Medical Students are not Creative than engineering students?

Medical Students are not Creative than engineering students?

eti ni kweli medical students are not creative than engineering students ........

lakin napata mashaka kwani kuna maengineer wengine waliosoma miaka minne tena elimu ya chuo kikuu mechanical engineering lakin hawawezi kutrace tatizo dogo tu kwenye gari,,,yaaan namanisha

"There are some people who spent4 years in the university studying Mechanical engineering yet they won't be able to detect even the least fault in a car"

ebu twende kwenye conceptual analysis kwa mtazamo wangu mie naona maengieer wako vizuri na huko mbeleni kutatokea programme za ki IT zitakazowareplace madoctor japo ni baadae sana....

N.B huu ni mtazamamo tu mawazo masela msijenge chuki na mimi..haya ni mawazo tu,,,,,mengine yanakaribishwa jukwaani...

wale waliosoma masomo ya sanaa nawaomba nyie muwe mashabiki tu...huu uzi unawahusu kidogo mnaweza kutoa mchango wenu...
kwanza umenikera kutulinganisha madaktari kwa wahandisi!! medicine is a noble professional.....mtu katoka kuoa bikra bahati mbaya mkewe anaumwa tumbo wanamkimbizia hospital wakifika dr nasema mgonjwa ingia we jamaa subiri nje na kweli lzm utulie nje mi ndani naongea na mgonjwa wangu OK kijana tutake radhi madaktari kabla hatujakukata kichwa chako na kukuwekea kichwa cha osama ukaanza kusakamwa duniani kote
 
MIMI NIMESOMA ENGINEERING NA SASA NA SOMA MEDICINE..hizi field mbili nina zifahamu vizuri sana,nacho weza kusema ni kuwa ni field mbili tofauti kwahiyo huwezi kufanya comparison kwa kuangalia perfomance za output zake,ukweli ni kuwa in engineering na hasa kwenye swala la final project na Laboratory practise huwaandaa wanafunzi kuwa wa bunifu hata kama baadhi ya project zao zinakuwa za kucopy project kutoka vyanzo vingine lakini mpaka anapokuja kupata output anakuwa amejijenga vya kutosha..kwenye medicine kuna kuwa na kukalili na kuelewa vizuri jinsi mwili unavyo fanya kazi lakini pia jinsi magonjwa yanavyotokea na jinsi mwili kwa ujumla ulivyo,lakini pia kwenye LABS ZA MEDICINE(BIOMEDICAL LABS)ANATOMY LABS hakuna ubunifu unaofundishwa zaidi ya kuelewa namna mwili ulivyo na namna ambavyo mwili hupambana na foregn bodies lakini pia kuna ubunifu kidogo hasa kwenye PHARMAKINETCS AND PHARMADYNAMICS LABS

Pharmakinetic,pharmadynamic;una maanisha nini hapa mkuu

Hiyo medicine unaisoma kwa level gani?
 
kwanza umenikera kutulinganisha madaktari kwa wahandisi!! medicine is a noble professional.....mtu katoka kuoa bikra bahati mbaya mkewe anaumwa tumbo wanamkimbizia hospital wakifika dr nasema mgonjwa ingia we jamaa subiri nje na kweli lzm utulie nje mi ndani naongea na mgonjwa wangu OK kijana tutake radhi madaktari kabla hatujakukata kichwa chako na kukuwekea kichwa cha osama ukaanza kusakamwa duniani kote
udaktari wako wa kijinga kabisa.......kwa point yako hii nnamashaka na GPA yako
 
ukiachana na faults zinazokuwa detected by electronic method,,kuna zingine physically mechanical engineer hawez kutambua kwani anakuwa oriented kwenye madesa tu....I didn't say that engineering doesn't require intelligence lakin unaweza kuwa intelligent darasani lakini bado hata kufunga wiring ya ghorofa tatu unashindwa kuna jamaa kasoma COET alikutanishwa na madogo wa VETA akachemka kupandisha maji juu ya nyumba yenye floor ya nne maeneo ya Mbezi Africana...akatokea dogo tu wa mtaani yaan bei ya mkaa hajapita hata VETA katumia utundu tu wa kaka yake aliyesoma VETA akayapandisha ....

even though I agree that generally engineers may be slightly smarter than their medical counterparts and that plays a huge role in their innovative attitudes. lakin unaposema kuwa mtu anayemfanyia operesheni mgonjwa eti ni less intelligent kuliko mtu anayecheza na supana tu m,,mimi siwezi kukubalia hata kidogo
Kwani Mechanical engineering wanasomea ufundi magari peke yake? Hii course ni too general ina vitu vingi, kumbuka kuna Automotive Engineering pia.
 
kwanza umenikera kutulinganisha madaktari kwa wahandisi!! medicine is a noble professional.....mtu katoka kuoa bikra bahati mbaya mkewe anaumwa tumbo wanamkimbizia hospital wakifika dr nasema mgonjwa ingia we jamaa subiri nje na kweli lzm utulie nje mi ndani naongea na mgonjwa wangu OK kijana tutake radhi madaktari kabla hatujakukata kichwa chako na kukuwekea kichwa cha osama ukaanza kusakamwa duniani kote
hakuna dr. mwenye majigambo kama wewe, , , I know you'r still a student, so usichafue fani za watu buana.
 
Kwani Mechanical engineering wanasomea ufundi magari peke yake? Hii course ni too general ina vitu vingi, kumbuka kuna Automotive Engineering pia.
najua wanasoma vitu vingi ndo maana nikatoa mfano mmoja . nitatoaje sasa mifano ming???
 
Kwa mtazamo wangu mie naona maengieer wako vizuri na huko mbeleni kutatokea programme za ki IT zitakazowareplace madoctor japo ni baadae sana....

Usingeandika Maneno Hayo Hapo Juu Basi Ningeliweza Kuchangia Points Katika Huu Uzi Wako!!
Lakini IT akawe MD au Pharmacist hilo limenifanya Niuone Uzi Wako Meaningless
 
hakuna dr. mwenye majigambo kama wewe, , , I know you'r still a student, so usichafue fani za watu buana.
wewe hunijui Mimi acha kujifanya unanifahamu!! Mimi na wewe tumefahamiana hapa jf nashangaa hayo majigambo yako yakujifanya wanijua tangu nasoma yanatoka wapi? Mi sipendi siasa zako uchwara bhana jirekebishe
 
wewe unayejua ebu tunaomba uitoe tofaut kati ya enginer na technician ..ngoja tuone kama hautapitia Google
Sasa wewe kama ulijua kuna google mbona hukuenda kutafuta mpaka unalinganisha engineer na mtu alojifunzia mtaani bila hata kujua principal?
 
Back
Top Bottom