_aysher
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 1,131
- 942
Poleni sana mko kijiji gani?Karibu mwaka sasa
Poleni sana mko kijiji gani?Karibu mwaka sasa
Ina maana uko Condo DRC au? basi jiasaidie uwezapoGharama itakuwa kubwa.
Mlete magheton kwang nina dawa special kwa ajili ya watu kama haoNi dada yangu wa mwisho katika familia ya wanaume 7 wasichana wawili.
Alikuwaga mzima na mwaka huu alitegemewa kuwa form 2 ila kuna watu wabaya wamemtupia vitu vya ajabu kiasi kwamba huwa anapandisha na akipandisha anasema shule hataki.
Sasa hivi yuko nyumbani tu na akipandisha huwa ni mateso makubwa kwake. Tumejitahid kumpeka hospitali, kwa waganga, kanisani ila hakuna nafuu yeyote hatujui tufanye nini kwakweli.
Kwa wenye exprience na haya mambo ushauri tafadhalini.
Umukenge!!!Poleni sana mko kijiji gani?
Mi nashangaa hili suala la sayansi ikishindwa jambo basi huanza na kupinga njia zengine zilizo nje ya sayansi.
Kama sijakosea amesema kashapita huko kanisaniAyo mambo yapo sana katika mazingira yetu tunayoishi.solution, tafuta kanisa LA kiroho na atapona.usiende kwa matapeli kama ......!
Ahsante mkuu!!! Tutafanyia kaz ushaur wako.Mkuu nimefuatilia vizuri mada yako, kwanza kabisa napenda kuwapa pole, najua jinsi gani hayo magonjwa yanavyosumbua familia!
Mdogo wako anatatizo la ugonjwa wa akili, magonjwa ya akili yapo mengi na yanatibika vizuri hospitalini kwa wataalam wa magonjwa ya akili
Kwa kufuatilia tu ulichokieleza kuhusu Mdogo wako anadalili kama zifuatazo nitaandika kitaalamu ( second person auditory hallucination commanding in nature, aggressive behaviour and decreased interest in activities(anhedonia)..) Hizi zinaweza zikawa dalali za ugonjwa wa akili unaitwa schizophrenia, akienda kwa mtaalamu wa magonjwa ya akili atagundua dalili nyingine nyingi zaidi akimsikiliza
Wagonjwa kama hawa wanasaidiwa vizuri na Mara nyingi hurudi kwenye halo yao ya kawaida kama wakizingatia dawa na ushauri wa wataalamu
Ushauri wangu:-
Mpelekeni kwenye hospital yenye kitengo cha magonjwa ya akili (psychiatry), kwa dar es salaam nenda pale muhimbili.
(By mwanafunzi wa udaktari)
Tatizo hamna imani, kwenda hospitali, kwa waganga katika mambo ya kiroho Ni kumjaribu Mungu.Ni dada yangu wa mwisho katika familia ya wanaume 7 wasichana wawili.
Alikuwaga mzima na mwaka huu alitegemewa kuwa form 2 ila kuna watu wabaya wamemtupia vitu vya ajabu kiasi kwamba huwa anapandisha na akipandisha anasema shule hataki.
Sasa hivi yuko nyumbani tu na akipandisha huwa ni mateso makubwa kwake. Tumejitahid kumpeka hospitali, kwa waganga, kanisani ila hakuna nafuu yeyote hatujui tufanye nini kwakweli.
Kwa wenye exprience na haya mambo ushauri tafadhalini.
Hata sayansi inasababisha vifo vya watu kila siku.Nje ya Sayansi ni Ubatili. Ref Kibwetere wa Uganda, Jonestown Cult Massace na Babu wa Loliondo.
[Two decades ago an unusual series of events led to the deaths of more than 900 people in the middle of a South American jungle. Though dubbed a "massacre," what transpired at Jonestown on November 18, 1978, was to some extent done willingly, making the mass suicide all the more disturbing.
The Jonestown cult (officially named the "People's Temple") was founded in 1955 by Indianapolis preacher James Warren Jones. Jones, who had no formal theological training, based his liberal ministry on a combination of religious and socialist philosophies.]
Poleni sana. Kanisani ndiyo pahala sahihi. Kuna family friend aliwahi kuhangaika sana na mtoto wake, yaani alipitia sehemu kibao kama ninyi mnavyofanya. Ila ilikuja kugundulika huyo mtoto wake (above 18 years) alikuwa na pete aliyoinunua kanda ya ziwa, na hiyo pete ilikuwa na majini, na alikuwa anaificha sana tena kwa usiri wa hali ya juu na nyumbani hakuna aliyejua kama ana kitu kama hicho. Ila baadaye ndiyo mtu mmoja akaja kuwaambia wamuulize kama ana kitu, ila walipomuuliza alikataa kabisa (nadhani nguvu ya mapepo). Ikabidi wawe wanamvizia, ndipo siku moja wakamuona na kuichukua na kuitupa (ingawa alikuwa mbishi pia kukubali itupwe). Na baada ya hapo aliombewa na kupona. Fanyeni hivyo na ninyi ataponaNi dada yangu wa mwisho katika familia ya wanaume 7 wasichana wawili.
Alikuwaga mzima na mwaka huu alitegemewa kuwa form 2 ila kuna watu wabaya wamemtupia vitu vya ajabu kiasi kwamba huwa anapandisha na akipandisha anasema shule hataki.
Sasa hivi yuko nyumbani tu na akipandisha huwa ni mateso makubwa kwake. Tumejitahid kumpeka hospitali, kwa waganga, kanisani ila hakuna nafuu yeyote hatujui tufanye nini kwakweli.
Kwa wenye exprience na haya mambo ushauri tafadhalini.
Cant argue with KilahzerHata sayansi inasababisha vifo vya watu kila siku.
Mipaka yako ya kufikiri ndiyo inayokufanya unione miye kilaza.Cant argue with Kilahzer
Hayo aliambiwa Hospital na haikusaidia.......Wanasayansi bana! Lazima mkubari Kuna mambo yapo nje yenu!Wazungu wanaita Multiple Personality Disorder,sijui tiba yake nini ,labda ufanye research
Hiyo sio mimi... Ni wazungu wanavyo solve hiyo issue.subiri miaka kumi wakati Mungu aliekuumba anaweza kwa dakika ukiamini.
Hapo ndipo wanapokosea maana akisha chajwa michale ile damu inayotoka ni maagano....tatizO MLIANZA KUTEGEMEA WAGANGA MUDA MREFU! MKATENGENEZA NJIA YA KULOGWA!