Pure nomaa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 1,158
- 1,382
Heshima mbele wakuu!!ebana,me cjui nina gundu gani,yan kila mmanzi nilye wahi kuwa na uhusiano nae lazima anakua amelelewa na mzazi mmoja,wengi wao huwa wamelelewa na mzazi wa kike..ivi kuna madhara yoyote kuwa na let say wife ambae kapata malezi ya mama tu?over
mi nahisi smile kalelewa na wazaz wake wote wawili ndo maana alikuwekea ngumu