Me sijui huwa nina balaa gani ndugu zangu!!

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Heshima mbele wakuu!!ebana,me cjui nina gundu gani,yan kila mmanzi nilye wahi kuwa na uhusiano nae lazima anakua amelelewa na mzazi mmoja,wengi wao huwa wamelelewa na mzazi wa kike..ivi kuna madhara yoyote kuwa na let say wife ambae kapata malezi ya mama tu?over
 
Madhara yapo kwani hata mkigombana atafukuzia umuache kwani hata mama yake anaishi pekee yake ataona hana sababu ya kukung'ang'ania
 
mmmh! Haya bwana
dhambi ya ubaguzi ukiianza haiishi
utasema yule kalelewa na mama mmoja
mara kalelewa na baba mzungu
mara kalelewa na wazazi wakulima
 
mmmh! Haya bwana
dhambi ya ubaguzi ukiianza haiishi
utasema yule kalelewa na mama mmoja
mara kalelewa na baba mzungu
mara kalelewa na wazazi wakulima

cjabagua m2 mkuu.
 
Sasa hapo gundu ni nini?....hao wanaolelewa na mama peke ake wanapoteza ubinadamu wao au?... Heri yako wewe uliyepata bahati ya kulelewa na wazazi wote wawili...wenzio baba zetu walitangulia mbele za haki...
 
Kama unaona tabu kuwa unauliza kabla ya kuomba namba ya simu. . . though tatizo liko kwenye tabia ya mtu na sio nambaya wazazi waliomlelea.
 
mmh me sidhan kama lina shida yoyote jaman.......
wala sio gundu ndugu........ nina cousin wangu kalelewa na maza wake hana tofaut yoyote na the rest of wanawake hapa dunian.
ni ubaguz 2 huo usio na mantiki.
waliolelewa na single parent wooote hapa dunian wangekuwa wanaitwa gundu ingekuwaje jaman mmh.
 
Heshima mbele wakuu!!ebana,me cjui nina gundu gani,yan kila mmanzi nilye wahi kuwa na uhusiano nae lazima anakua amelelewa na mzazi mmoja,wengi wao huwa wamelelewa na mzazi wa kike..ivi kuna madhara yoyote kuwa na let say wife ambae kapata malezi ya mama tu?over

Hiyo inaonesha jinsi nchi isivyokuwa na maadili, mijitu inazaliana hovyo nje ya ndoa. Uzinzi mtupu.
 
Hiyo inaonesha jinsi nchi isivyokuwa na maadili, mijitu inazaliana hovyo nje ya ndoa. Uzinzi mtupu.
FF Vipi wale ambao wamepewa taraka, na baba kafukuza mke na watoto, nao mzinzi dada. Vipi wale waliotelekezwa, waliobakwa na kupewa mimba na Vipi wale waliofiwa na mzazi mmoja kwa ajali na sababu nyinginezo bibie, nao wazinzi. NAKUOMBA DADA usiwe unakurupuka toka usingizini na kuandika bila tafakari ya kina . MS ameharibu kabisa kufikiri kwako wewe. Inawezekana kabla ya hapo ulikuwa mzuri tu kiakili
 
Wanawake wa aina hiyo mara nyingi huegemea sana kwa mama zao (hasa kama mama yake aliachika). Ukisema jambo hadi afuate ushauri kwa mama kwanza. Ndugu yangu angalia sana, kama hana akili akaegemea hivyo na huyo mama akawa mcharuko ujue umekwisha.
 
Sasa hapo si kwamba una balaa! Mwonyeshe kuwa we ndo ka Baba kwake, mjali kwa kila kona kama mzazi wa kiume..
 
unataka kuwaoa hao mabinti au? Maana maelezo yako yanaonesha ni mademu mara unauliza kama ni tatizo..sikuelewi mkuu
 
Hakuna gundu mkuu,
suala la msingi ni kutafuta mwanamke anaejitambua bla kujali km kalelewa na baba pekee au mama.
kwani wapo weng tu waliopata malez ya wazaz wote na wako hovyoo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom