PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,105
- 14,356
Ungejibu kwanza 2:191 ingependeza zaidi nami ningekujibuNimekupa andiko Luka 19:27 Yesu anaagiza wasiotaka awatawale waletwe wachinjwe mbele yake. Umekaa kimya kana kwamba hulioni hilo andiko.
Ungejibu kwanza 2:191 ingependeza zaidi nami ningekujibuNimekupa andiko Luka 19:27 Yesu anaagiza wasiotaka awatawale waletwe wachinjwe mbele yake. Umekaa kimya kana kwamba hulioni hilo andiko.
Jibu kwanza higo 19:27 imo kwenye biblia ama haimo?Ungejibu kwanza 2:191 ingependeza zaidi nami ningekujibu
Ni mji pekee unaotembelewa na watu walioamua kuachana na dhambi kwa wakati mmoja zaidi ya mil3.
Ni mji pekee ambao mtume wa mwisho wa mwenyezi Mungu amezikwa.
Ni mji pekee ambao upo katikati ya dunia.
Ni mji pekee ambao kibla kinapatikana.
Hata Yesu karuhusu kuua mbona mnajifanya hamyaoni maandiko ninyi?Aya haina kasoro sababu Quran imeruhusu kuua sasa ninachoshangaa kwa nini wanaojitoa muhanga mnasema wanauchafua uislamu wakati Allah karuhusu kuua
Quran 5:102Hata Yesu karuhusu kuua mbona mnajifanya hamyaoni maandiko ninyi?
Waefeso 6:12Hata Yesu karuhusu kuua mbona mnajifanya hamyaoni maandiko ninyi?
Yesu alichinja watu pia. Unasemaje kwa hili?Quran 5:102
Enyi mlio amini! Msiulize mambo ambayo mkidhihirishiwa yatakuchukizeni.
Na Luka 19:27 inasemaje?Waefeso 6:12
11 Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani.
12 Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
Hivi nyinyi watu mbona mnapenda maandiko ya kuungaunga HUO NI MFANO anzia 9:11 hadi 9:28 ila kama unasikia uvivu ngoja nikuwekee ili hyo kichwa iliyozoea kukariri ifunguke iweze kutafakariYesu alichinja watu pia. Unasemaje kwa hili?
Haya soma na Quran hivyo hivyo kama ulivyosoma biblia. Maana usiposoma hivyo na wewe utakuwa umeungaunga!Hivi nyinyi watu mbona mnapenda maandiko ya kuungaunga HUO NI MFANO anzia 9:11 hadi 9:28 ila kama unasikia uvivu ngoja nikuwekee ili hyo kichwa iliyozoea kukariri ifunguke iweze kutafakari
11 Waliposikia hayo, aliongeza kusema MFANO, kwa sababu alikuwa karibu na Yerusalemu, na wao walidhani ya kuwa ufalme wa Mungu utaonekana mara.
12 Basi akasema, Mtu mmoja, kabaila, alisafiri kwenda nchi ya mbali, ili ajipatie ufalme na kurudi.
13 Akaita watu kumi katika watumwa wake, akawapa mafungu kumi ya fedha, akawaambia, Fanyeni biashara hata nitakapokuja.
14 Lakini watu wa mji wake walimchukia, wakatuma wajumbe kumfuata na kusema, Hatumtaki huyu atutawale.
15 Ikawa aliporudi, ameupata ufalme wake, aliamuru waitwe wale watumwa aliowapa fedha, ili ajue faida aliyopata kila mtu kwa biashara yake.
16 Akaja wa kwanza, akasema, Bwana, fungu lako limeleta faida ya mafungu kumi zaidi.
17 Akamwambia, Vema, mtumwa mwema; kwa vile ulivyokuwa mwaminifu katika neno lililo dogo, uwe na mamlaka juu ya miji kumi.
18 Akaja wa pili, akasema, Bwana, fungu lako limeleta mafungu matano faida.
19 Akamwambia huyu naye, Wewe uwe juu ya miji mitano.
20 Akaja mwingine akasema, Bwana, hili ndilo fungu lako, ambalo nililiweka akiba katika leso.
21 Kwa maana nilikuogopa kwa kuwa u mtu mgumu; waondoa usichoweka, wavuna usichopanda.
22 Akamwambia, Nitakuhukumu kwa kinywa chako, mtumwa mwovu wewe. Ulinijua kuwa ni mtu mgumu, niondoaye nisichoweka, na kuvuna nisichopanda;
23 basi, mbona hukuiweka fedha yangu kwa watoao riba, ili nijapo niipate pamoja na faida yake?
24 Akawaambia waliosimama karibu, Mnyang'anyeni hilo fungu, mkampe yule mwenye mafungu kumi.
25 Wakamwambia, Bwana, anayo mafungu kumi.
26 Nawaambia, Kila aliye na kitu atapewa, bali yule asiye na kitu atanyang'anywa hata alicho nacho.
27 Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.
28 Na alipokwisha kusema hayo, alitangulia mbele akipanda kwenda Yerusalemu.
Kumbe unajua ku quote. Haya na Quran fanya hivyo. Anzia aya ya kwanza mpaka ya mwisho mpaka ufike kwenye hoja.Hivi nyinyi watu mbona mnapenda maandiko ya kuungaunga HUO NI MFANO anzia 9:11 hadi 9:28 ila kama unasikia uvivu ngoja nikuwekee ili hyo kichwa iliyozoea kukariri ifunguke iweze kutafakari
11 Waliposikia hayo, aliongeza kusema MFANO, kwa sababu alikuwa karibu na Yerusalemu, na wao walidhani ya kuwa ufalme wa Mungu utaonekana mara.
12 Basi akasema, Mtu mmoja, kabaila, alisafiri kwenda nchi ya mbali, ili ajipatie ufalme na kurudi.
13 Akaita watu kumi katika watumwa wake, akawapa mafungu kumi ya fedha, akawaambia, Fanyeni biashara hata nitakapokuja.
14 Lakini watu wa mji wake walimchukia, wakatuma wajumbe kumfuata na kusema, Hatumtaki huyu atutawale.
15 Ikawa aliporudi, ameupata ufalme wake, aliamuru waitwe wale watumwa aliowapa fedha, ili ajue faida aliyopata kila mtu kwa biashara yake.
16 Akaja wa kwanza, akasema, Bwana, fungu lako limeleta faida ya mafungu kumi zaidi.
17 Akamwambia, Vema, mtumwa mwema; kwa vile ulivyokuwa mwaminifu katika neno lililo dogo, uwe na mamlaka juu ya miji kumi.
18 Akaja wa pili, akasema, Bwana, fungu lako limeleta mafungu matano faida.
19 Akamwambia huyu naye, Wewe uwe juu ya miji mitano.
20 Akaja mwingine akasema, Bwana, hili ndilo fungu lako, ambalo nililiweka akiba katika leso.
21 Kwa maana nilikuogopa kwa kuwa u mtu mgumu; waondoa usichoweka, wavuna usichopanda.
22 Akamwambia, Nitakuhukumu kwa kinywa chako, mtumwa mwovu wewe. Ulinijua kuwa ni mtu mgumu, niondoaye nisichoweka, na kuvuna nisichopanda;
23 basi, mbona hukuiweka fedha yangu kwa watoao riba, ili nijapo niipate pamoja na faida yake?
24 Akawaambia waliosimama karibu, Mnyang'anyeni hilo fungu, mkampe yule mwenye mafungu kumi.
25 Wakamwambia, Bwana, anayo mafungu kumi.
26 Nawaambia, Kila aliye na kitu atapewa, bali yule asiye na kitu atanyang'anywa hata alicho nacho.
27 Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.
28 Na alipokwisha kusema hayo, alitangulia mbele akipanda kwenda Yerusalemu.
Mkuu maandiko yanayoruhusu uuaji kwenye Quran ni mengi zaidi ila siwezi kushangaa sababu hata Quran yenyewe imethibitisha kuwa ni kitabu cha shetani au unataka AYA?Haya soma na Quran hivyo hivyo kama ulivyosoma biblia. Maana usiposoma hivyo na wewe utakuwa umeungaunga!
Yale maandiko uliyotoa ya kwenye Quran ulitoa kumstari tu. Sasa hebu toa kwa kirefu kama ulivyofafanua biblia hapo.
Kwa mfano hapa nimeanzia kwenye mwanzo hadi mwisho na hoja yangu IPO mstari wa 71Kumbe unajua ku quote. Haya na Quran fanya hivyo. Anzia aya ya kwanza mpaka ya mwisho mpaka ufike kwenye hoja.
Mimi nataka ufafanue andimo moja tu kwa kirefu kama ulivyomtetea Yesu. Hayo maandiko mengine achana nayo. Wewe toa andimo moja ambalo ni strong kisha ulifafanue kwa nguvu kam ulivyofafanua kwa andiko la Luka.Mkuu maandiko yanayoruhusu uuaji kwenye Quran ni mengi zaidi ila siwezi kushangaa sababu hata Quran yenyewe imethibitisha kuwa ni kitabu cha shetani au unataka AYA?
Kitabu cha shetani ni Biblia. Lete aya kisha na mimi nikupa aya.Mkuu maandiko yanayoruhusu uuaji kwenye Quran ni mengi zaidi ila siwezi kushangaa sababu hata Quran yenyewe imethibitisha kuwa ni kitabu cha shetani au unataka AYA?
Wewe huijui Quran acha ubabaishaji. Hiyo hona kwenye mstari wa 71 ni ipi? Acha ubabaishaji....kama hujui kitu kaa kimya....Kwa mfano hapa nimeanzia kwenye mwanzo hadi mwisho na hoja yangu IPO mstari wa 71
Quran 19:70-72
70. Tena hakika Sisi tunawajua vyema zaidi wanao stahiki kuunguzwa humo.
71. Wala hapana yeyote katika nyinyi ila ni mwenye kuifikia. Hiyo ni hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.
72. Kisha tutawaokoa wale walio mchamngu; na tutawaacha madhaalimu humo wamepiga magoti
Unakimbia hoja. Nimekwambia ufafanue aya kama ulivyoitetea biblia. Badala yake unarukia hoja nyingine. Mara Allah karuhusu uuaji.....mara Quran ni kitabu cha shetani......we vipi? Anza kitu kimoja kisha kimalize ndio uanze hoja nyingine....! Umefilisika hoja......Mkuu maandiko yanayoruhusu uuaji kwenye Quran ni mengi zaidi ila siwezi kushangaa sababu hata Quran yenyewe imethibitisha kuwa ni kitabu cha shetani au unataka AYA?
Hivi nikikuta kiazi nitakuwa nakoseaMimi nataka ufafanue andimo moja tu kwa kirefu kama ulivyomtetea Yesu. Hayo maandiko mengine achana nayo. Wewe toa andimo moja ambalo ni strong kisha ulifafanue kwa nguvu kam ulivyofafanua kwa andiko la Luka.
Haya fafanua sasa....
Yaani ulivyo mpotoshaji umeanzia aya ya 70 wakati kuna aya ta 68 na 69 ambayo imeeleza vizuri kabisa msingi wa hiyo aya ya 71. Yaani we mbabaishaji kweli. Hunui Quran na upo kwa ajili ya kusoma mistari inayokupa ujiko. Soma aya ya 68 na 69 kisha ndio usome hizo aya zako. Utaelewa.Kwa mfano hapa nimeanzia kwenye mwanzo hadi mwisho na hoja yangu IPO mstari wa 71
Quran 19:70-72
70. Tena hakika Sisi tunawajua vyema zaidi wanao stahiki kuunguzwa humo.
71. Wala hapana yeyote katika nyinyi ila ni mwenye kuifikia. Hiyo ni hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.
72. Kisha tutawaokoa wale walio mchamngu; na tutawaacha madhaalimu humo wamepiga magoti
Wewe huijui Quran acha ubabaishaji. Hiyo hona kwenye mstari wa 71 ni ipi? Acha ubabaishaji....kama hujui kitu kaa kimya....