Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,747
Ushawatofautisha lakini au hujaona mkuu?Fundi stadi(veta),fundi mchundo(technician) na fundi fanisi(engineer)
Wote mafundi
Ushawatofautisha lakini au hujaona mkuu?Fundi stadi(veta),fundi mchundo(technician) na fundi fanisi(engineer)
Wote mafundi
Point ya ndugu ujaielewa uyo aki design afu akutambua kosa mfano jengo likajengwa ikumbukwe mfano civil load inatakiwa iwe ndogo kuliko resistance sasa design ikikosewa bila kutambua jengo likajengwa maafa yatakayo tokea fatilia majengo yaliyofail na kuanguka sababu ya structure fail yameleta majanga ganisio kweli....engineer akikosea anaweza kufanya correction mfano akikosea kujenga barabara anafumua anajenga upya....doctor akikosea mgonjwa anakufa na hawez kufufuka
Doctors are the human body engineers- God's greatest creation. No machine can compare!Guy, you're so funny..........dont you know that medical students are semi God?????
Sijasema kuwa kilichotokea MOI kwenye upasuaji ni diagnosis bali ni mfano wa makosa katika sector ya health. Au wewe umeona kuwa huo ni mfano wa wrong diagnosis kwa sababu umefuatana na swali linalohusu wrong diagnosis? Kama ungekuwa ni mfano ningesema ni mfano.Ile haukuwa misdiagnosis, just a case of the wrong patient at the wrong time, poor communication.
hata wewe umejieeleza kisiasa tu haujatoa tofaut ya hao watu.....engineer yupo kwenye group moja na technician au yeye ni foreman tu mwenye ujuzi wa kufikirika???Tatizo la walio wengi including na mleta mada ni kule kushindwa kutofautisha kati ya Engineer, Technician na Artsian basi, nafikiri kuna tatizo somewhere katika uelewa wao yanapokuja masuala ya kiufundi - binafsi nafikiri kuna umuhimu wa take their time kujielimisha kuhusu tofauti na wajibu/kazi za watajwa hapo juu, wakisha pata jibu sina shaka hiyo itapunguza sceptical attitude zao kuhusu Ma Engineer - wasichukulie ma Ijinia kama mafundi mchundo.
Mtu anawezaje kuja hapa na kudai eti Engineer ameshidwa kujua HEAD specs za pump ya kupandisha maji kwenda ghorofa ya tatu!!! Hii inaingia akilini kweli?
hata wewe haupo smart sasa unacompare umeme na civil......tunazngumzia engineering zote in general.......Sijaelewa ulinganifu Kati ya medicine na Engineering mbona havihusiani kabisa? How come a medical student being able to create something kwakuwa wao wanakuwa equipped with knowledge na skills za kufanya medical diagnosis na at the end kutoa proper treatment!mtoa mada ulikuwa unataka wa creat nn? Na kwenye despline ipi ya medicine ?labda next time ukitaka kufanya comparison fanya fields zinazofanana labda useme students wa Electrical engineering sio creative compared to those of Civil engineering! Ni ushauri tu.
Doctors are the human body engineers- God's greatest creation. No machine can compare!
Fundi stadi(veta),fundi mchundo(technician) na fundi fanisi(engineer)
Wote mafundi
Ask Engineersnoo...we are trying to compare in real life situation..achana na maembe na machungwa kwa mfano doctor akifanya mistake in surgery anasababisha kifo......lakin engineer akifanya mistake kuna nafasi ya kurekebisha before release.
Aloleta mada ni wale vilaza...wa kule inakohamia serikali...hajui tofauti ya engineer na technician...Tatizo la walio wengi including na mleta mada ni kule kushindwa kutofautisha kati ya Engineer, Technician na Artsian basi, nafikiri kuna tatizo somewhere katika uelewa wao yanapokuja masuala ya kiufundi - binafsi nafikiri kuna umuhimu wa take their time kujielimisha kuhusu tofauti na wajibu/kazi za watajwa hapo juu, wakisha pata jibu sina shaka hiyo itapunguza sceptical attitude zao kuhusu Ma Engineer - wasichukulie ma Ijinia kama mafundi mchundo.
Mtu anawezaje kuja hapa na kudai eti Engineer ameshidwa kujua HEAD specs za pump ya kupandisha maji kwenda ghorofa ya tatu!!! Hii inaingia akilini kweli?
lakini mwisho wa siku lawama anapewa dokta! nyumba ikianguka hutasema fundi aliweka ratio mbovu, atakayefwatwa ni injinia....vuvyo hivyo hayo ni makosa ya drIle haukuwa misdiagnosis, just a case of the wrong patient at the wrong time, poor communication.
umejikita sana kwenye ubunifu....ni ubunifu gain huo sasaMIMI NIMESOMA ENGINEERING NA SASA NA SOMA MEDICINE..hizi field mbili nina zifahamu vizuri sana,nacho weza kusema ni kuwa ni field mbili tofauti kwahiyo huwezi kufanya comparison kwa kuangalia perfomance za output zake,ukweli ni kuwa in engineering na hasa kwenye swala la final project na Laboratory practise huwaandaa wanafunzi kuwa wa bunifu hata kama baadhi ya project zao zinakuwa za kucopy project kutoka vyanzo vingine lakini mpaka anapokuja kupata output anakuwa amejijenga vya kutosha..kwenye medicine kuna kuwa na kukalili na kuelewa vizuri jinsi mwili unavyo fanya kazi lakini pia jinsi magonjwa yanavyotokea na jinsi mwili kwa ujumla ulivyo,lakini pia kwenye LABS ZA MEDICINE(BIOMEDICAL LABS)ANATOMY LABS hakuna ubunifu unaofundishwa zaidi ya kuelewa namna mwili ulivyo na namna ambavyo mwili hupambana na foregn bodies lakini pia kuna ubunifu kidogo hasa kwenye PHARMAKINETCS AND PHARMADYNAMICS LABS
Duuuuh!!! ni level gani mkuu?MIMI NIMESOMA ENGINEERING NA SASA NA SOMA MEDICINE.
Lakini hakufanya misdiagnosis, ni kwamba tu kaletewa mgonjwa sie.lakini mwisho wa siku lawama anapewa dokta! nyumba ikianguka hutasema fundi aliweka ratio mbovu, atakayefwatwa ni injinia....vuvyo hivyo hayo ni makosa ya dr
You are a qualified engineer but still a medical student. Maliza kwanza Medicine, then nitaamini kuwa unazijua hizi fani zote vizuriumejikita sana kwenye ubunifu....ni ubunifu gain huo sasa