Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,671
jama nyinyi huyu kaka kashasema huyu mdogo ake alikua shule singida vijijini mbali huko anasoma ila sabb ya umbali home wakaona wamuhamishe.wakaamua kumpeleka sumbawanga kwenye shule nyingine na pia kuna kakake mwingine anafundisha hapo na aishi nae.ndo ikawa added advantage ya kumpeleka hiyo shule...
binti alikua normal kabisa na alifika salama sumbawanga but siku akiwa njiani anaenda shule njiani akakutana na watu wazima wawili alipowasalimu ndo yakamkuta ya kuzimia ghafla hapo njiani.
na hii sumbawanga mnavoijua mnadhani nn kama si ushirikina?