Medical Students are not Creative than engineering students?

Medical Students are not Creative than engineering students?

unaposema ivo unafeli kijana......definition ya creative person inasema hivi ''a person who grows or makes or invents things''......definition hii inabezi kwenye science tu ndo maana tunapata mtu anayeitwa creator...lakn kwenye social science hatunaga macreator ila tuna watu kama illustrators ambao kazi yao ipo kisanaa zaidi yaan illustrator is an artist who makes illustrations (for books or magazines or advertisements etc.)
Lakini hata Mimi sikuzugumzia social science am talking about doctor or engineer as thread statements. Nakubaliana na wewe lakini....!
 
Swala la creativity ni an individual thing, ku~generalize kwenye groups alafu ukasema medical students vs engineers unajaribu kucompare apples to oranges. Hawa watu wote wawili wapo creative kwenye fields zao kivyao, wapo so different but still wanategemeana sana, doctor atamtibu engineer, engineer atatengeneza tools ambazo doctor atatumia, bila engineers leo hii medicine hata appendix wasingeweza kuitoa.
 
Ktk medicine kua creative ni kutoa matibabu sahihi kwa gharama ndogo.....kutumia vifaa kiusahihi ambavyo kila siku vinagundulika....sidhani kama hii ni battle sababu madaktari huez fanya kazi bila engeneer kumbuka vifaa vyote ktk hosp engeneers ndio utengeneza kwa kukaa meza moja kusikiliza maelezo ya mteja wake ambae apo ni daktari....tena engeneer ni wabunifu sana na mimi binafsi naapreciate engeneers
 
  • Thanks
Reactions: Izc
Kosa moja la engineer linaweza kugarim maisha ya watu wengi engineer akikosea kudesign hao wagonjwa wanaweza kupukutika wengi sana
 
Kosa moja la engineer linaweza kugarim maisha ya watu wengi engineer akikosea kudesign hao wagonjwa wanaweza kupukutika wengi sana

sio kweli....engineer akikosea anaweza kufanya correction mfano akikosea kujenga barabara anafumua anajenga upya....doctor akikosea mgonjwa anakufa na hawez kufufuka
 
Cha ajabu unaweza kuta wanao argue katika mada hii,hakuna hata mmoja aliye mhandisi au daktari.
 
sio kweli....engineer akikosea anaweza kufanya correction mfano akikosea kujenga barabara anafumua anajenga upya....doctor akikosea mgonjwa anakufa na hawez kufufuka
Akikosea kujenga barabara si itaua watu weng ndio ijulikane kakosea
 
Cha ajabu unaweza kuta wanao argue katika mada hii,hakuna hata mmoja aliye mhandisi au daktari.

ndo maana nikasema waliosoma social science wawe watazamaji japo wanaweza kutoa arguments
 
Akikosea kujenga barabara si itaua watu weng ndio ijulikane kakosea

aaaah wapi.......barabara inafumuliwa na Magufuli au umesahau kuwa zinafumuliwa....na sio barabara tu hata vitu vingne engineer akikosea mfano akikosea kutengeneza simu anaweza kurudia before haijaingia sokoni
 
Au hujui ata kama vifaa vyote anavyotumia daktar kugundua ugonjwa vinatengenezwa na engineer
 
Hivi mechanical engineering ni sawa sawa na automotive engineering?
 
sio kweli....engineer akikosea anaweza kufanya correction mfano akikosea kujenga barabara anafumua anajenga upya....doctor akikosea mgonjwa anakufa na hawez kufufuka
Mkuu, soma wikipedia kuhusu kosa la Engineer wa umeme janga la kulipuka kinu cha Nuclear kule Urusi miaka ile ya themanini,halafu urudi tena jukwaan hapa
 
Back
Top Bottom