Medical Students are not Creative than engineering students?

Medical Students are not Creative than engineering students?

Kwa tz engineering ni sawa na fundi wa kawaida tu wamtaani au hata zaidi so huwezi kunfananisha hata kidogo na doctors ila kwa mbele kama europe, america na asia ehao ndo kweli huwezi kucompare na doctors wako creative sana hapa bong wameshawahi kucreate kitu gani bora hata wale wanaotengeneza majiko na masufuria mtaani kuliko ma engeneer jina
Tatizo wewe inaonyesha upeo wako mdogo. Haiwezekani hata kidogo na wala haitawahi tokea Engineer awe sawa na fundi anayejenga kwa matofali mtaani au anayefanya wiring za umeme . Inaonyesha wewe una chuki binafsi na fani za watu. Engineer atabaki kuwa Engineer na fundi atabaki kuwa fundi
 
Dogo sijakuelewa lengo lako ni nini kufanya comparison ya watu ambao wako fani tofauti.Kila fani ni nzuri awe mwalimu,doctor,Mhasibu au Engineer inategemea wewe unapendelea nini.Huwa tunasema tu mara nyingi Doctor Fulani ni mzuri kuliko Doctor Fulani labda kwa upande wa kinamama.watoto n.k. Pia huwa tunasema Engineer Fulani ni mzuri sana kwenye mambo ya Automation au Design nk kuliko Engineer Fulani, Au tunasema Fulani ni mzuri kwenye mambo ya IT SECURITY kuliko fulani. Huwezi kumlinganisha Engineer na Fundi wa VETA. Fundi atabaki kuwa fundi na Engineer atabaki kuwa Engineer.


hoja yako sio ya msingi hata kidogo....jaribu kutoa argument zenye direct points umejaribu kuandika
 
Kwa mtazamo wangu tu aliyeanziaha mada inaonyesha bado ana ufahamu mdogo na masuala ya taalamu za watu sana sana kama amesoma mwisho kidato cha nne.
Ndugu.

JF chochote kinawezekana.

We ushangai kuna jamaa yeye ni muhandisi na sasa anasomea udaktari.

Kwa kutuzuga sie mambumbumbu akagusia pharmakinetic na pharmadynamic vitu ambavyo anavifahamu yeye mwenyewe alipovitoa maana hata kwenye google havipo.

Hivyo usishangae sana huu mdahalo.
 
Ndugu.

JF chochote kinawezekana.

We ushangai kuna jamaa yeye ni muhandisi na sasa anasomea udaktari.

Kwa kutuzuga sie mambumbumbu akagusia pharmakinetic na pharmadynamic vitu ambavyo anavifahamu yeye mwenyewe alipovitoa maana hata kwenye google havipo.

Hivyo usishangae sana huu mdahalo.
huyo jamaa wa pharma kinetic ni hatari. mie najua kuna Pharmacokinetics ambalo ni somo la drug absorption, distribution, metabo- lism, and excretion.
 
Swala la creativity ni an individual thing, ku~generalize kwenye groups alafu ukasema medical students vs engineers unajaribu kucompare apples to oranges. Hawa watu wote wawili wapo creative kwenye fields zao kivyao, wapo so different but still wanategemeana sana, doctor atamtibu engineer, engineer atatengeneza tools ambazo doctor atatumia, bila engineers leo hii medicine hata appendix wasingeweza kuitoa.
Ndo maana knowledge ya physics ni muhimu kwa madaktari.
Vifaa vingi vinavyotumika hospitali viligunduliwa na madaktari wahandisi wanafanya kazi ya kudurufu na kuboresha.

Tiba zote zinazotumika leo, magonjwa yote yanayogunduliwa yanagunduliwa na madaktari. Hujasikia daktari wanataka kuunganisha kichwa?

Ubunifu wa daktari upo kwenye eneo lake vivyo hivyo kwenye uhandisi.

Nimshauri tu mleta mada kuwa kajisomee sana ubobee, ufikiri ndo unaweza kuwa mbunifu. Kuwa engineer au doctor haitoshi kuwa mbunifu.
 
ukiachana na faults zinazokuwa detected by electronic method,,kuna zingine physically mechanical engineer hawez kutambua kwani anakuwa oriented kwenye madesa tu....I didn't say that engineering doesn't require intelligence lakin unaweza kuwa intelligent darasani lakini bado hata kufunga wiring ya ghorofa tatu unashindwa kuna jamaa kasoma COET alikutanishwa na madogo wa VETA akachemka kupandisha maji juu ya nyumba yenye floor ya nne maeneo ya Mbezi Africana...akatokea dogo tu wa mtaani yaan bei ya mkaa hajapita hata VETA katumia utundu tu wa kaka yake aliyesoma VETA akayapandisha ....

even though I agree that generally engineers may be slightly smarter than their medical counterparts and that plays a huge role in their innovative attitudes. lakin unaposema kuwa mtu anayemfanyia operesheni mgonjwa eti ni less intelligent kuliko mtu anayecheza na supana tu m,,mimi siwezi kukubalia hata kidogo
TANZANIA HAKUNA MAENGENEERING KUNA MAFUNDI REPAIR TU
 
Ndo maana knowledge ya physics ni muhimu kwa madaktari.
Vifaa vingi vinavyotumika hospitali viligunduliwa na madaktari wahandisi wanafanya kazi ya kudurufu na kuboresha.

Tiba zote zinazotumika leo, magonjwa yote yanayogunduliwa yanagunduliwa na madaktari. Hujasikia daktari wanataka kuunganisha kichwa?

Ubunifu wa daktari upo kwenye eneo lake vivyo hivyo kwenye uhandisi.

Nimshauri tu mleta mada kuwa kajisomee sana ubobee, ufikiri ndo unaweza kuwa mbunifu. Kuwa engineer au doctor haitoshi kuwa mbunifu.

Hapo kwenye red I tend to differ, tiba nyingi hazijatengenezwa na madaktari japo wao pia wanahusika kwenye research, kuna fields nyingi sana apart from medicine zinazohusika na vitu kama madawa, mfano Biologist, Biomedical engineering, hata MRI machines zinatengenezwa na Physicists au Electrical engineers waliobobea kwenye magnetism, hicho ni kitu medicine guys don't study, Genetics engineering, Pharmaceutical engineering, Tissue engineering, zote hizi ni engineering faculties. So sio lazima mtu asome medicine kudevelop medicine, in fact madaktari wengi wanadeal na kutibu wagonjwa directly na sio kukaa chini kufanya research ya kugundua dawa.
 
Engineers especially computer, electrical, telecom, chemical, mechanical, software including scientist hasa computer scientist, Mathematicians, Physists wana analytical skills kuliko madaktari. Ukiangalia hasa masomo ya computer mfano Computer programming, yanahitaji zaidi reasoning, creativity and analysis. Tofauti na somo la udaktati kama Body Anatomy, ambayo linahitaji zaidi memory ya kukariri na kujua kuhusu mwili. So most of the doctors are people with good and high capacity of memorizing the facts.

Pia watu wanapaswa kufahamu kuwa kugradute course za computer science doesn't make you a scientist.

But all ni all kama tutaangalia nature ya masomo ya engineering ni reasoning and analysis na nature ya masomo yamadaktari ni kuwa na uwezo mkubwa wa kukeep facts in your head.
 
minaoana hata social worker ni bora kushinda wote hao,kikubwa hakuna alie bora zaidi ya mwenzie
 
eti ni kweli medical students are not creative than engineering students ........


lakin napata mashaka kwani kuna maengineer wengine waliosoma miaka minne tena elimu ya chuo kikuu mechanical engineering lakin hawawezi kutrace tatizo dogo tu kwenye gari,,,yaaan namanisha

"There are some people who spent4 years in the university studying Mechanical engineering yet they won't be able to detect even the least fault in a car"


ebu twende kwenye conceptual analysis kwa mtazamo wangu mie naona maengieer wako vizuri na huko mbeleni kutatokea programme za ki IT zitakazowareplace madoctor japo ni baadae sana....

N.B huu ni mtazamamo tu mawazo masela msijenge chuki na mimi..haya ni mawazo tu,,,,,mengine yanakaribishwa jukwaani...

wale waliosoma masomo ya sanaa nawaomba nyie muwe mashabiki tu...huu uzi unawahusu kidogo mnaweza kutoa mchango wenu...
Mtoa post ww n artist pure japo upp garage kwa kushika chuma tuu ili wanao wasimamie kwa jiran
Nadhan kila mtu ana specification yake
Mm nasubiria uzi kuhusu tulio somea sekta ya mifugo ambapo mm nataraji nigundue dawa mpya ambayo ukimchoma bata mtoto siku hiyo hiyo atakuwa bata mzinga it is my null hypothesis
Nsubir alternative hypothesis ili niweze kukubali au kupinga my null hypothesis
 
Simaanish hivyo ila napinga dhana ya kudhani kua engineer is more creative than doctor or vice versa
Ucreative wa MTU ni juhudi yake kutafuta maarifa na understanding capacity
Understanding capacity na creativity ni tofauti. Most of the doctors have the understanding of what they do but they aren't creative. To be an engineer you must be a creative person. That why most of the engineering lessons are about calculations. Medicines lessons are based on facts which a person has to understand or/and memorize and apply so as to be a good doctor.

Wengi wa wanaomponda mtoa mada hawajamuelewa.
 
Understanding capacity na creativity ni tofauti. Most of the doctors have the understanding of what they do but they aren't creative. To be an engineer you must be a creative person. That why most of the engineering lessons are about calculations. Medicines lessons are based on facts which a person has to understand or/and memorize and apply so as to be a good doctor.

Wengi wa wanaomponda mtoa mada hawajamuelewa.
hapana kaka kuna maengieer hasa wa udsm nawajua vizuri wanameza tu ...they are not creative kabisa yaaan wanameza turn.
 
Anàyesema doctors are not creative may be ni mablind na ni madeàf daily doctors conduct researches about different diseases then et they just memorise the fact bongo no even single engeneers labda wageuke kuwa politician tu ndoo màana wàpo wengi humu kazi kubishàna tu doctors are busy with their profesional
 
Kwa ufahamu wako mpaka sasa fault zote kwenye gari ni mechanical kwa kuzingatia magari mengi siku hizi yana lots of electrical na electronic components au systems ambazo zimekuwa integrated na mechanical systems. Halafu toa mfano ambao ni specific ili ueleweke unataka kusema nini.

Je, madaktari ndio hawakosei kufanya diagnosis ya magonjwa? Pale MOI mgonjwa wa kichwa kupasuliwa goti na wa goti kupasuliwa kichwa, je hii unaitazama vipi?
Siyo beef honestly speaking Elimu yetu is not practical at times ukitaka kuifanya iwe practical inakuwa as ukaja na concepts za kuleta solutions jamaa wa authority wanakuwa wanaleta kind of blockages as not to let you meet your goals...

Way forward;

1.Ukienda shule jiongeze kutokana na maarifa uliyopata sababu shule ni 25% ya mafanikioa yako in the real world..

2.Ukiwa na skills baada ya kujiongeza from the 25% ukaeza kuziona fursa za dunia as in uki score above the avarage 25% then itazame fursa hiyo kiundani ifanyie kazi katika infrastructers ambazo ni rasmi as comply with all regulations and labour on.

Onyo:
Usithubutu kupeleka suluhisho lako ambalo litasaidia jamii nawewe utapata kuishi kwa kuhudumia katika taasisi yoyote kwamba utapata msaada sahau wataku frustrate i am 100% sure..

Zingatia kwamba mtaji ni tatizo so anza na resources ndogo at your disposal..

Kila la heri wasomi
 
Back
Top Bottom