She Quoted you
JF-Expert Member
- Oct 19, 2020
- 687
- 1,175
Habari humu, mdogo ameshachaguliwa kujiunga C.O pale TTCIH morogoro, ila anataka aache ili akasome short course ya miezi mi3 flight operation pale TCAA uwanja wa taifa.
Kwa wanaoifahamu hii kozi, vipi ajira zake ndani na nje?
Wanasema Kupata nje dubai ni rahisi.
Points za dogo kuacha medicine ni hizi
1.Muda (Medicine mpaka aje amalize diploma na degree na ajira ni miaka 10)
2.Opportunity (Anasema hata MD wapo kitaa sikuizi)
3.Ada (Kila mwaka Mil 3 kwa miaka 8 Vs mil 4 ya miez mi3)
4.Umri (Ameenda age kidogo ana 24)
3.Anapenda urubani hivyo itakuwa ni channel mojawapo.
Je, Yuko sahihi?
Ushauri tafadhali, maana chuo asiporipoti kufikia jumapili baada ya mechi ya yanga wanamcancell nafasi yake.
Natanguliza shukrani🙏