Mdogo wangu kanitumia link ya muziki wake, nimempongeza kinafki ila najisikia vibaya naona anaenda kupoteza muda au kupata umaarufu usio na maendeleo.

watu kibao

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
466
Reaction score
1,645
Ni mara 100 zaidi hata angenitumia mbuzi au kuku ningejua baada ya muda watazaliana na biashara itakuwa.

Kanitumia muziki wa youtube, leo siku ya 3 kuna views 600,

kakomaa sana na muziki, wazazi na ndugu tumemuasa lakini wapi, hasikii wala haoni kwenye muziki. anapost sana status za one day yes lakini nahofia atagonga 35 bado yupo hivyo hivyo.

Muziki wa bongo ulivyo unaweza kuishia kupoteza muda au kuwa maarufu asie na maendeleo anaetumika kutajirisha wengine.

Yes ninajua kuna waliofanikiwa kina Diamond, Ally, Harmo, Mario, n.k. lakini ni wachache sana, idadi yao hairidhishi na ukiwafuatilia wamenyanyasika sana, kuuza nafsi zao, kukubali kufanya mambo ya aibu, wengine walinusurika kupotezwa kabisa.

Inakuwa ngumu kumpongeza mtu wa karibu anaetaka kupita njia ambayo katika watu 1,000 wanaopita ni 1 tu anafanikiwa.
 
kakomaa sana na muziki, wazazi na ndugu tumemuasa lakini wapi, hasikii wala haoni kwenye muziki.

Muziki wa bongo ulivyo unaweza kuishia kupoteza muda au kuwa maarufu asie na maendeleo anaetumika kutajirisha wengine.
Apa ndio unasikia nabii havumi kwao
 
Mpe sapoti mbona hawa wenzetu chaaba na dudukwe wameenda mbaliii
1000040971.jpg
1000042053.jpg
1000037923.jpg
1000035147.jpg
 
Hao ni asilimia 0.01 ya wasanii mkuu

na ukiwafuatilia wamepitia manyanyaso makubwa, kunusurika kupotea kwenye game, kudhulumiwa, n.k.
Ukichosema hapo ndo na ww unakifanya kwa mdogo wako, manyanyaso makubwa, kunusurika kupotea kwenye game kwa kukatishwa tamaa kama ww unavyofanya Sasa.

Hv unajua n ngumu namna gani kupata hizo views 600 ndani ya siku 3 kwa msanii ambaye hajulikani?.
Angalia ht baadhi ya wasanii wakubwa, anamaliza mwezi ana views buku tuu.

Watu wanaanzia chini kwenda juu na sio kuanzia juu kwenda chini.
 
Akitoboa atasema dogo anaringa.... Kumbe n swala la KARMA tu.
 
Ajikite kwa waganga kwanza, auze nafsi kwanza, baada ya hapo atatoboa tu.
Ila ndio kuhusu Mungu wa kweli asahau, na maisha yake yatakuwa monitored to death.
 
Ni mara 100 zaidi hata angenitumia mbuzi au kuku ningejua baada ya muda watazaliana na biashara itakuwa.

Kanitumia muziki wa youtube, leo siku ya 3 kuna views 600,

kakomaa sana na muziki, wazazi na ndugu tumemuasa lakini wapi, hasikii wala haoni kwenye muziki. anapost sana status za one day yes lakini nahofia atagonga 35 bado yupo hivyo hivyo.

Muziki wa bongo ulivyo unaweza kuishia kupoteza muda au kuwa maarufu asie na maendeleo anaetumika kutajirisha wengine.

Yes ninajua kuna waliofanikiwa kina Diamond, Ally, Harmo, Mario, n.k. lakini ni wachache sana, idadi yao hairidhishi na ukiwafuatilia wamenyanyasika sana, kuuza nafsi zao, kukubali kufanya mambo ya aibu, wengine walinusurika kupotezwa kabisa.

Inakuwa ngumu kumpongeza mtu wa karibu anaetaka kupita njia ambayo katika watu 1,000 wanaopita ni 1 tu anafanikiwa.
Ili afanikiwe mwambie asikate tamaa, aroge kama hao waliofanikiwa
 
Kama familia yenu haipendi ndugu yenu afanye muziki,Ninyi kama ndugu mlipendekeza afanye nini? Na siyo kupendekeza tu mlitoa michango hata ya pesa ili kumsaidia dogo ili afanye kazi ya maana mnayoitaka nyie
 
Back
Top Bottom