Mdogo wangu kapigwa juju

Mdogo wangu kapigwa juju

Alikuwaga mzima na mwaka huu alitegemewa kuwa form ii ila kuna watu wabaya wamemtupia vitu vya ajabu kiasi kwamba huwa anapandisha na akipandisha anasema shule hataki..

Sayansi inaposhindwa kutoa jibu tunasingizia JUJU.

Ubongo ni kama simu au computer, software hukorofisha, Mpeleke kitengo cha Psychology pale Muhimbili Hosipital wako wataalam bingwa.
 
Dogo yupo Singda mm nipo zenji
Du pole kaka kwa elimu ndogo ya maswala kiasili au kiutamaduni ni hiviii baaz ya wanawake na wasichana but hutegemea na mila na desturi za jamii husika hutakiwa kujistiri namaanisha tupu zao Kiiman na katka ulimwengu wa kiroho hao huwa ni wachafu hivyo bas huwa wanaingiliwa na majini wabaya kwa nia mbaya solution mkuu kama muislam mtafute shehe awasomee kisomo waondoke kama mkristo ndio muende ktk imani hyo kwa maombezi kama ww ni mwenzangu na mimi mtafute mganga mtaalamu avitoe ivo viumbe nakuambia sababu mimi mwenyew ni muhanga wa matatizo hayo nina wadogo zangu wawil wakike kama nduguyo ni mambo hayo ni kuzimia na kuwa kama nusu wendawazimu hivi nikisikiza maelezo ya mtaalamu inarelate na tabia za hawa madada zangu hawajistiri kam tamaduni zetu na kuzurura hovyo mitaan kupelekea kuzoa vitu vibaya.
 
Mmejuaje kwamba amepigwa juju na sio kwamba hataki shule ili akawe mbongo movie?
Huyu dogo alikuwaga mcheshi sana ...lakin taratibu akawa anakuwa mpole kidogo kidogo isivyo kawaida yake .,..Alikuwa anasoma Singda vijijin huko fm I, Kwakuwa shule ilikuwa mbali sana tukaamua kumpatia uhamisho kwenda Sumbawanga ambapo kaka yake anafundisha sec huko....Siku ya kwanza kwenda shule alizimia njian ikabid kaka yake akaitwe maana anafahamika sana kijijin pale,Walimchukua wakampeleka hospital ya wilaya wakamwambia ana typhoid NA malaria hivyo wakampatia dawa NA wakamruhusu kwenda home...

Alivyorudi wakamuhoj ilikuwaje akazimia akasema kuna watu wawili watu wazima kidgo alikutana nao wakat anaenda shule alipowasalimia tu ndio akazimia......Mwanzo ilikuwa yakija hayo madude anazima tu bila kusema chochte lakin baadae ikawa mtiti mbilinge ikabid wawe wanamfunga kamba maana yakianza anakuwa NA nguvu mno,....Wakamrudisha tena nyumban kijijin ambapo siku moja alipandsha yakaanza kuongea kwamba hayatak shule .....Bas ndio hivyo mpaka sasa yuko hivyo tu japo kuna wakat anapokuwa hajapandsha anajielewa ila upole umezid......Mambo ya wavulana hana kwakweli
 
Du pole kaka kwa elimu ndogo ya maswala kiasili au kiutamaduni ni hiviii baaz ya wanawake na wasichana but hutegemea na mila na desturi za jamii husika hutakiwa kujistiri namaanisha tupu zao Kiiman na katka ulimwengu wa kiroho hao huwa ni wachafu hivyo bas huwa wanaingiliwa na majini wabaya kwa nia mbaya solution mkuu kama muislam mtafute shehe awasomee kisomo waondoke kama mkristo ndio muende ktk imani hyo kwa maombezi kama ww ni mwenzangu na mimi mtafute mganga mtaalamu avitoe ivo viumbe nakuambia sababu mimi mwenyew ni muhanga wa matatizo hayo nina wadogo zangu wawil wakike kama nduguyo ni mambo hayo ni kuzimia na kuwa kama nusu wendawazimu hivi nikisikiza maelezo ya mtaalamu inarelate na tabia za hawa madada zangu hawajistiri kam tamaduni zetu na kuzurura hovyo mitaan kupelekea kuzoa vitu vibaya.
Acha ushirikina. Kwa Mungu ni bure. Mganga hatoi ila anapooza. Hao baba yao mmoja. Nguvu katoa wapi?
Maombi kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazaret ni buure.
Usiongeze maagano mengine na kuzimu
 
Sayansi inaposhindwa kutoa jibu tunasingizia JUJU.

Ubongo ni kama simu au computer, software hukorofisha, Mpeleke kitengo cha Psychology pale Muhimbili Hosipital wako wataalam bingwa.
Mi nashangaa hili suala la sayansi ikishindwa jambo basi huanza na kupinga njia zengine zilizo nje ya sayansi.
 
Ukweli ni kwamba dogo hataki shule, hicho ni kisingizio.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom