Mechi ya Fainali Kombe la Dunia Qatar 2022 itakuwa kati ya Ufaransa na Argentina

Vivyo hivyo ndani ya dk 90 hakuna mwenyewe. Kupaki basi pia ni mbinu ndio hao hispania wakashindwa kupenya mpaka wakaenda kwenye matuta.
Leo hao Morocco utawakataa mapema tu. World cup haihitaji janjajanja. Inatakiwa mpira uwe unaujua kweli.
 
Ya Urusi yanaenda kujirudia Mwaka huu. Fainali ni France Vs Croatia
Na Croatia ndie anaeenda kuchukua kombe Fifa worl cup 2022
Niendelee kusisitiza hapa!
Argentina itatolewa na Croatia na France itamfurusha Mwarabu Morocco.
Fainali: Croatia Vs France
 
Argentina kufika fainali na kuchukua ubingwa ni jambo la lazima. Kinyume na hapo labda itokee hii miujiza kama ya Morocco kupita kwa bahati ndio Messi hatabeba kombe.

Kwa pressing na high balls za wafaransa nitashangaa sana kama Morocco atapata bahati tena. Kwahiyo fainali itakuwa kama nilivyoandika, Arg vs Fra.
 
Wanaoenda Fainali ni Croatia na Morocco BINGWA MOROCCO 2-1
 
Ureno atamtoa Morocco kirahisi kuliko inavyodhaniwa. Ufaransa atamtoa uingereza halafu ataenda kumtoa ureno kwenye nusu fainali.
Football. Well, bado ndoto yako kuona fainali kati ya Ufaransa na Argentina inaweza kutimia

Mimia naiona fainali ya Morocco na Croatia
 
Argentina kufika fainali na kuchukua ubingwa ni jambo la lazima. Kinyume na hapo labda itokee hii miujiza kama ya Morocco kupita kwa bahati ndio Messi hatabeba kombe.

Kwa pressing na high balls za wafaransa nitashangaa sana kama Morocco atapata bahati tena. Kwahiyo fainali itakuwa kama nilivyoandika, Arg vs Fra.
Tuendelee kusubiri
 
Back
Top Bottom