Huyu dogo alikuwaga mcheshi sana ...lakin taratibu akawa anakuwa mpole kidogo kidogo isivyo kawaida yake .,..Alikuwa anasoma Singda vijijin huko fm I, Kwakuwa shule ilikuwa mbali sana tukaamua kumpatia uhamisho kwenda Sumbawanga ambapo kaka yake anafundisha sec huko....Siku ya kwanza kwenda shule alizimia njian ikabid kaka yake akaitwe maana anafahamika sana kijijin pale,Walimchukua wakampeleka hospital ya wilaya wakamwambia ana typhoid NA malaria hivyo wakampatia dawa NA wakamruhusu kwenda home...
Alivyorudi wakamuhoj ilikuwaje akazimia akasema kuna watu wawili watu wazima kidgo alikutana nao wakat anaenda shule alipowasalimia tu ndio akazimia......Mwanzo ilikuwa yakija hayo madude anazima tu bila kusema chochte lakin baadae ikawa mtiti mbilinge ikabid wawe wanamfunga kamba maana yakianza anakuwa NA nguvu mno,....Wakamrudisha tena nyumban kijijin ambapo siku moja alipandsha yakaanza kuongea kwamba hayatak shule .....Bas ndio hivyo mpaka sasa yuko hivyo tu japo kuna wakat anapokuwa hajapandsha anajielewa ila upole umezid......Mambo ya wavulana hana kwakweli