Medical Students are not Creative than engineering students?

Medical Students are not Creative than engineering students?

ukiachana na faults zinazokuwa detected by electronic method,,kuna zingine physically mechanical engineer hawez kutambua kwani anakuwa oriented kwenye madesa tu....I didn't say that engineering doesn't require intelligence lakin unaweza kuwa intelligent darasani lakini bado hata kufunga wiring ya ghorofa tatu unashindwa kuna jamaa kasoma COET alikutanishwa na madogo wa VETA akachemka kupandisha maji juu ya nyumba yenye floor ya nne maeneo ya Mbezi Africana...akatokea dogo tu wa mtaani yaan bei ya mkaa hajapita hata VETA katumia utundu tu wa kaka yake aliyesoma VETA akayapandisha ....

even though I agree that generally engineers may be slightly smarter than their medical counterparts and that plays a huge role in their innovative attitudes. lakin unaposema kuwa mtu anayemfanyia operesheni mgonjwa eti ni less intelligent kuliko mtu anayecheza na supana tu m,,mimi siwezi kukubalia hata kidogo
Mbona maelezo yako unaonekana kama mtu unapachika pachika tu maneno kama mpiga lamli?
 
eti ni kweli medical students are not creative than engineering students ........


lakin napata mashaka kwani kuna maengineer wengine waliosoma miaka minne tena elimu ya chuo kikuu mechanical engineering lakin hawawezi kutrace tatizo dogo tu kwenye gari,,,yaaan namanisha

"There are some people who spent4 years in the university studying Mechanical engineering yet they won't be able to detect even the least fault in a car"


ebu twende kwenye conceptual analysis kwa mtazamo wangu mie naona maengieer wako vizuri na huko mbeleni kutatokea programme za ki IT zitakazowareplace madoctor japo ni baadae sana....

N.B huu ni mtazamamo tu mawazo masela msijenge chuki na mimi..haya ni mawazo tu,,,,,mengine yanakaribishwa jukwaani...

wale waliosoma masomo ya sanaa nawaomba nyie muwe mashabiki tu...huu uzi unawahusu kidogo mnaweza kutoa mchango wenu...
achana na kitu kinaitwa "medicine" mtu wa hii profession ni wa thamani sana.
NB: hakuna mtu aliyeu-study mwili wa mwanadamu akaumaliza, hata awe professor, mwili wako fundi Mungu tu. . . . usifananishe magari kabisa ambayo yametengenezwa na watu tu.
 
noo...we are trying to compare in real life situation..achana na maembe na machungwa kwa mfano doctor akifanya mistake in surgery anasababisha kifo......lakin engineer akifanya mistake kuna nafasi ya kurekebisha before release.
Ndo mana nikasema unabahatisha kama mpiga lamli...siyo kweli kuwa kila mistake kwenye surgery itasababisha kifo na siyo kweli kila kosa atakalofanya engineer linaweza kurekebishwa kabla ya kuleta madhara...una generalize mno
 
Ndo mana nikasema unabahatisha kama mpiga lamli...siyo kweli kuwa kila mistake kwenye surgery itasababisha kifo na siyo kweli kila kosa atakalofanya engineer linaweza kurekebishwa kabla ya kuleta madhara...una generalize mno
Toa mf wa surgery ambayo ikikosewa haitaua
 
Mkuu, soma wikipedia kuhusu kosa la Engineer wa umeme janga la kulipuka kinu cha Nuclear kule Urusi miaka ile ya themanini,halafu urudi tena jukwaan hapa

conceptually unataka kuargue kuwa wote wakikosea wanaua?????
 
Engineer anaplan, anaandaa engineering layout anampatia technician anaunda kifaa au kitu.....

Doctor ukimfata ukimwambia naumwa atakuuliza dalili then atafanya kubahatisha magonjwa kadhaa then unekwenda kupima.....

Mi naona ma engineer ndo wako very tactic than madoctor

Respect to all engineers.
I am the expected one in Construction Industry
Halafu huwa hatunaga njaa ndogondogo.
 
  • Thanks
Reactions: Izc
sio kweli....engineer akikosea anaweza kufanya correction mfano akikosea kujenga barabara anafumua anajenga upya....doctor akikosea mgonjwa anakufa na hawez kufufuka
Say hospital ya muhimbili au kcmc ilijengwa kimakosa, je siku ikibomoka itaua watu wangapi?? Unaweza jibu?,
 
kuna tofauti kati ya fundi, technician na mhandisi! injinia sio fundi na fundi sio technician na technician sio injinia
Fundi stadi(veta),fundi mchundo(technician) na fundi fanisi(engineer)
Wote mafundi
 
Engineer anaplan, anaandaa engineering layout anampatia technician anaunda kifaa au kitu.....

Doctor ukimfata ukimwambia naumwa atakuuliza dalili then atafanya kubahatisha magonjwa kadhaa then unekwenda kupima.....

Mi naona ma engineer ndo wako very tactic than madoctor

Respect to all engineers.
I am the expected one in Construction Industry
Halafu huwa hatunaga njaa ndogondogo.


Unaweza kusoma engineering miaka minne ukakosa kazi....wapo kibao mtaan wanazunguka na bahasha...kwa taarifa yako litambue hill....lakn hakuna doctor hata mmoja anayetembea na bahasha
 
Engineer anaplan, anaandaa engineering layout anampatia technician anaunda kifaa au kitu.....

Doctor ukimfata ukimwambia naumwa atakuuliza dalili then atafanya kubahatisha magonjwa kadhaa then unekwenda kupima.....

Mi naona ma engineer ndo wako very tactic than madoctor

Respect to all engineers.
I am the expected one in Construction Industry
Halafu huwa hatunaga njaa ndogondogo.
hapa kidogo umeongea lakn bado hujui mchango wa doctors .....bado sana....upo one sided
 
Tatizo la walio wengi including na mleta mada ni kule kushindwa kutofautisha kati ya Engineer, Technician na Artsian basi, nafikiri kuna tatizo somewhere katika uelewa wao yanapokuja masuala ya kiufundi - binafsi nafikiri kuna umuhimu wa take their time kujielimisha kuhusu tofauti na wajibu/kazi za watajwa hapo juu, wakisha pata jibu sina shaka hiyo itapunguza sceptical attitude zao kuhusu Ma Engineer - wasichukulie ma Ijinia kama mafundi mchundo.

Mtu anawezaje kuja hapa na kudai eti Engineer ameshidwa kujua HEAD specs za pump ya kupandisha maji kwenda ghorofa ya tatu!!! Hii inaingia akilini kweli?
 
Kwa ufahamu wako mpaka sasa fault zote kwenye gari ni mechanical kwa kuzingatia magari mengi siku hizi yana lots of electrical na electronic components au systems ambazo zimekuwa integrated na mechanical systems. Halafu toa mfano ambao ni specific ili ueleweke unataka kusema nini.

Je, madaktari ndio hawakosei kufanya diagnosis ya magonjwa? Pale MOI mgonjwa wa kichwa kupasuliwa goti na wa goti kupasuliwa kichwa, je hii unaitazama vipi?
Ile haukuwa misdiagnosis, just a case of the wrong patient at the wrong time, poor communication.
 
Back
Top Bottom