Mdogo wangu kapigwa juju

Mdogo wangu kapigwa juju

Mwambieni aache maigizo,huyo ni mvivu wa shule tu. Niliwahi kufundisha shule fulani nikiwa kama mwalimu wa malezi nilikutana na kesi za namna hiyo na ukifuatilia asilimia kubwa utakuta wanajifanyisha tu ili waache shule. Hakuna cha pepo wala shetani.
Mkuu hayaja kukuta yakikukuta utajuwa kama kweli kuna viumbe Mashetani. Sikuombei yakukute utakuja kunipa shida na kunisumbuwa nikutibie Mashetani wapo kama binadamu na malaika wapo Mungu hakuiumba dunia tu kwa sababu ya Binadamu tu wapate kuishi Mungu ameumba dunia na kuweka viumbe wengine huwezi kuwaona kwa macho yako ya kawaida mpaka ufanyiwe dawa ndio utaweza kuona viumbe wengine kwa hiyo kama hujuwi kitu fanya uchunguzi utakuja kujuwa. Usipende kubisha kichwa mchungwa pasipo na elimu yoyote ile. Fanya utafiti ndipo utagunduwa kila kitu soma.
 
Utamsadia bure? Yaaani wewe jamaa nakuvutia punzi ipo siku yako tuu..unachukulia matatizo ya watu mtaji sio!
Utanifanya nini wewe mimi? kabla hujaamuwa kunifanya kitu mimi nitakumaliza huko uliko usicheze na mimi kabisa.Nitakurushia makombora ya Kirusi na hutaweza kuyazuia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom