Mechi ya Fainali Kombe la Dunia Qatar 2022 itakuwa kati ya Ufaransa na Argentina

Execute

JF-Expert Member
Sep 21, 2022
3,000
7,284
Baada ya kuziangalia timu zote kwenye mechi zilizowapeleka robo fainali, imekuwa dhahiri kwangu kwamba fainali itakuwa kati ya timu hizo.

Brazil anaweza kumtoa Croatia ingawa sitarajii iwe hivyo. Argentina atamtoa Uholanzi kisha ataenda na kumtoa Brazil/Croatia kwenye nusu fainali

Ureno atamtoa Morocco kirahisi kuliko inavyodhaniwa. Ufaransa atamtoa uingereza halafu ataenda kumtoa ureno kwenye nusu fainali.

Hapa naongelea kiufundi zaidi baada ya kuziona hizi timu kwa kuzingatia ubora pamoja na madhaifu yao.

Ile mechi ya mtoano wa 16 bora pale urusi mwaka 2018 inaenda kujirudia kwenye fainali ya mwaka huu pale Qatar. France vs Argentina.

Sitegemei kama Argentina atakubali kufungwa mara ya pili. Ngojea tusubirie muda utatujibu.
 
Jiandae kushangazwa
 
mechi ya mtoano wa 16 bora pale urusi mwaka 2018 inaenda kujirudia kwenye fainali ya mwaka huu pale Qatar. France vs Argentina.
Mechi ya kisasi hii, ngoja kwanza robo fainali ya France na England imalizike ....
 
ENGLAND NI HATARI HAKUNA CHA BRAZIL WALA NANI.. HAWA JAMAAA WANACHUKUA NDOO.. VIUNGO WAO NI WAVUNJA KUNI HASA HAWANA MAMBO MENGI... KIUFUPI ENLAMD ANACHEZA MPIRA KAZI KAZI NA SIO UREMBO UREMBO WA BRAZIL ARGENTINA FRANCE UHOLANZI
Ile England ya 2018 kule Russia ilikuwa full perfectly in all competition kuanzia Beki, Strikers na Viungo kuliko hii ya sasa iliyokabwa koo na USA pekee.

England ni DHAIFU, DHAIFU, DHAIFU SAAAANA, nimekaa pale
 
Baada ya kuziangalia timu zote kwenye mechi zilizowapeleka robo fainali, imekuwa dhahiri kwangu kwamba fainali itakuwa kati ya timu hizo.

Brazil anaweza kumtoa Croatia ingawa sitarajii iwe hivyo. Argentina atamtoa Uholanzi kisha ataenda na kumtoa Brazil/Croatia kwenye nusu fainali

Ureno atamtoa Morocco kirahisi kuliko inavyodhaniwa. Ufaransa atamtoa uingereza halafu ataenda kumtoa ureno kwenye nusu fainali.

Hapa naongelea kiufundi zaidi baada ya kuziona hizi timu kwa kuzingatia ubora pamoja na madhaifu yao.

Ile mechi ya mtoano wa 16 bora pale urusi mwaka 2018 inaenda kujirudia kwenye fainali ya mwaka huu pale Qatar. France vs Argentina.

Sitegemei kama Argentina atakubali kufungwa mara ya pili. Ngojea tusubirie muda utatujibu.
Naisubiri kwa hamu sana semi final ya brazil vs argentina.. naoenda soka america kusini pale wanapokutana wapinzani wa jadi ufundi, kukamiana, ubabe n.k kikubwa tu iyo game refa asiwatishe wachezaji kwa kutoa kadi kizembe zembe watu tuone show ingawa karata yangu nampa brazil maana ile front 4 yao ujui umkabe nani umwache nani
 
Back
Top Bottom