Mecca yaumbuka: Siri kubwa yafichuliwa!

Mecca yaumbuka: Siri kubwa yafichuliwa!

Status
Not open for further replies.
Waache wakampige shetani kwa mawe!!!Sasa wale ambao watakufa hawajawahi kwenda kuhiji huyo shetani watampiga kwa mawe wapi!!? jehanamu!!!!!!!?

Akili za kusimuliwa,changanya na zako!!!!

Naona kuna kundi la watu linafanywa VITEGA UCHUMI vya WATU FULANI TEULE!!!

Hivi na marais wa Dunia nzima kwenda New York kila mwaka hili unalizungumziaje? Namaanisha UN.
 
Ingekua ukristo ni dini basi wazanzibar wote wangekua wakristo kwani ukristo uliingia mwanzo Zanzibar na ndio ukaenda bara tanganyika

Devoid of logic and is indeed Masaburi's way of thinking
 
Acha kupanic,Jibu hoja!!!!

Huyo Shetani mnaempiga mawe kila siku HAJAFA tu miaka yooooote hiyo!!!

Acheni kuwa VILAZA!!!!

Teh teh teh,
Unajua u-mjinga!! kwanini?
Kwanza understanding yako juu ya UISLAM ni ndogo sana/huenda huna kabisa.
Pili unatumia hiyo little/wrong understanding ku-reach a conclusion.
Kwanini nisiendelee kuamini kwamba nabishana na Mjinga?
Teh teh teh .
Kwaheri.
 
Kwahiyo leo unakataa kua Israil sio Taifa teule. Au Muungu wako wewe ni Yupi! Kuna yule Mungu aliesulubiwa msalabani na viumbe wake,wanaomuamini Mungu huyo wanaamini Israeli ni Taifa teule.

Wajua hawa watu siku zote mimi huwaona wajinga.
Kama yalivyo maandiko yao very contradicting even their minds hivyo hivyo tu.
Ukafiri kazi jamani, daaah!!!
 
Hija ya siku hizi ni tofauti na zamani, wanakwenda wahalifu na wanyang'anyi na wanarudi freshi tu wanaedelea na uhalifu kama kawa.zamani ilikuwa hela ya kwenda hija lazima iwe ya halali,ukifika huko utubu ukirudi uishi kwa haki.
 
Hapana mkuu Mungu wangu ni mungu anayesikia lugha ya kiarabu tu ukitukana kwa kimakonde,kimeru,kichagga,kihaya,kijaluo,kindengereko,kikwere,kimatumbi,kizigua au kipare si dhambi kwasababu mungu wangu hasikii lugha nyingine zaidi ya kiarabu.

Mungu wangu ni mungu anayemwasalia mtume aliyemuumba ohoo ghoshh image mungu anamswalia mtume ha ha ha ha ha ha ha.

Kwahiyo leo unakataa kua Israil sio Taifa teule. Au Muungu wako wewe ni Yupi! Kuna yule Mungu aliesulubiwa msalabani na viumbe wake,wanaomuamini Mungu huyo wanaamini Israeli ni Taifa teule.
 
kama huna cha kupost, ni bora ukae kimya. Tazama post za wenzanko zenye tija na kuvuta tafakuri jadidu. hakuna umasikini mbaya kama wa mawazo/fikira.
yenye kuvuta tafakuri jadidi
yenye kuvuta tafakuri jadidi

Kwa wale mtakaokumbuka lile sakata la rushwa katika kinyang'anyiro cha kugombea kuwa mwenyeji wa michuano ya kombe la Dunia la mwaka 2022 ambapo Qatar ilishinda, mtaona ni kwa jinsi gani michuano hii ilivyo na manufaa na faida kubwa sana kwa nchi mwenyeji kutokana na wageni wengi sana kuja na kuacha matrilioni ya pesa katika mwaka na mwezi husika tu wa michuano. Hivyo baadhi ya viongozi wa nchi huwa tayari hata kuhonga mabilioni ya pesa ili waweze kushinda zabuni, Its amazing!

Sasa turudi kwenye mada. 'Uchunguzi huru' uliofanywa na 'mdau' mmoja wa maendeleo, umegundua kwamba 'Haj to Mecca' ni kitega uchumi No.2 kinachoongoza kwa kuliingizia taifa la Saudi Arabia mapato makubwa zaidi tena ya fedha za kigeni($$$$$$)..!, ikiongozwa na Kitega uchumi cha mafuta (crude oil) kinachoshika nafasi ya kwanza kwa kuingiza mapato mengi. Infact nina haki ya kusema 'Haj to Mecca' ni uti wa mgongo wa pili wa Saudi arabia. Its a Lucrative bussiness!

Mamillioni ya mahujaji waliojinyima kula, kunywa, kusoma na kuvaa vizuri (especially kutoka nchi masikini kama tz), hufunga safari kuelekea Mecca kila mwaka ambapo hulipia ticket za ndege kwa gharama kubwa sana, hapa mashirika ya ndege yanayolipa kodi Saudi Arabia huingiza mapato makubwa na hivyo kulipa kodi kubwa zaidi! Mahoteli ya Saudi arabia nayo huchangamka mno kipindi hiki, Mahujaji humwaga mamilioni kulala kwenye accomodation za aina na viwango mbalimbali, kwa style hii huwa wanachagiza uchumi wa Saudi kwa kiwango kikubwa sana, wakati huo huo dada zao waliopo Leopard tours (kwa aliyeipakata serikali a.k.a Fazal) wanapoteza ajira na kunyanyaswa kwa ukosefu wa wageni. Unbelievable!

Bila shaka, mahujaji hawa pia humwaga mamilioni zaidi huko Saudi kwa matumizi ya huduma na bidhaa mbali mbali, mfano usafiri, mawasiliano, chakula na mengineyo mengi! Daah..! Saudi mna bahati sana, 'mungu' awape nini?! Kinachoniuma ni pale mahujaji hao wanaponunua mamilioni ya ng'ombe wazima na kuwachinja halafu hawawali, badala yake nyama ile ni kama unaitoa bure kwa wa Saudi wakale kwenye mahekalu yao kwa kufuru! (rejea picha ya sahani kubwa ya pilau mithili ya swimming pool iliyojaa nyama ya ng'ombe wa kienyeji). Inaniuma zaidi pale nyama za ziada ndio zinaletwa huku kwenye misikiti kama msaada eti, ambapo akina mama wa hali ya chini hupanga foleni kupokea nyama hiyo ambayo ni reject na hatari kwa afya yetu! TFDA muwe makini! Sheer humiliation! (Usifanye mchezo na Imani.Ni bangi mbaya sana!)

'Mdau' huyo ameweka hadharani kwamba, kwa mzunguko mmoja, 'Haj to Mecca' huliingizia taifa hili kiasi cha Trillioni 125 kuanzia mwanzo mpaka mwisho, na hapa ikijumuisha mapato katika mitizamo na angle zote possible! ITS SHOCKING!

WAY FOWARD: Hijja iwe ya mzunguko kama lilivyo kombe la Dunia ili na nchi nyingine masikini kama Tanzania tuweze kufaidi matunda ya biashara hii iliyoshushwa, nasi tujikwamue kiuchumi. Nawasilisha.

DON FRANCIS
 
Tukisema mijitu mingine inamatatizo mnakasirika hii sasa maana yake nini kama sio kuwatafuta undani watu?
 
Waislam hawa jamaa wasiwashughulishe maana hata hawa wenye Jf ni haohao ukiandika cha kuwauma wanakiondoa. Hawa jamaa hawana malezi ya maadili,ni viroba hawa ukipigizana kelele unapoteza muda,ustaarbu tumewafundisha sisi,hata kuchamba na kunawa uso walikuwa hawajui,waacheni wanunuliwe viroba watukane watu,waende kwenye mikutano na kufanya fujo. Ni hoja ya kijinga hii isiyo na mashiko. Sisi dini yetu ni uadilifu na si pesa. Hiyo pesa unayoitaja ni peanut kwa Saudi Arabia ambayo ina kipato kikubwa mno. Nendeni kanisani mkaombe Mungu awaokoe waumini wenu maana kila balaa la ufisadi nchini ni wakiristo tu,iko aina fulani ya laana mnayo
 
Point yako ni nini hasa?pesa wanayoipata kutokana na wageni au nyama za majuhaj?
 
Sasa imeumbuka nini? Unanchekesha.

Au roho imekuuma kusikia Makkah wanaingiza matrillioni wakati wa Haj? Utaungilika sana. Hiyo ni nchi iliyoombewa na Ibrahim na dua yake kukubaliwa:

Qur'an 14:37. Mola wetu Mlezi! Hakika mimi nimewaweka baadhi ya dhuriya zangu katika bonde lisilo kuwa na mimea, kwenye Nyumba yako Takatifu, ewe Mola wetu Mlezi, ili washike Sala. Basi zijaalie nyoyo za watu zielekee kwao, na waruzuku matunda, ili wapata kushukuru. ***

“O our Lord! I have made some of my offspring to dwell in an uncultivable valley by Your Sacred House in order that they may perform As-Salat. So fill some hearts among men with love towards them, and (O Allah) provide them with fruits so that they may give thanks.”

(Quran, Surah Ibrahim, Verse, 37)

Msamehe bure, hajui maana ya neno "kuumbuka"
 
Kwa wale mtakaokumbuka lile sakata la rushwa katika kinyang'anyiro cha kugombea kuwa mwenyeji wa michuano ya kombe la Dunia la mwaka 2022 ambapo Qatar ilishinda, mtaona ni kwa jinsi gani michuano hii ilivyo na manufaa na faida kubwa sana kwa nchi mwenyeji kutokana na wageni wengi sana kuja na kuacha matrilioni ya pesa katika mwaka na mwezi husika tu wa michuano. Hivyo baadhi ya viongozi wa nchi huwa tayari hata kuhonga mabilioni ya pesa ili waweze kushinda zabuni, Its amazing!

Sasa turudi kwenye mada. 'Uchunguzi huru' uliofanywa na 'mdau' mmoja wa maendeleo, umegundua kwamba 'Haj to Mecca' ni kitega uchumi No.2 kinachoongoza kwa kuliingizia taifa la Saudi Arabia mapato makubwa zaidi tena ya fedha za kigeni($$$$$$)..!, ikiongozwa na Kitega uchumi cha mafuta (crude oil) kinachoshika nafasi ya kwanza kwa kuingiza mapato mengi. Infact nina haki ya kusema 'Haj to Mecca' ni uti wa mgongo wa pili wa Saudi arabia. Its a Lucrative bussiness!

Mamillioni ya mahujaji waliojinyima kula, kunywa, kusoma na kuvaa vizuri (especially kutoka nchi masikini kama tz), hufunga safari kuelekea Mecca kila mwaka ambapo hulipia ticket za ndege kwa gharama kubwa sana, hapa mashirika ya ndege yanayolipa kodi Saudi Arabia huingiza mapato makubwa na hivyo kulipa kodi kubwa zaidi! Mahoteli ya Saudi arabia nayo huchangamka mno kipindi hiki, Mahujaji humwaga mamilioni kulala kwenye accomodation za aina na viwango mbalimbali, kwa style hii huwa wanachagiza uchumi wa Saudi kwa kiwango kikubwa sana, wakati huo huo dada zao waliopo Leopard tours (kwa aliyeipakata serikali a.k.a Fazal) wanapoteza ajira na kunyanyaswa kwa ukosefu wa wageni. Unbelievable!

Bila shaka, mahujaji hawa pia humwaga mamilioni zaidi huko Saudi kwa matumizi ya huduma na bidhaa mbali mbali, mfano usafiri, mawasiliano, chakula na mengineyo mengi! Daah..! Saudi mna bahati sana, 'mungu' awape nini?! Kinachoniuma ni pale mahujaji hao wanaponunua mamilioni ya ng'ombe wazima na kuwachinja halafu hawawali, badala yake nyama ile ni kama unaitoa bure kwa wa Saudi wakale kwenye mahekalu yao kwa kufuru! (rejea picha ya sahani kubwa ya pilau mithili ya swimming pool iliyojaa nyama ya ng'ombe wa kienyeji). Inaniuma zaidi pale nyama za ziada ndio zinaletwa huku kwenye misikiti kama msaada eti, ambapo akina mama wa hali ya chini hupanga foleni kupokea nyama hiyo ambayo ni reject na hatari kwa afya yetu! TFDA muwe makini! Sheer humiliation! (Usifanye mchezo na Imani.Ni bangi mbaya sana!)

'Mdau' huyo ameweka hadharani kwamba, kwa mzunguko mmoja, 'Haj to Mecca' huliingizia taifa hili kiasi cha Trillioni 125 kuanzia mwanzo mpaka mwisho, na hapa ikijumuisha mapato katika mitizamo na angle zote possible! ITS SHOCKING!

WAY FOWARD: Hijja iwe ya mzunguko kama lilivyo kombe la Dunia ili na nchi nyingine masikini kama Tanzania tuweze kufaidi matunda ya biashara hii iliyoshushwa, nasi tujikwamue kiuchumi. Nawasilisha.

DON FRANCIS

Imeekuuma sana ee? fanya kijijini chenu nacho kiwe cha kuhiji uone kama watakuja, na wakija ujue mwaka hauishi tayari watu washaacha, yuko wapi babu wenu wa loliondo? si ni mkristo mwenzenu yule? mbona kashindwa kuendeleza watu kwenda kunywa dawa?

Acheni kupambana na vitu vilivyobalikiwa, hamtaviweza.
 
Waislam hawa jamaa wasiwashughulishe maana hata hawa wenye Jf ni haohao ukiandika cha kuwauma wanakiondoa. Hawa jamaa hawana malezi ya maadili,ni viroba hawa ukipigizana kelele unapoteza muda,ustaarbu tumewafundisha sisi,hata kuchamba na kunawa uso walikuwa hawajui,waacheni wanunuliwe viroba watukane watu,waende kwenye mikutano na kufanya fujo. Ni hoja ya kijinga hii isiyo na mashiko. Sisi dini yetu ni uadilifu na si pesa. Hiyo pesa unayoitaja ni peanut kwa Saudi Arabia ambayo ina kipato kikubwa mno. Nendeni kanisani mkaombe Mungu awaokoe waumini wenu maana kila balaa la ufisadi nchini ni wakiristo tu,iko aina fulani ya laana mnayo
Dini zilizokuja kwa majahazi ni shida tu.

Yani unajisikia Mwislam au Mkristo kindakindaki............Dini yenyewe umeletewa kwenye jahazi.
 
Wala siyo siri, ukiisoma Aya aloitoa FF ni kwamba imeandikwa hadi kwenye Qur-an. Sema ndo umejua leo. "suratul-qafiruun", mtuache
 
Nawasiwasi sana na hii jf,kila siku ni mada zakukashifu uislam kulikoni?mbona kumejaa chuki dhidi ya uislam?
 
Waislam hawa jamaa wasiwashughulishe maana hata hawa wenye Jf ni haohao ukiandika cha kuwauma wanakiondoa. Hawa jamaa hawana malezi ya maadili,ni viroba hawa ukipigizana kelele unapoteza muda,ustaarbu tumewafundisha sisi,hata kuchamba na kunawa uso walikuwa hawajui,waacheni wanunuliwe viroba watukane watu,waende kwenye mikutano na kufanya fujo. Ni hoja ya kijinga hii isiyo na mashiko. Sisi dini yetu ni uadilifu na si pesa. Hiyo pesa unayoitaja ni peanut kwa Saudi Arabia ambayo ina kipato kikubwa mno. Nendeni kanisani mkaombe Mungu awaokoe waumini wenu maana kila balaa la ufisadi nchini ni wakiristo tu,iko aina fulani ya laana mnayo
 
Kwa wale mtakaokumbuka lile sakata la rushwa katika kinyang'anyiro cha kugombea kuwa mwenyeji wa michuano ya kombe la Dunia la mwaka 2022 ambapo Qatar ilishinda, mtaona ni kwa jinsi gani michuano hii ilivyo na manufaa na faida kubwa sana kwa nchi mwenyeji kutokana na wageni wengi sana kuja na kuacha matrilioni ya pesa katika mwaka na mwezi husika tu wa michuano. Hivyo baadhi ya viongozi wa nchi huwa tayari hata kuhonga mabilioni ya pesa ili waweze kushinda zabuni, Its amazing!

Sasa turudi kwenye mada. 'Uchunguzi huru' uliofanywa na 'mdau' mmoja wa maendeleo, umegundua kwamba 'Haj to Mecca' ni kitega uchumi No.2 kinachoongoza kwa kuliingizia taifa la Saudi Arabia mapato makubwa zaidi tena ya fedha za kigeni($$$$$$)..!, ikiongozwa na Kitega uchumi cha mafuta (crude oil) kinachoshika nafasi ya kwanza kwa kuingiza mapato mengi. Infact nina haki ya kusema 'Haj to Mecca' ni uti wa mgongo wa pili wa Saudi arabia. Its a Lucrative bussiness!

Mamillioni ya mahujaji waliojinyima kula, kunywa, kusoma na kuvaa vizuri (especially kutoka nchi masikini kama tz), hufunga safari kuelekea Mecca kila mwaka ambapo hulipia ticket za ndege kwa gharama kubwa sana, hapa mashirika ya ndege yanayolipa kodi Saudi Arabia huingiza mapato makubwa na hivyo kulipa kodi kubwa zaidi! Mahoteli ya Saudi arabia nayo huchangamka mno kipindi hiki, Mahujaji humwaga mamilioni kulala kwenye accomodation za aina na viwango mbalimbali, kwa style hii huwa wanachagiza uchumi wa Saudi kwa kiwango kikubwa sana, wakati huo huo dada zao waliopo Leopard tours (kwa aliyeipakata serikali a.k.a Fazal) wanapoteza ajira na kunyanyaswa kwa ukosefu wa wageni. Unbelievable!

Bila shaka, mahujaji hawa pia humwaga mamilioni zaidi huko Saudi kwa matumizi ya huduma na bidhaa mbali mbali, mfano usafiri, mawasiliano, chakula na mengineyo mengi! Daah..! Saudi mna bahati sana, 'mungu' awape nini?! Kinachoniuma ni pale mahujaji hao wanaponunua mamilioni ya ng'ombe wazima na kuwachinja halafu hawawali, badala yake nyama ile ni kama unaitoa bure kwa wa Saudi wakale kwenye mahekalu yao kwa kufuru! (rejea picha ya sahani kubwa ya pilau mithili ya swimming pool iliyojaa nyama ya ng'ombe wa kienyeji). Inaniuma zaidi pale nyama za ziada ndio zinaletwa huku kwenye misikiti kama msaada eti, ambapo akina mama wa hali ya chini hupanga foleni kupokea nyama hiyo ambayo ni reject na hatari kwa afya yetu! TFDA muwe makini! Sheer humiliation! (Usifanye mchezo na Imani.Ni bangi mbaya sana!)

'Mdau' huyo ameweka hadharani kwamba, kwa mzunguko mmoja, 'Haj to Mecca' huliingizia taifa hili kiasi cha Trillioni 125 kuanzia mwanzo mpaka mwisho, na hapa ikijumuisha mapato katika mitizamo na angle zote possible! ITS SHOCKING!

WAY FOWARD: Hijja iwe ya mzunguko kama lilivyo kombe la Dunia ili na nchi nyingine masikini kama Tanzania tuweze kufaidi matunda ya biashara hii iliyoshushwa, nasi tujikwamue kiuchumi. Nawasilisha.

DON FRANCIS

Maskini sasa kinakuuma nini mgalatia wewe
 
Nimegundua huu mtandao ni wachama gani na imani gani,mada zao udini,chama,ubaguzi,,shame on you!halafu mnajifanya watu safi!m*vi matupu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom