The silent smile
Senior Member
- Jul 17, 2025
- 124
- 206
Salam kwenu Wajumbe,
Agenda kubwa ni SHKAMOO!
Sote twajua kuwa linapokuja suala MAHUSIANO (MAPENZI) hasa pale unapoona kuna jimbo umelielewa huaga umri hautuzuii kutimiza malengo yetu (wanasema umri ni namba tu😄)
Inatokea ME kuna ka KE ka elfu 2 umekaelewa mtaani kwako au popote pale, ile ushapanga mashambulizi yako ya mawindo na hesabu zishakamilika (kama simba mwituni), ile unataka ku attack, unakutana na shambulizi la kushtukiza SHKAMOO KAKA, SHKAMOO BABA FULANI, ANKO SHKAMOO n.k. (Hii huwa inakata sana)
AU
Inatokea KE, kuna ME umevutiwa naye, huenda umemzidi umri kidogo hata 5 yrs, ila ndo keshakuvutia sasa😄, sasa wakati unaweka mipango vyema ya mawindo (japo wanawake wachache sana wanaomchana mwanaume live (tongoza)) yaan kuna yale mawindo yako ya akili mingi kumvuta na kumfanya awe karibu nawe na ajikute tuu keshaingia kwenye target, ila sasa kabla hujakamilisha shambulio lako anakupiga na kitu kizito SISTER SHKAMOO / SHKAMOO MAMA AKE FULANI (Single mother), ANTI SHKAMOO. n.k
Je, kwa Shambulio hili unatumia mbinu gani ku recover na kutimiza lengo lako?