Izc
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 546
- 368
Hawatafanikiwa kuwa mainjinia wazuri katika fani zaohapana kaka kuna maengieer hasa wa udsm nawajua vizuri wanameza tu ...they are not creative kabisa yaaan wanameza turn.
Hawatafanikiwa kuwa mainjinia wazuri katika fani zaohapana kaka kuna maengieer hasa wa udsm nawajua vizuri wanameza tu ...they are not creative kabisa yaaan wanameza turn.
After the completion of creation, God left the work of creation to engineers for them to continue with his work!
Hoja yangu ya msingi ni kuwa haitoshi kuwa daktari au mhandisi ukawa mbunifu. Ubunifu upo kila sector.Hapo kwenye red I tend to differ, tiba nyingi hazijatengenezwa na madaktari japo wao pia wanahusika kwenye research, kuna fields nyingi sana apart from medicine zinazohusika na vitu kama madawa, mfano Biologist, Biomedical engineering, hata MRI machines zinatengenezwa na Physicists au Electrical engineers waliobobea kwenye magnetism, hicho ni kitu medicine guys don't study, Genetics engineering, Pharmaceutical engineering, Tissue engineering, zote hizi ni engineering faculties. So sio lazima mtu asome medicine kudevelop medicine, in fact madaktari wengi wanadeal na kutibu wagonjwa directly na sio kukaa chini kufanya research ya kugundua dawa.
Kuna mainjinia wa vyeti, kuna mainjinia wenye vyeti na ujuzilkn wamequalify name wana vyeti
bora uendelee kuchangia mada husika, Islets sina maneno mengi, nikisema machache ujumbe umefika inatosha.ISLETS Umeamua kuongopa hadharani ndugu yangu!! naomba unitake radhi Mkuu!!