ibrahimbaruthy
Member
- Dec 10, 2017
- 14
- 5
Allah akbar
Hiyo heshima umepewa na binadamu au Mungu?Hakuna mji katika historia ya binadamu umewahi kupewa heshima kuzidi mji wa Makkah hakuna.
AYA hii hapaKitabu cha shetani ni Biblia. Lete aya kisha na mimi nikupa aya.

Kwanini kwenye biblia unasema mfano ila kwenye Quran unaona ni halisi? Acha mahaba. Kwa taarifa tu ni kwamba biblia imeua watu wengi kuliko Quran.Hivi nikikuta kiazi nitakuwa nakosea
Umetoa hoja kuwa biblia nayo inaruhusu kuuana ila sisi tunaiona Quran tu. Na ukatoa Luka 9:27
Jibu langu likawa kuwa huo ni mfano tu aliokuwa anauongea kwani ukianzia mstar wa11 utapata jibu aliposema akawapa mfano mwingine SASA UNANIAMBIA TENA NITOE MSTAR MMOJA WENYE NGUVU. Hivi unajielewa kweli
Wamewakuna wazee wasifa na majigambo black arabsAllah Akbar
Ata angezikwa amboni ni sawa tu kuga ni kufa tuNadhani Mtume alizikwa Madina na sio Mecca.
Acha uongo. 2:97 inasema hivi:AYA hii hapa
Quran 2:97
97. Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
Huyo Adui wa Jibril ni nani![]()
Usipende kutoa maandimo ya uongo. Toa kama yalivyo kwenye Quran!AYA hii hapa
Quran 2:97
97. Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
Huyo Adui wa Jibril ni nani![]()
Nimekuanzia 68 unayoitakaYaani ulivyo mpotoshaji umeanzia aya ya 70 wakati kuna aya ta 68 na 69 ambayo imeeleza vizuri kabisa msingi wa hiyo aya ya 71. Yaani we mbabaishaji kweli. Hunui Quran na upo kwa ajili ya kusoma mistari inayokupa ujiko. Soma aya ya 68 na 69 kisha ndio usome hizo aya zako. Utaelewa.
Kaa pembeni. Acha nimshughulikie anayejifanya anaijua Quran.Nyote ni vichaa hamjitambui mnatukuza mila za waarabu na wazungu.
Biblia na quruan ni novel tu main characters ni yesu na mhamadi
Rudini ktk Uafrika chimbuko lenu
Mbona umepanik hadi unaanza kuongea visivyokuwemoKwanini kwenye biblia unasema mfano ila kwenye Quran unaona ni halisi? Acha mahaba. Kwa taarifa tu ni kwamba biblia imeua watu wengi kuliko Quran.
Na kama kweli wewe unaijua Quran nitajie idadi ya watu waliouawa kwa maandiko uliyoyatoa. Mimi nitakutajia wangapi waliuawa kwa mujibu wa maandiko ya biblia.
Eti kwwnye biblia andiko la kuchinjwa ni mfano. Bwege kweli wewe...
Hapo kwenye luka 19:28 baada ya Yesu kusema watu wachinjwe kwenye 19:27 alielekea Jerusalem. Unaweza kuniambia huko Jerusalem alikwenda kufanya nini kwa mujibu wa Luka 19:28?
Mstari wa 11 unakuambia kuwa akawapa mfano mwingine. Cha ajabu unapinga na MSTAR WA 28 alipomaliza mfano huo akaelekea Jerusalem sasa mambo ya Quran imeua watu hyo ni juu yako sababu ndio maana nikakupa andiko la Waefeso kuwa Vita vyetu ni juu ya shetani sio damu na nyama na kujitoa mhangaUnamwuliza nani hilo swali sasa?una uhakika gani tupe reference mkuu, Yesu hawezi kupigana vita ya mwili , ndo maana alimwamulu petro arudishe kipande cha sikio alichokikata kwa askali wa kirumi wakati wa kumkamata.
Mstari wa 28 unasema alipomaliza kusema hayo akaelekea Jerusalem. Alikwenda kufanya nini? Jibu.....Mbona umepanik hadi unaanza kuongea visivyokuwemo![]()
![]()
![]()
![]()
Mstari wa 11 unakuambia kuwa akawapa mfano mwingine. Cha ajabu unapinga na MSTAR WA 28 alipomaliza mfano huo akaelekea Jerusalem sasa mambo ya Quran imeua watu hyo ni juu yako sababu ndio maana nikakupa andiko la Waefeso kuwa Vita vyetu ni juu ya shetani sio damu na nyama na kujitoa mhanga
Sijapanic. Wewe ndio mwongo. Umetoa 2:97 Quran kwa kuchomeka maneno yako. Haisemi hivyo. Acha uongo.....Mbona umepanik hadi unaanza kuongea visivyokuwemo![]()
![]()
![]()
![]()
Mstari wa 11 unakuambia kuwa akawapa mfano mwingine. Cha ajabu unapinga na MSTAR WA 28 alipomaliza mfano huo akaelekea Jerusalem sasa mambo ya Quran imeua watu hyo ni juu yako sababu ndio maana nikakupa andiko la Waefeso kuwa Vita vyetu ni juu ya shetani sio damu na nyama na kujitoa mhanga
Naona umeanza kuyakataa maandiko ya mkitabu wako sasa ngoja nikuwekee na picha uikataeAcha uongo. 2:97 inasema hivi:
"Sema anayemfanyia ushinde Jibril (kwa kuwa ndiye aliyemletea utume Nabii Muhammad asiwapelekee mayahudi)(ni) bure' hana kosa Jibril; hakika yeye ameiteremsha Quran moyoni mwako kwa idhini ya mwenyezi Mungu (siyo kafanya kwa kupendelea kwake); (Quran) kwa kusadikisha yale yaliyokuwa kabla yake, na ni uongozi na bishara njema kwa wanaoamini."
Nyie si mnasema mtume alipaa akiwa Yerusalemu pale kwenye lile li Msikiti mnakogombania na Wayahudi.i mji pekee ambao mtume wa mwisho wa mwenyezi Mungu amezikwa.
Wewe chukua boja moja kisha ijadili iishe. Mbona unachomeka vitu vingi? Kwa umbuumbumbu wako kwenye 2:97 japo umesema uongo umeanza na neno "SEMA". Mbona hujiulizi nani anaambiwa aseme? Ukishajua nani anaambiwa aseme hutauliza tena masuala ya anduko kutaja Mungu. Muhammad anaambiwa aseme. Yaani yale anayoambiwa aseme ndio yanaingizwa kinywani mwa Muhammad jinsi anavyotakiwa kusema. Hapo hamna tatizo. Tatizi ni wewe usiyejua Quran. Huwezi kukichambua kitu usichikijua matokeo yake utatia aibu tu.Nimekuanzia 68 unayoitaka
. Basi naapa kwa Mola wako Mlezi! Kwa yakini tutawakusanya wao pamoja na mashet'ani; kisha tutawahudhurisha kuizunguka Jahannamu, nao wamepiga magoti.
69. Kisha kwa yakini tutawatoa katika kila kundi wale miongoni mwao walio zidi kumuasi Arrahmani, Mwingi wa Rahema.
70. Tena hakika Sisi tunawajua vyema zaidi wanao stahiki kuunguzwa humo.
71. Wala hapana yeyote katika nyinyi ila ni mwenye kuifikia. Hiyo ni hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.
72. Kisha tutawaokoa wale walio mchamngu; na tutawaacha madhaalimu humo wamepiga magoti
68. Kuna mtu anaapa kwa mola wake mlezi MIMI NAKUULIZA QURAN NI MANENO YA NANI?
69 kisha tutawatoa HIVI HUYU Allah mbona anatumia wingi na kama hyo ni kauli ya Allah inakuwaje anamtaja tena Mungu
70-72 ndipo point yangu ilipo ya waislamu wooote lazima waingie motoni. Ukishajibu hilo nakupa AYA nyingine inayooonyesha Allah ni wa mwisho kuingia motoni halafu unipe aya yeyote inayomuonyesha atatoka
29 Ikawa alipokaribia Bethfage na Bethania, kwenye mlima uitwao wa Mizeituni, alituma wawili katika wale wanafunzi,Mstari wa 28 unasema alipomaliza kusema hayo akaelekea Jerusalem. Alikwenda kufanya nini? Jibu.....