenye vitu muhim kama hivi,,meditation in somo nalitaman sana kulijua linaniongezea sana umakini katika project zangu,na pia huniongezea kuelewa mambo kiundani mfano biblia

Hivyo nahitaji kuijua how to practice it efficiently

jw library
 
Mada ya kitambo sana hii kaka hebu angalia ina umri gani tangu June 2015

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo nimeona umesema kuwa huwa unaondoa mawazo yote. Sasa mi ningependa kufahamu kuwa hivi hayo mawazo unayaondoaje!?
 
Nimefatili huu uzi lakini najitahidi kuelewa nashindwa,kuondoa wazo imekua mtihani. Nikijitahidi kuconcentrate ndo sio mabadiliko yoyote. Nkifumba macho ndo naona mashangashanga. mshana jr nisaidie nielewe hizi mambo mi bado mgeni humu
 
Endelea usiache, mawazo yakija usiyazuie ila jikumbushe kuwa yamekuja tena, tambua uwepo yake, yafukuze taratibu kwakuwa yatarejea tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu mmoja hawezi kukufanya uonekane tapeli kaka
Pia watu 100 wanakusifu na watatu wakakuchafua haitosaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…